Phillemon Mikael
Platinum Member
- Nov 5, 2006
- 10,557
- 8,673
- Thread starter
-
- #61
HUYU MWANAYE ni rais so ilitegemea watu wengi wajitokeze kwa ajili yake kumsindikiza baba yake … kama Akija Diamond wanakuja iweje washindwe kujitokeza kumsapoti rais wao anaowafanyia miradi mingi mikubwaNyerere alifariki 1999, asilimia kubwa ya watu waliokuwepo walikuwa na connection nae.
Hapana sio fair futa please …….. , Ila haya Mzee Mwinyi alijua ndio maana akataka apumzike Mkuranga kwa Ndugu zake …W
Wazanzibar ni mbwa tu
Nafikiri sio kweli. Nilisikia Zitto pia anasema kuwa asilimia 71 ya wa Tanzania hawamjui mzee Mwinyi. Nafikiri hizo statistics ni za kubumba tu. Ukifanya analysis wakati mzee Mwinyi anastafu urais mwaka 1995 mpaka Leo imeshapita miaka 29.Kwa maana hiyo,kwa mtizamo wako na mtizamo wa Zitto Kabwe kwa miaka 29 iliyopita wamezaliwa watu wengi Sana zaidi ya watu waliokuwepo miaka 29 iliyopita. Hawa watu waliokuwepo ,yaan waliokuwa wamezaliwa tayari, mwaka 1995 , yaani miaka 29 iliyopita tu assume kuwa walizaliwa kuanzia 1960.Waliozaliwa mwaka 1960 mwaka 1995 walikuwa na miaka 35 na sasa wana miaka 64.Na hata kama wengine wamekufa bado wapo wengi, kwa kuwa mtanzania wa miaka 60 ndio anastafu na ni wa kawaida tu. Waliozaliwa mwaka 1970 mwaka 1995 walikuwa na miaka 25 wakati mzee Mwinyi anastafu na sasa wana miaka 54.Hawa bado ni wabichi sana hata kama wemekufa wengine. Waliozaliwa mwaka 1980 wana miaka 44 na ni wengi tu. Nafikiri, wa Tanzania wengi wanamjua Mzee Mwinyi. Kwan waliokuwepo wakati hakiwa ni Rais ni wengi kuliko waliozaliwa baada ya yeye kustaafu.Asilimia kubwa ya watu Tz ni chini ya miaka 35, hawa hawamjui Mwinyi na hakuna connection. Hata msafara wake huku bara watu wachache sana walitokea barabarani kumuaga.
Jumbe aliacha wosia asizikwe kiserikali na wala isihusike.Kabisa wangefanya simplicity kama ya Jumbe.
JPM alifariki akiwa madarakani, Mwinyi kafariki 30 yrs baada ya kuacha madaraka. Kipindi chake cha urais kilifunikwa na uwepo wa Nyerere.Najiuliza, ule umati wa waliomuomboleza Jiwe kila alikopitishwa walihamasishwa na nani?
Tafuta takwimu za sensa uone, umepinga nilifikiri utaweka takwimu tofauti.Nafikiri sio kweli. Nilisikia Zitto pia anasema kuwa asilimia 71 ya wa Tanzania hawamjui mzee Mwinyi. Nafikiri hizo statistics ni za kubumba tu. Ukifanya analysis wakati mzee Mwinyi anastafu urais mwaka 1995 mpaka Leo imeshapita miaka 29.Kwa maana hiyo,kwa mtizamo wako na mtizamo wa Zitto Kabwe kwa miaka 29 iliyopita wamezaliwa watu wengi Sana zaidi ya watu waliokuwepo miaka 29 iliyopita. Hawa watu waliokuwepo ,yaan waliokuwa wamezaliwa tayari, mwaka 1995 , yaani miaka 29 iliyopita tu assume kuwa walizaliwa kuanzia 1960.Waliozaliwa mwaka 1960 mwaka 1995 walikuwa na miaka 35 na sasa wana miaka 64.Na hata kama wengine wamekufa bado wapo wengi, kwa kuwa mtanzania wa miaka 60 ndio anastafu na ni wa kawaida tu. Waliozaliwa mwaka 1970 mwaka 1995 walikuwa na miaka 25 wakati mzee Mwinyi anastafu na sasa wana miaka 54.Hawa bado ni wabichi sana hata kama wemekufa wengine. Waliozaliwa mwaka 1980 wana miaka 44 na ni wengi tu. Nafikiri, wa Tanzania wengi wanamjua Mzee Mwinyi. Kwan waliokuwepo wakati hakiwa ni Rais ni wengi kuliko waliozaliwa baada ya yeye kustaafu.
