Kulikoni mbona uchaguzi wa mwaka huu, hauna Shamrashamra, ndelemo na vifijo?

Nani kakwambia kuna uchaguzi.mwaka huu? Mwigulu chemba au
 
Hamna uchaguzi humu ila maonyesho ya ujinga wa ngozi nyeusi.
 
Mwaka huu HAKUNA kitu kinaitwa uchaguzi wala kupiga kura!
Wenzako wanajiandaa kutiki✓
Umeona utofauti?
 
Ngoja tuone,by the way umepotea
Wapinzani hasa cdm ndio huwa wanaleta hamasa kwenye uchaguzi. Ila huu utaanza kuchangamka bunge likivunjwa maana pesa za rushwa zitamwagwa, utaona walevi na hekaheka za burudani. Itamwaga hela nyingi chafu ya kuleta vibe la uchaguzi.
 
waropokaji hakuna gentleman 🐒
 
Kila siku tuwe tunatekana, yaani unamteka mpiga kura, unamteka atakaye gombea nafasi mojawapo, unamteka shekhe, unamteka mchungaji, unamteka padiri,.... Utarajie ukitangaza uchaguzi utapewa ushirikiano....umeona wapi??😃. Kiufupi wenyewe wanakutizamaaa wee, wanakuangaliaa wee...ukimaliza kuzungumza wanaendelea na shughuli zao😂😂
 
Ndio hapo sasa
 
Maana yake ni nini boss?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…