Kulikoni, mpakani na Rwanda sisi ni shamba la bibi?

Serikali ya. MAJIMBO ITALETA UMAKINI ZAIDI
Inawezekana kwa hakika sidhani yanayoendelea kama yanaweza kuwa na baraka za awaye yote aliye na chembe ya kuwajibika aliye karibu.
 
'Tuendelee kulea hali hii hadi lini?"

Nadhani jibu la swali lako liko wazi mkuu 'brazaj'.

Hadi hapo sisi wananchi tutakapoamua kuondoa uozo wa hawa viongozi tulionao, na kuweka wanaojali maslahi yetu na ya nchi yetu.

Kwani wao Rwanda wamewezaje?

Penye nia pana njia. Kama wananchi wazalendo wasidhani hatuoni wala kuwa tunafurahishwa na waliotufikisha huku.
 
'Resources'? are you crazy!
Hapa hata ungepewa resources zote unazofikiri wewe, hali haiwezi kuwa tofauti na ilivyo sasa.

Ubovu katika uongozi ndiyo kitu pekee kinachosababisha haya yote. Siyo swala la kuwa au kutokuwa na 'resources'.
Bingo.....
Facts 100%
 
Another stupid excuse, eti 'recourses'. Ni recourses zipi zinazohitajika ambazo hatuna?
Kwaio katuzidi nini? Hebu nitajie mkoa nje ya Kigali unipe maendeleo yake.

Ukishindwa futa hilo neno "stupid" 😡😡😡
 
Ukienda mtambaswala border ya TZ na Mozambique ni kinyume cha huko, pale ni ukiwa tz ndio unaona afadhali sana ila msumbiji dah..
Kwa Mozambique northern borders zote ziko hovyo, Cabo Delgado na hata baadhi ya borders zao na Malawi ni za hovyo.
Sasa kaone borders zao na SA au na Eswetini huko ndiko wanakokuthamini.
 
Kwaio katuzidi nini? Hebu nitajie mkoa nje ya Kigali unipe maendeleo yake.

Ukishindwa futa hilo neno "stupid" [emoji35][emoji35][emoji35]
Excuses excuses excuses, rudia usome mada inazungumzia kitu gani au kama upande wa swali langu nimeuliza ni recourses gani ambazo hatuna.
Narudia tena, 'stupid excuses' hazitujengi.
 
Rwanda ni kama Mkoa wa Tabora na wanaiba madini ya Kongo huwezi lingasha na linchi likuubwa kama Tz hata hivyo hakuna cha maana walichituzidi kuanzia barabara hadi majengo marefu. Acha kudanganya 😠😠
Hoja sio udogo wa eneo ni umakini na ufanisi katika kusimamia majukumu uliyopewa.
Ulivyojibu ndo uhalisia wa watanzania wengi, siyo watu makini katika maeneo mengi, ujuaji mwingi na ubabaishaji ndio sifa yetu.
Alichokiandika mtoa Uzi, ni sahihi kabisa. Tumewahi kusafiri kwenda Rwanda kikanisa, ukweli sote tulishangaa, ofisi ya uhamiaji upande wa Tanzania tuliambiwa kusanyeni hati zenu na kuzikabidhi,zikagongwa zote,hakuna aliyehangaika kutazama sura ya mtu.
Tulipofika upande wa Rwanda, tuliambiwa kila mtu ashike hati yake mwenyewe, wamuone ni yeye mwenye hati hiyo.
Yanaweza kuwa ni mambo madogo,lakini yanaashiria uzembe uliokithiri kwenye maeneo mengi Tanzania.
Ukweli tunajitaji kubadilika sana.
Rwanda ni jambo la kawaida kuyaona mabomba ya maji ya chuma yamepita kando ya barabara na hakuna anayejaribu kukata eti akatengenezee mkokoteni, njoo Tanzania Sasa, vibao vya barabarani kikiwa cha chuma hakimalizi wiki.
Ukweli usiopingika bado tuna tatizo kubwa mno. Suala la kuwa wengi kuliko Rwanda siyo hoja ya msingi, pia tuna viongozi wengi na watendaji wengi zaidi ambao ni wazembe pia.
 
Umefika Rwanda au tunajadili nadharia. Nitajie mkoa mkubwa nje ya Kigali na unipe picha za.maendeleo yake ukifananisha na hata Morogoro
 
Excuses excuses excuses, rudia usome mada inazungumzia kitu gani au kama upande wa swali langu nimeuliza ni recourses gani ambazo hatuna.
Narudia tena, 'stupid excuses' hazitujengi.
Achana na mada jibu swali langu
 
Umefika Rwanda au tunajadili nadharia. Nitajie mkoa mkubwa nje ya Kigali na unipe picha za.maendeleo yake ukifananisha na hata Morogoro
Nimefika Rwanda ndio,suala siyo ni tajiri kiasi gani, Bali umakini katika kusimamia majukumu uliyopewa.
Ukubwa na utajiri wa Tanzania kwa maana ya Raslimali kama zingekuwa Rwanda,Nina hakika hali ingekuwa tofauti sana.
 
