Kulikoni Watanzania kushambulia DP World?

Kazi ya Mange hii🀣
Mange anahusika vipi kwenye comments za watu zaidi ya 70's na bado wanaendelea kukoment tu? Yeye kama aliandika chochote kwenye page yake ni yeye, hata wewe unaweza fanya alivyofanya yeye or otherwise mamii.
Hio ndio faida ya mitandao EXPRESS yourself na hata wakikujia wewe juu DON'T HOLD GRUDGES😊😜
 
Dr Hussein Mwinyi ni zawadi waliyoachiwa Wazanzibari na Shujaa Magufuli!

Kanisa Moja Takatifu la Mitume
 
Wadanganyika yaani ni vilaza kweli, yaani miaka zaidi ya 60 bandari watu wamefanya kijiwe cha kuiba na ubadhirifu kwao sawa tu.
Mama kaupiga mwingi miaka 100 ni midogo wangepewa nyundo Mia 200 au 300 hivi waarabu watufundishe binaadamu wanavyofanya kazi kwa faida.
Ombi langu mama Tanesco mkataba wa kuikodisha uwe nyundo Mia 300 maana tumeteseka sana na majizi ya kidanganyika.
Pia iwe standard mashirika na taasisi za umma zote zinazotutia hasara wallpaper kodi kodisha miaka 100.
Mpaka hiki kizazi chenye laana ya kupenda rushwa, wizi, ubinafsi na ubadhirifu chote kiishe
 
Dr Hussein Mwinyi ni zawadi waliyoachiwa Wazanzibari na Shujaa Magufuli!

Kanisa Moja Takatifu la Mitume
Angekuwa na uwezo huo angejiwacha mwenyewe badala ya kwenda kuwa Rais wa kuzimu.

Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
 
Akili za kibongo ndizo hizi, zimejaa hasira dhidi ya yale waliyotendewa mababu zetu zaidi ya miaka mia moja iliyopita. Zimejikita kwenye visasi vya kabla hata hawajazaliwa, poor african minds.
watanzania walioko kwenye mitandao ni wa kwenye mitandao wala wasikutishe kwanza hawapatikani sehemu nyingine yoyote, wengine wako nje ya nchi wala hawana cha kupata wala cha kukosa. Wengi wao wala siyo wapiga kura. Wanajiburudisha ukizingatia furaha ya mtanzania ni kuona mwenzake akiteseka
 
Duh...unajua wamevamia lini? Au uko nyuma ya kalenda mkuu
 
Sahivi kwenye page ya DP world ya Instagram hapatoshi, Watanzania wanaporomosha matusi hatari kwenye page za Waarabu.

DP world kazi wanayo.

View attachment 2661244

View attachment 2661245
wawakilishi wetu wameshaupitisha kwa niaba yetu hao wanaopiga kelele ni kina nani labda km hawajui maana ya uwakilishi. wamekula pesa za mafisadi wa Magufuli, watabwabwaja tu mwisho wa siku mwenye nyumba atalala km kawaida,
 
Sahivi kwenye page ya DP world ya Instagram hapatoshi, Watanzania wanaporomosha matusi hatari kwenye page za Waarabu.

DP world kazi wanayo.

View attachment 2661244

View attachment 2661245

Dawa kwenda kwa page ya CEO mwenyewe kumpa ujumbe.
Tena huyu kama wale waliokuja Ikulu eti..?
Jamaa ana sainisha tuu watu. Sasa sijui na wa India sawa na wetu mkataba.


Group Chairman & CEO of DP World
Sultan Ahmed Bin Sulayem


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…