Kulikoni, mpakani na Rwanda sisi ni shamba la bibi?

Zitambue tofauti hizi mpakani mwa Tanzania na Rwanda katika boda ya Rusumo:

1. Miundo mbinu upande wa Rwanda ni bora zaidi. Barabara, taa za barabarani, security cameras, majengo, fencing, furnitures nk upande wa Rwanda ni kama Ulaya.

2. Upande wa Rwanda taratibu zote katika kila idara yaani forodha, afya, polisi, immigration, usalama nk ni wazi na hakuna rushwa.

3. Waliopo kwenye eneo la serikali mpakani upande wa Rwanda ni wale tu wanaohusika kwa shughuli rasmi za hapo. Yaani wafanyakazi, mawakala wa forodha, mawakala wa bima za magari, wasafiri wavukao nk.

4. Hakuna anayeweza kuvuka kuingia Rwanda pasipo sababu wala idhini ya idara zote husika za huko yaani immigration, usalama na polisi.

5. Upande wa Rwanda wafanyakazi maisha ni kula kwa viwango vya mishahara yao.

6. Kuhusiana na Tanzania itoshe kusema huku ndiko kwenye ulaji wa urefu wa zile kamba zetu. Yaone magari ya wafanyakazi huku. Ama Kwa hakika wanalamba asali kweli kweli.

7. Eneo la serikali huku limesheni hadi wasiohusika. Kuvuka kuja Tanzania ni bwerere ambapo kama hata wapiga debe kutoka Rwanda wanajifanyia shughuli zao Tanzania kwa raha zao tumebakiza nini?

Yapo mengi ya kushangaza ila itoshe kusema kwa hakika sisi ni shamba la bibi.

Tuendelee kulea hali hizi hadi lini?
Ukiona serikali imeachia baadhi ya mianya sio kwamba haioni ila wamekupa fursa wewe itumie.

Nenda boda ya Tunduma ndio utashangaa watu wanavyojiachia sio wazambia sio watanzania..halafu angalia mzunguko wa fedha ulivyomkubwa...

Hii mipaka ya kikoloni isikutie upofu Sana...Mhimu usalama.
 
Ulichoandika umesahau kitu.Rwanda toka Kagame kashika akatengemaa hajawahi zalisha mkimbizi hata mmoja wakati tawala zilizotangulia kutwa ilikuwa tunahaha kupokea wakimbizi wa Rwanda

Rwanda sio tu wako vizuri kudhibiti abiria na mizigo ya kutoka Tanzania wako vizuri pia kudhibiti raia na mizigio vitoka nchini kwao kuja Tanzania na serikali inawaamini kuwa wako vizuri watanzawana wana relax

Tanzania tuna mipaka mingi tu mfano ya Kenya na Tanzania

Tanzania tuko strickt kutoka na kuingia kenya iwe abiria au mizigo kiasi kuwa immigration Kenya hu relax baada ya kuamini control zetu ziko kubwa mno hawawi serious sana.Bidhaa aa abiria Kenya border waweza pita kirahisi ikifika Tanzania border watakoma
 
Hatujadili heading tunajadili content

Heading na contents zote ni consistent. Hali hii haikufikirishi:

4. Hakuna anayeweza kuvuka kuingia Rwanda pasipo sababu wala idhini ya idara zote husika za huko yaani immigration, usalama na polisi.

7. Eneo la serikali huku limesheni hadi wasiohusika. Kuvuka kuja Tanzania ni bwerere ambapo kama hata wapiga debe kutoka Rwanda wanajifanyia shughuli zao Tanzania kwa raha zao tumebakiza nini?

Au wewe ni hadi ufikiwe na ugeni usiostahili ndipo ufunguke macho?
 
Mada umeielewa lakini mkuu? Mada haihusu Tanzania wala Rwanda bali mpakani mwa Tanzania na Rwanda. Rejea kujiridhisha.
Sasa hao ndo watanzania wenyewe sasa.

Ndo maana mm naamini shida haipo upande wa viongozi pekee hata sisi raia huku ambako ndo viongozi wanatakiwa watoke hakuna brain za kutosha

Sent from my CPH1819 using JamiiForums mobile app
 
Ukiona serikali imeachia baadhi ya mianya sio kwamba haioni ila wamekupa fursa wewe itumie.

Nenda boda ya Tunduma ndio utashangaa watu wanavyojiachia sio wazambia sio watanzania..halafu angalia mzunguko wa fedha ulivyomkubwa...

Hii mipaka ya kikoloni isikutie upofu Sana...Mhimu usalama.

Kwanini kujiachia kuwe Tanzania tu? Zingatia:

4. Hakuna anayeweza kuvuka kuingia Rwanda pasipo sababu wala idhini ya idara zote husika za huko yaani immigration, usalama na polisi.

