Hakuna uchaguzi mwaka huu, labda uteuziKatika nchi ambayo inafanya uchaguzi, election year uwa na Shamrashamra na hamasa kweli kweli.
Ata hapa Tanzania nkikumbuka 2010,2015,2020, yaani Shamrashamra ziliakuwa kubwa kweli kweli .Kufikia March wasanii wanakuwa washatoa nyimbo nyingi za uchaguzi. Misemo na sera za uchaguzi zinakuwa maarufu kweli kweli
Huu mwaka umepoa kabsa, yaani ni wabaridii. Hatuoni Shamrashamra,hamasa za uchaguzi,Tunachokiona ni NO REFORM NO ELECTION ndo naona inabamba.
Je watanzania hawataki uchaguzi? Mbona kumepoa sana hivi...
No reforms no election.NO REFORM NO ELECTION
Unajua maana ya election yearmda ukifika utaziona
Kailima kasemaNani kakwambia kuna uchaguzi.mwaka huu? Mwigulu chemba au
Apo umejibuUchaguzi upo ila Sasa , unasniriki upande mmoja ndo maana umepoooza
Hiyo trilion ya uchaguzi bora wawagawie yatima na wajane tuKatika nchi ambayo inafanya uchaguzi, election year uwa na Shamrashamra na hamasa kweli kweli.
Ata hapa Tanzania nkikumbuka 2010,2015,2020, yaani Shamrashamra ziliakuwa kubwa kweli kweli .Kufikia March wasanii wanakuwa washatoa nyimbo nyingi za uchaguzi. Misemo na sera za uchaguzi zinakuwa maarufu kweli kweli
Huu mwaka umepoa kabsa, yaani ni wabaridii. Hatuoni Shamrashamra,hamasa za uchaguzi,Tunachokiona ni NO REFORM NO ELECTION ndo naona inabamba.
Je watanzania hawataki uchaguzi? Mbona kumepoa sana hivi...
Hakuna uchaguzi mwaka huu, asema Bwana, na kama ni liforms lazima uchaguzi sogezwa mbele, aya majigambo ya Mzee wasira hayana mashiko , ila asilaumiwe, mzee kaisha jipigia hesabu , hana cha kupotezaKatika nchi ambayo inafanya uchaguzi, election year uwa na Shamrashamra na hamasa kweli kweli.
Ata hapa Tanzania nkikumbuka 2010,2015,2020, yaani Shamrashamra ziliakuwa kubwa kweli kweli .Kufikia March wasanii wanakuwa washatoa nyimbo nyingi za uchaguzi. Misemo na sera za uchaguzi zinakuwa maarufu kweli kweli
Huu mwaka umepoa kabsa, yaani ni wabaridii. Hatuoni Shamrashamra,hamasa za uchaguzi,Tunachokiona ni NO REFORM NO ELECTION ndo naona inabamba.
Je watanzania hawataki uchaguzi? Mbona kumepoa sana hivi...
TrillionWaziri anasimama ati uchaguzi umetengewa bil 1, uchaguzi upi huo? Kwa nini iyo pesa isilipe wadau watakao kwenye vikao vya kurekebisha katiba
Unajua maana ya election year
Hata ukiendelea atakae pita atakua kiongozi wa tz tu, hatatambulika popote, kama ndivyo unategemea nini, ? Hii ngoma siyo nyepesi mdhaniavyo, hakuna uchaguzi mwaka huu , labda kama tz ni kijiji ndani ya ulimwengu huu.mkuu uchaguzi upo uto, kwahiyo nyinyi gomeni wenzenu wataendelea
Uchaguzi wa maruhani unawezaje kuwa na shamra shamra?Katika nchi ambayo inafanya uchaguzi, election year uwa na Shamrashamra na hamasa kweli kweli.