Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 46,405
- 138,158
Shamrashamra zitatoka wapi na hii kampeni kabambe ya No reforms, no election! Halafu yule mgombea wa upande mwingine na mwenza wake, badala ya kusubiri mchakato halali ndani ya chama, wakaamua kujipitisha wenyewe!! Hapa ndiyo wameharibu kabisa.
Mwaka huu kampeni zitawategemea zaidi wasanii useless wa Bongo muvi na Bongo Fleva kuvutia halaiki. Kinyume hapo, kitakuwa ni kichekesho tu.
Mwaka huu kampeni zitawategemea zaidi wasanii useless wa Bongo muvi na Bongo Fleva kuvutia halaiki. Kinyume hapo, kitakuwa ni kichekesho tu.