Hoja sio udogo wa eneo ni umakini na ufanisi katika kusimamia majukumu uliyopewa.
Ulivyojibu ndo uhalisia wa watanzania wengi, siyo watu makini katika maeneo mengi, ujuaji mwingi na ubabaishaji ndio sifa yetu.
Alichokiandika mtoa Uzi, ni sahihi kabisa. Tumewahi kusafiri kwenda Rwanda kikanisa, ukweli sote tulishangaa, ofisi ya uhamiaji upande wa Tanzania tuliambiwa kusanyeni hati zenu na kuzikabidhi,zikagongwa zote,hakuna aliyehangaika kutazama sura ya mtu.
Tulipofika upande wa Rwanda, tuliambiwa kila mtu ashike hati yake mwenyewe, wamuone ni yeye mwenye hati hiyo.
Yanaweza kuwa ni mambo madogo,lakini yanaashiria uzembe uliokithiri kwenye maeneo mengi Tanzania.
Ukweli tunajitaji kubadilika sana.
Rwanda ni jambo la kawaida kuyaona mabomba ya maji ya chuma yamepita kando ya barabara na hakuna anayejaribu kukata eti akatengenezee mkokoteni, njoo Tanzania Sasa, vibao vya barabarani kikiwa cha chuma hakimalizi wiki.
Ukweli usiopingika bado tuna tatizo kubwa mno. Suala la kuwa wengi kuliko Rwanda siyo hoja ya msingi, pia tuna viongozi wengi na watendaji wengi zaidi ambao ni wazembe pia.
Staajabu ya Mussa:

"Tumewahi kusafiri kwenda Rwanda kikanisa, ukweli sote tulishangaa, ofisi ya uhamiaji upande wa Tanzania tuliambiwa kusanyeni hati zenu na kuzikabidhi,zikagongwa zote,hakuna aliyehangaika kutazama sura ya mtu."
 
Nimefika Rwanda ndio,suala siyo ni tajiri kiasi gani, Bali umakini katika kusimamia majukumu uliyopewa.
Ukubwa na utajiri wa Tanzania kwa maana ya Raslimali kama zingekuwa Rwanda,Nina hakika hali ingekuwa tofauti sana.
Huo umakini umewafikisha hatua gani? Nipe maendeleo yako vs tz twende mkoa kwa mkoa

Haya twende kazi
Darvs Kigali
Mwanza vs:..........
Arusha vs.............
Mbeya vs .............
Morogoro vs..........
Iring

Jaza nafasi wazi washirikishe na wenzako
 
Zitambue tofauti hizi mpakani mwa Tanzania na Rwanda katika boda ya Rusumo:

1. Miundo mbinu upande wa Rwanda ni bora zaidi. Barabara, taa za barabarani, security cameras, majengo, fencing, furnitures nk upande wa Rwanda ni kama Ulaya.

2. Upande wa Rwanda taratibu zote katika kila idara yaani forodha, afya, polisi, immigration, usalama nk ni wazi na hakuna rushwa.

3. Waliopo kwenye eneo la serikali mpakani upande wa Rwanda ni wale tu wanaohusika kwa shughuli rasmi za hapo. Yaani wafanyakazi, mawakala wa forodha, mawakala wa bima za magari, wasafiri wavukao nk.

4. Hakuna anayeweza kuvuka kuingia Rwanda pasipo sababu wala idhini ya idara zote husika za huko yaani immigration, usalama na polisi.

5. Upande wa Rwanda wafanyakazi maisha ni kula kwa viwango vya mishahara yao.

6. Kuhusiana na Tanzania itoshe kusema huku ndiko kwenye ulaji wa urefu wa zile kamba zetu. Yaone magari ya wafanyakazi huku. Ama Kwa hakika wanalamba asali kweli kweli.

7. Eneo la serikali huku limesheni hadi wasiohusika. Kuvuka kuja Tanzania ni bwerere ambapo kama hata wapiga debe kutoka Rwanda wanajifanyia shughuli zao Tanzania kwa raha zao tumebakiza nini?

Yapo mengi ya kushangaza ila itoshe kusema kwa hakika sisi ni shamba la bibi.

Tuendelee kulea hali hizi hadi lini?
Nini kinakufanya husihamie huko Rwamda na kuendelea kubaki kwenye shamba la bibi?
 
Ni hasa yale matumaini kuwa siku moja jitihada zetu za kujikomboa zitashika kasi tena dhidi yenu ninyi wenye kutuhimiza kuhamia mnakojua ninyi ikiwamo Burundi.

"Tuendelee kulea hali hizi hadi lini?"

Habari ndiyo hiyo ndugu waziri.
 
Achana na mada jibu swali langu
Kalagabaho....., nchi itaendelea kubaki nyuma kwenye vitu vingi because of your kind of stupid thinking.
Umekwepa kujibu swali still unadandia na cheap justification mwenyewe unaona ni swali la msingi sana.
 
Back
Top Bottom