Sahihi kabisa.JPM alifariki akiwa madarakani, Mwinyi kafariki 30 yrs baada ya kuacha madaraka. Kipindi chake cha urais kilifunikwa na uwepo wa Nyerere.
Wengi hawana ile feeling ya Mwinyi.
Hivi data fact za kitu kama hizi utazipataje? Mimi nasema kwa sababu niliambiwa na mtu ninayemfahamu na kumuamini, aliyeenda kuchukuwa miili ya ndugu zake. Ilichukuwa muda kuwapata kwani lilikuwa ni zoezi la kukagua kila maiti na kupita hospital zote. Hutaki kuamini, kanyaga songa mbele, ebo! Chuki gani na kitu kilishapita na kusahaulika?Ndugu yangu
Nakushauri tu. Hii nchi imejaa uozo mwingi na sintofahamu za kutosha. Tujitahidi kuwa na data au fact za kile tunachotaka kuadress kwani bila hivyo itaonekana tunasambaza chuki zisizo na mbele wala nyuma.
Mkuu wangu siwezi kubeza taarifa lakini je waliofariki ambao unawafahamu na idadi iliyotolewa na serikali imetofautiana kwa figa ipiHivi data fact za kitu kama hizi utazipataje? Mimi nasema kwa sababu niliambiwa na mtu ninayemfahamu na kumuamini, aliyeenda kuchukuwa miili ya ndugu zake. Ilichukuwa muda kuwapata kwani lilikuwa ni zoezi la kukagua kila maiti na kupita hospital zote. Hutaki kuamini, kanyaga songa mbele, ebo! Chuki gani na kitu kilishapita na kusahaulika?
Kama nikakumbuka vizuri polisi iliweka idadi kama ya watu 45 hivi wakati hosptal jama alisema zilikuwa zimepangana maiti. Ni mtu wa uhakika na ni mwana CCM kindaki na alikuwa analaumu. Haya mambo kama unataka kufuatilia unaweza kupita hizo hospital ukaulizia kijanja. Hata wakati wa covid walificha idadi.Mkuu wangu siwezi kubeza taarifa lakini je waliofariki ambao unawafahamu na idadi iliyotolewa na serikali imetofautiana kwa figa ipi
Njooni mumchukue bi kidude wenu aliye Magogoni, hatufai kabisa, ni mbadhirifu wa mali za TanganyikaHuyo ni mbara, sisi wazanzibar hatuwezi kumuaga.
inaacha Maswali kwanini majukwaaa ni Matupu hakuna watu kabisa labda kama huko nje kuna watu wataingia kwa maandaamano kama sherehe za mapinduzi[emoji848][emoji3064][emoji3064]Niko hapa uwanja wa Amaan Zanzibar kwenye shughuli ya kumuaga mpendwa wetu mzee Ali Hassan Mwinyi …inaacha Maswali kwanini majukwaaa ni Matupu hakuna watu kabisa labda kama huko nje kuna watu wataingia kwa maandaamano kama sherehe za mapinduzi , hii inaacha maswali sana ………..Wazanzibar watu wa Ajabu sana …wametuchia?
inaacha Maswali kwanini majukwaaa ni Matupu hakuna watu kabisa labda kama huko nje kuna watu wataingia kwa maandaamano kama sherehe za mapinduziYaani hata UVCCM wazee wa vimbelembele misibani Leo wameshindwa kuhamasisha
Msiba wa jiwe walikufa watu 45 kenya stempadeKwani ukijaa full house anafufuka?
Tuanzie hapo KWANZA.
Asante