7. Eneo la serikali huku limesheni hadi wasiohusika. Kuvuka kuja Tanzania ni bwerere ambapo kama hata wapiga debe kutoka Rwanda wanajifanyia shughuli zao Tanzania kwa raha zao tumebakiza nini?

Huu siyo unaoitwa urafiki wenye mashaka?

Au kwetu ndiko nchi kufunguliwa kwenyewe?
 
Halafu anatokea Dogo mmoja kaishia Kigali tu analeta uzi, muulize ni mkoa/mji gani mwingine anaujua nje ya Kigali anaanza kugoogle 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Aisee nimekaa kule bhana! vile vibanda hasara vinaondolewa katikati ya kigali na kuwekwa uwanja wa fisi wa kule!
Ukitembea mile mbili nje ya kigali kuna maskini wa kufa mtu. makahaba wa kikongo wana vibanda vijijini wanakuja kudanga kigali. Wana mji mmoja tu Kigali!@ DC kagame hawezi jilinganisha na rais
Wanajiendesha kwa ujambazi wa mbao na madini ya DRC. na mipaka mingine. Wakithibitiwa atakimbia nchi huyo dictator
 
Heading na contents zote ni consistent. Hali hii haikufikirishi:

4. Hakuna anayeweza kuvuka kuingia Rwanda pasipo sababu wala idhini ya idara zote husika za huko yaani immigration, usalama na polisi.

7. Eneo la serikali huku limesheni hadi wasiohusika. Kuvuka kuja Tanzania ni bwerere ambapo kama hata wapiga debe kutoka Rwanda wanajifanyia shughuli zao Tanzania kwa raha zao tumebakiza nini?

Au wewe ni hadi ufikiwe na ugeni usiostahili ndipo ufungike macho?
Mbina unachagua aya hizo 😅😅😅

Aya ya kwanza mbona unairuka?😅😅😅
 
Ukiona serikali imeachia baadhi ya mianya sio kwamba haioni ila wamekupa fursa wewe itumie.

Nenda boda ya Tunduma ndio utashangaa watu wanavyojiachia sio wazambia sio watanzania..halafu angalia mzunguko wa fedha ulivyomkubwa...

Hii mipaka ya kikoloni isikutie upofu Sana...Mhimu usalama.
Mipaka yote isiyo na watu wakorofii raia wa nchi hizo Tanzania huwa hawawi wakali unless waone kuwa mipaka hiyo inatumika na mamluki wakorofi

Mfano wazambia,wa Malawi na wa Msumbiji ni peaceful people tofauti na warundi ,wakenya ,wanyarwanda na wakongo ambao kufanya tukio baya ni dakika tu

Wahamiaji haramu Tanzania wako kibao nchi nyingi lakini ambao hawasumbuliwi sana ni wa msumbiji ,Malawi na Zambia

Hao hata wakishikwa huwa wanakuonyesha hadi ndugu zake wowote waliohamia kiharamu Tanzania na wakija hukiri kuwa wao sio raia

Nchi hizi zingine kumdaka uwe komandoo anakuua afisa uhamiaji ndio maana Tanzania wakali kama pilipili kuna baadhi ya mikoa hata wakuu wa mikoa au wilaya za mpakani na nchi zingine lazima wawe wanajeshi sababu watu wao hizo nchi ni washari sio watu wa Amani .Lugha pekee waelewayo ni vita tu
 
Maneno tu ya mitandaoni na chumvi nyingi! Mbona tulikuwepo na hatukuyaona.
Kwan opereshen ya kufukuza wahamiaj bongo ina athiri nn kagame
He we mduruma ulikuwa wapi wakati PK analalama? Unajua alijenga vibanda vya wakimbizi kwa raia walio timuliwa?
Kagame bila Tanzania na Kongo ni bure amekalia wizi na mapato ya wahamiaji haramu
 
Mbina unachagua aya hizo 😅😅😅

Aya ya kwanza mbona unairuka?😅😅😅

Hapo ninakazia tu mkuu maana waonekana kipofu. Kuna jingine hili nalo:

2. Upande wa Rwanda taratibu zote katika kila idara yaani forodha, afya, polisi, immigration, usalama nk ni wazi na hakuna rushwa.

Sasa #1, #2, #4, na #7 nitakuwa nimeshakuwekea.

Kumbuka yote haya ni relevant boda Rusumo.

Zingatia scope.
 
