kibobori mahoro
JF-Expert Member
- Dec 12, 2022
- 7,452
- 10,785
JPM angeweza yote hayo lakini basi tena, hatunae.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unahisi una akili sana kwamba ukipewa nchi utaibadilisha ina a day? Magu kapambana ila hata angemaliza 20 angetusogeza ila sio kama unavyodhani, so fanya kazi tunza familia yako nchi inasogoa taratibuKalagabaho....., nchi itaendelea kubaki nyuma kwenye vitu vingi because of your kind of stupid thinking.
Umekwepa kujibu swali still unadandia na cheap justification mwenyewe unaona ni swali la msingi sana.
Umeongea fact na ni wachache watakuelewa. Rwanda hawatuzidi chochote sema tu mtanzania akishaambiwa kuwa kitu flani ni bora anakufa nacho.Rwanda ni kama Mkoa wa Tabora na wanaiba madini ya Kongo huwezi lingasha na linchi likuubwa kama Tz hata hivyo hakuna cha maana walichituzidi kuanzia barabara hadi majengo marefu. Acha kudanganya 😠😠
Tuna mijitu mijinga sana na ukifuatilia ni jobless kila kitu wanalaumu nimeuliza wanipe mji mkubwa nje ya kigali tufananishe na Singida au Iringa naona wanakwepa wanaanza matusi😅😅😅😅 nchi ina international airport moja tu. Hata mipaka ikiwa wazi nani anaenda Rwanda? Kufanya nini kwa mfano labda afuate MADEMU😂😂😂Umeongea fact na ni wachache watakuelewa. Rwanda hawatuzidi chochote sema tu mtanzania akishaambiwa kuwa kitu flani ni bora anakufa nacho.
Rwanda kama mkoa kweli ituzidi maendeleo?
Mademu wenyewe wanavuka boda pale rusumo benako na mzani ni wengi mnoTuna mijitu mijinga sana na ukifuatilia ni jobless kila kitu wanalaumu nimeuliza wanipe mji mkubwa nje ya kigali tufananishe na Singida au Iringa naona wanakwepa wanaanza matusi😅😅😅😅 nchi ina international airport moja tu. Hata mipaka ikiwa wazi nani anaenda Rwanda? Kufanya nini kwa mfano labda afuate MADEMU😂😂😂
Vipi hali ya miundo mbinu upande wa Tanzania?! Siyo bora kama upande Rwanda?! Mji wa Rusumo upande Wa Tanzania mishemishe ikoje? Mji umechangamka?Zitambue tofauti hizi mpakani mwa Tanzania na Rwanda katika boda ya Rusumo:
1. Miundo mbinu upande wa Rwanda ni bora zaidi. Barabara, taa za barabarani, security cameras, majengo, fencing, furnitures nk upande wa Rwanda ni kama Ulaya.
2. Upande wa Rwanda taratibu zote katika kila idara yaani forodha, afya, polisi, immigration, usalama nk ni wazi na hakuna rushwa.
3. Waliopo kwenye eneo la serikali mpakani upande wa Rwanda ni wale tu wanaohusika kwa shughuli rasmi za hapo. Yaani wafanyakazi, mawakala wa forodha, mawakala wa bima za magari, wasafiri wavukao nk.
4. Hakuna anayeweza kuvuka kuingia Rwanda pasipo sababu wala idhini ya idara zote husika za huko yaani immigration, usalama na polisi.
5. Upande wa Rwanda wafanyakazi maisha ni kula kwa viwango vya mishahara yao.
6. Kuhusiana na Tanzania itoshe kusema huku ndiko kwenye ulaji wa urefu wa zile kamba zetu. Yaone magari ya wafanyakazi huku. Ama Kwa hakika wanalamba asali kweli kweli.
7. Eneo la serikali huku limesheni hadi wasiohusika. Kuvuka kuja Tanzania ni bwerere ambapo kama hata wapiga debe kutoka Rwanda wanajifanyia shughuli zao Tanzania kwa raha zao tumebakiza nini?
Yapo mengi ya kushangaza ila itoshe kusema kwa hakika sisi ni shamba la bibi.
Tuendelee kulea hali hizi hadi lini?
kuwa muelewa ponti hapo ni wizi unaofnywa na wafanyakazi wa mpakaniRwanda ni kama Mkoa wa Tabora na wanaiba madini ya Kongo huwezi lingasha na linchi likuubwa kama Tz hata hivyo hakuna cha maana walichituzidi kuanzia barabara hadi majengo marefu. Acha kudanganya [emoji34][emoji34]
kuwa muelewa hapo kaongelea wizi wabongo akili ndogo sanaNdio alinganishe na nchi inayoanzia mtwara hadi Karega, Ruvuma hadi Rombo, Dar- Kigoma
Huku ni business as usual mpaka aje mwenye Kaudikiteta dikiteta ndio mambo yatanyooka !! Na hao wa hivyo huku hamuwataki !! So mambo ni mpwito mpwito tu !!Zitambue tofauti hizi mpakani mwa Tanzania na Rwanda katika boda ya Rusumo:
1. Miundo mbinu upande wa Rwanda ni bora zaidi. Barabara, taa za barabarani, security cameras, majengo, fencing, furnitures nk upande wa Rwanda ni kama Ulaya.
