Kulikoni, mpakani na Rwanda sisi ni shamba la bibi?


 
Bro hii nchi inaongozwa kutoka nje cartels. Wao ndio wanaamua nani awe kiongoz na eneo gan kwa maslah yao. Tanzania imekaa sehem muhim sana so ikimpata mtu mwenye akili timamu na akabadili katiba tukatawaliwa inavyotakiwa. Huo ujinga unaouona Rwanda anaoufanya hapo Congo hutauona. Na wanajua. Nguvu yetu na umuhim wa Congo kwa Africa so ni ngumu sana hii nchi kutawaliwa na mtu mwenye vision na akaachwa miaka 10.
 
Hawa wajinga kina brazaj hawana exposure. Nashangaa sana wanavyoshupaa kufananisha nchi yetu na ki Rwanda
 
Rwanda ni kama Mkoa wa Tabora na wanaiba madini ya Kongo huwezi lingasha na linchi likuubwa kama Tz hata hivyo hakuna cha maana walichituzidi kuanzia barabara hadi majengo marefu. Acha kudanganya [emoji34][emoji34]
Mawazo ya punguani wa kitanzania ndiyo haya Sasa.
 
Mkuu huku kwetu ni rushwa. Huwa tunapigwa changa la macho eti tuna TAKUKURU.! Ni ajabu ila ndo ukweli wenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…