Mipaka yote isiyo na watu wakorofii raia wa nchi hizo Tanzania huwa hawawi wakali unless waone kuwa mipaka hiyo inatumika na mamluki wakorofi

Mfano wazambia,wa Malawi na wa Msumbiji ni peaceful people tofauti na warundi ,wakenya ,wanyarwanda na wakongo ambao kufanya tukio baya ni dakika tu

Wahamiaji haramu Tanzania wako kibao nchi nyingi lakini ambao hawasumbuliwi sana ni wa msumbiji ,Malawi na Zambia

Hao hata wakishikwa huwa wanakuonyesha hadi ndugu zake wowote waliohamia kiharamu Tanzania na wakija hukiri kuwa wao sio raia

Nchi hizi zingine kumdaka uwe komandoo anakuua afisa uhamiaji ndio maana Tanzania wakali kama pilipili kuna baadhi ya mikoa hata wakuu wa mikoa au wilaya za mpakani na nchi zingine lazima wawe wanajeshi sababu watu wao hizo nchi ni washari sio watu wa Amani .Lugha pekee waelewayo ni vita tu
Nlienda namanga halafu nikachukua boda kanivusha upande wa kenya tukazurura weee baadae kanirudisha wala khakuna mbambamba sikua na gatepass wala paspot yaani unajiachia nia kama warombo wanavuka mpaka wakakula miraa/mirungi halafu wageuza tz wako tilalia na polisi wapo palee 😅😅😅😅
 
Hapo ninakazia tu mkuu maana waonekana kipofu. Kuna jingine hili nalo:

2. Upande wa Rwanda taratibu zote katika kila idara yaani forodha, afya, polisi, immigration, usalama nk ni wazi na hakuna rushwa.

Sasa #1, #2, #4, na #7 nitakuwa nimeshakuwekea.

Kumbuka yote haya ni relevant boda Rusumo.

Zingatia scope.
Jamaa poa unanimalizia 🍻 kichwani leo ijumaa ujue😎
 
Kwanini kujiachia kuwe Tanzania tu? Zingatia:

4. Hakuna anayeweza kuvuka kuingia Rwanda pasipo sababu wala idhini ya idara zote husika za huko yaani immigration, usalama na polisi.

7. Eneo la serikali huku limesheni hadi wasiohusika. Kuvuka kuja Tanzania ni bwerere ambapo kama hata wapiga debe kutoka Rwanda wanajifanyia shughuli zao Tanzania kwa raha zao tumebakiza nini?

Huu siyo unaoitwa urafiki wenye mashaka?

Au kwetu ndiko nchi kufunguliwa kwenyewe?
Rwanda ni nchi ndogo Sana, Rwanda wakifungulia mpaka wa
Tanzania walivyo na Vurugu so watajaa kwenye hako kanchi.
 
Tanzania ni nchi ya kipuuzi sana mkuu. Wala usishangae kwanini watawala wameamua kuifanya nchi hii iwe shamba la bibi. Mitanzania ndivyo tulivyo.

Ninakubaliana nawe. Alizowea kusema shujaa wa chattle vijana wa namna hii wanao mchango mdogo sana katika taifa hili.
 
bado mkenya anazidi kunikumbusha TZ yetu ni shamba la bibi
 
Nlienda namanga halafu nikachukua boda kanivusha upande wa kenya tukazurura weee baadae kanirudisha wala khakuna mbambamba sikua na gatepass wala paspot yaani unajiachia nia kama warombo wanavuka mpaka wakakula miraa/mirungi halafu wageuza tz wako tilalia na polisi wapo palee 😅😅😅😅
Wanajua mtanzania hata avuke mpaka ni peace haendi kufanya ujambazi Kenya wa silaha anaenda tu kuburudisha nafsi na anarudi kwake Tanzania awe na passport au la sio kwamba immigration Kenya hawakuona huyo bodaboda waweza kuwa wanamjua vizuri Kenya wanamjua na aliwaonyesha sign kuwa nimebeba peaceful person ana yake ambayo sio illegal.in Kenya

Mirungi Kenya sio illegal kama Tanzania

Ila Mkenya hawezi ingia kirahisi hivyo kama wewe atakoma sababu immigration wanajua crime rate ya wakenya Tanzania iko juu mmo

Ndio maana Raisi Kagame anahangaika kudhibiti mipaka ya Rwanda ya wanyarwanda watokao na bidhaa zitokazo kwenda nje na viingiaavyo visije chafua brand ya. RWANDA ndio maana wakali mpaka wao uwe unatoka au unaingia au chochote kinaingia au kutoka

Hawataki mchezo wanataka kufanya Rwanda brand ya chochote iwe reliable

Na yuko sahihi
 
Rwanda ni nchi ndogo Sana, Rwanda wakifungulia mpaka wa
Tanzania walivyo na Vurugu so watajaa kwenye hako kanchi.

Yaliyo fyongo si kuvuka mpaka tu. Yameorodheshwa kwenye mada. Kulikoni uhalali wake?
 
Back
Top Bottom