Kulikoni mbona uchaguzi wa mwaka huu, hauna Shamrashamra, ndelemo na vifijo?

Hata ukiendelea atakae pita atakua kiongozi wa tz tu, hatatambulika popote, kama ndivyo unategemea nini, ? Hii ngoma siyo nyepesi mdhaniavyo, hakuna uchaguzi mwaka huu , labda kama tz ni kijiji ndani ya ulimwengu huu.

endeleeni kujidanganya
 
Katika nchi ambayo inafanya uchaguzi, election year uwa na Shamrashamra na hamasa kweli kweli.

Ata hapa Tanzania nkikumbuka 2010,2015,2020, yaani Shamrashamra ziliakuwa kubwa kweli kweli .Kufikia March wasanii wanakuwa washatoa nyimbo nyingi za uchaguzi. Misemo na sera za uchaguzi zinakuwa maarufu kweli kweli

Huu mwaka umepoa kabsa, yaani ni wabaridii. Hatuoni Shamrashamra,hamasa za uchaguzi,Tunachokiona ni NO REFORM NO ELECTION ndo naona inabamba.

Je watanzania hawataki uchaguzi? Mbona kumepoa sana hivi...
no reforms, no election!

# free Lissu#
 
Nderemo zipo

Ngoja Chama tawala watoe fomu za kugombea ndipo utajua kama shamra shamra zipo ama laa
 
Ukitaka kura yako iwe halali laa sivyo inshi nayo tu mpaka unakata moto maana hata usipoipiga tayari itakua imepigwa pale ambao luka zitakuwa zimepigwa...Ni ngumu sana kuelewa hili.
 
Back
Top Bottom