2. Upande wa Rwanda taratibu zote katika kila idara yaani forodha, afya, polisi, immigration, usalama nk ni wazi na hakuna rushwa.
3. Waliopo kwenye eneo la serikali mpakani upande wa Rwanda ni wale tu wanaohusika kwa shughuli rasmi za hapo. Yaani wafanyakazi, mawakala wa forodha, mawakala wa bima za magari, wasafiri wavukao nk.
4. Hakuna anayeweza kuvuka kuingia Rwanda pasipo sababu wala idhini ya idara zote husika za huko yaani immigration, usalama na polisi.
5. Upande wa Rwanda wafanyakazi maisha ni kula kwa viwango vya mishahara yao.
6. Kuhusiana na Tanzania itoshe kusema huku ndiko kwenye ulaji wa urefu wa zile kamba zetu. Yaone magari ya wafanyakazi huku. Ama Kwa hakika wanalamba asali kweli kweli.
7. Eneo la serikali huku limesheni hadi wasiohusika. Kuvuka kuja Tanzania ni bwerere ambapo kama hata wapiga debe kutoka Rwanda wanajifanyia shughuli zao Tanzania kwa raha zao tumebakiza nini?
Yapo mengi ya kushangaza ila itoshe kusema kwa hakika sisi ni shamba la bibi.
Tuendelee kulea hali hizi hadi lini?
akili kama mtoto wa kindagati,poiti hapo ni wizi unao fanywa na maafisa wa serikali ndio maana kuna tofaoti kati ya rwanda na tzNdio alinganishe na nchi inayoanzia mtwara hadi Karega, Ruvuma hadi Rombo, Dar- Kigoma
hapa hakuna furusa tatizo wezi wa maafisa forozaUkiona serikali imeachia baadhi ya mianya sio kwamba haioni ila wamekupa fursa wewe itumie.
Nenda boda ya Tunduma ndio utashangaa watu wanavyojiachia sio wazambia sio watanzania..halafu angalia mzunguko wa fedha ulivyomkubwa...
Hii mipaka ya kikoloni isikutie upofu Sana...Mhimu usalama.
Mbao na madini tu. ??! Tena ya kutoka Nchi jirani au siyo ? Je sisi tuna nini na nini na nini ?!! Ndio maana alisemaga yeye anaweza kuendesha Nchi kwa Bandari tu na Utalii !! Sijui alikuwa anatania au vipi !!Aisee nimekaa kule bhana! vile vibanda hasara vinaondolewa katikati ya kigali na kuwekwa uwanja wa fisi wa kule!
Ukitembea mile mbili nje ya kigali kuna maskini wa kufa mtu. makahaba wa kikongo wana vibanda vijijini wanakuja kudanga kigali. Wana mji mmoja tu Kigali!@ DC kagame hawezi jilinganisha na rais
Wanajiendesha kwa ujambazi wa mbao na madini ya DRC. na mipaka mingine. Wakithibitiwa atakimbia nchi huyo dictator
Umeona eeh. !!Mungu alitupa linchi likuubwa lakini akatunyima akili
Nchi inapokuwa kubwa na mapato ya Serikali nayo yanakuwa makubwa! Nchi inapokuwa ndogo na mapato ya Serikali yanakuwa madogo ! Nazungumzia mazingira ya Nchi zetu za Afrika !!Ni kweli!. Nilipita Rusumo tarehe 05/01/2023 kuelekea Kigali na baadae Gisenyi. Naelewa kuwa Rwanda ni nchi ndogo sana kuilinganisha na Tanzania kwenye ujenzi wa miundombinu, Lakini wenzetu linapokuja suala la ujenzi wa barabara wanasimamia kweli kweli na matokeo ni kazi iliyotukuka.
Kutoka Rusumo hadi Kigali barabara ile iko kwenye viwango vya juu sana, alama za barabarani za wima na zilizochorwa zinaonekana wazi, taa za barabarani zipo hadi Kigali. Mitaro mingi imefunikwa na cha msing zaidi ni nidhamu kwenye uendeshaji unaofuata sheria kwa kiwango kikubwa.
Kuna barabara chache sana zinazoweza kushindana na zile za Rwanda, Barabara zote zilizojengwa na Strabag zinaweza kushindana, kuna barabara moja mpya imejengwa kutoka Kabingo hadi Nduta Junction pamoja na barabara kadhaa zilizojengwa Mbeya na Tabora.....Barabara nyingi zilizojengwa siku za nyuma ni aibu tupu!.🥹
🥹
Hapana hata nusu tu ya mkoa wa Tabora bado, ni kama theluthi moja tu. Rwanda wana square km 26,000 wakati Tabora ina square km 76,000 ushee.Rwanda ni kama Mkoa wa Tabora na wanaiba madini ya Kongo huwezi lingasha na linchi likuubwa kama Tz hata hivyo hakuna cha maana walichituzidi kuanzia barabara hadi majengo marefu. Acha kudanganya 😠😠
Halafu kuna Pimbi anakaza fuvu 😅😅😅Hapana hata nusu tu ya mkoa wa Tabora bado, ni kama theluthi moja tu. Rwanda wana square km 26,000 wakati Tabora ina square km 76,000 ushee.