Kulikoni Waziri Liberata Mulamula! Au Ameparura Mahali?

Na muuza nchi anayeamini kwa kila mwenye Pesa!
 
Kwanza yeye havai shuka kichwani, pili sio rahisi kwa wanawake kukaa pamoja bila kusiutana au hata kuoneana wivu ikiwa ni pamoja na kunyang'anyana mabwana
Kwa hilo la mabwana sidhani,maana umri umeenda hasa Liberata .

Labda ungesema Samia amejikuta anapwaya kwa yule mama.

Elimu zao ni tofauti kubwa kabisaa!
 
wewe ni mmoja wa wasiomkubali. Nimesema kuwa kuna wasiomkubali, lakini elewa kuwa lengo lake kama waziri wa mambo ya nje siyo kujadiliana, kazi ambayo inafanywa na diplomats. Kazi ya waziri ni kuproject interests za Tanzania, na alifanya vizuri sana.
Uko sahihi kabisa.Na Kabudi alilitekeleza hilo 100% kulingana na sera za kiongozi wa wakati ule.
 
Bila shaka inategemea msimamo wa rais aliye madarakani.

Hata Blinken na Pompeo wanaweza kuonekana kama wako tofauti kimisimamo japo wote wanatumikia nafasi ileile katika taifa lilelile.
Kweli kabisa!
 
Jikite kwenye mada
Marekani alipoivamia Iraq kwa kuzusha uongo wa silaha za maangamizi hatukusikia diplomat yeyote akijiuzulu.

Diplomats wa marekani hawana integrity?!
 
wewe ni mmoja wa wasiomkubali. Nimesema kuwa kuna wasiomkubali, lakini elewa kuwa lengo lake kama waziri wa mambo ya nje siyo kujadiliana, kazi ambayo inafanywa na diplomats. Kazi ya waziri ni kuproject interests za Tanzania, na alifanya vizuri sana.
Interest gani mkuu za kwenda Madagascar kutuletea dawa feki ya COVID-19 na wakaipiga wenyewe hapo jengo jeupe
 
Uko sahihi kabisa.Na Kabudi alilitekeleza hilo 100% kulingana na sera za kiongozi wa wakati ule.
Ajabu, wakati Kabudi anatolewa kwenye uwaziri kisingizio kilikuwa umri mkubwa. Aliyeteuliwa kazaliwa 1956, mwaka ambao ndio Kabudi naye alizaliwa.
 
30 March 2022

The Big Picture : China and Tanzania keep alive the TAZARA spirit

#Chinese Foreign Minister Wang Yi spoke with his #Tanzanian counterpart Liberata Mulamula earlier this month. The two sides agreed to deepen the bilateral comprehensive cooperative partnership and synergize the Belt and Road Initiative with Tanzania's Development Vision 2025. So, under the current complex and turbulent international situation, how can developing countries strengthen solidarity and uphold multilateralism? Let's hear it from Mulamula in an exclusive interview
Source : CGTN
 
29 March 2022

Tanzanian FM says developing countries should work together to give peace a chance


The East African country of #Tanzania is thousands of kilometers away from Ukraine, but is feeling the impact of the Russia-Ukraine conflict, says Foreign Minister Liberata Mulamula in an exclusive interview with CGTN's Tian Wei.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…