Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na muuza nchi anayeamini kwa kila mwenye Pesa!Kwa nini Rais alimteua? Najua wengi hawamkubali Kabudi, lakini nadhani aliimudu sana kazi ile japokuwa hakuwa na backaground hiyo. Malengo la Wizara ya mambo ya nje ni matatu tu: (1) Interests za Tanzania, (2) Interests a Tanzania, (3) Interests za Tanzania. Kabudi kama kiongozi alizijua sana interests hizo kuliko huyu mama ambaye kimsingi ni mkaa kati kati.
Kwa hilo la mabwana sidhani,maana umri umeenda hasa Liberata .Kwanza yeye havai shuka kichwani, pili sio rahisi kwa wanawake kukaa pamoja bila kusiutana au hata kuoneana wivu ikiwa ni pamoja na kunyang'anyana mabwana
Mama sa100 ana 62, mulamula 75.Kama kagonga 60 si apumzike ale pensheni
Uko sahihi kabisa.Na Kabudi alilitekeleza hilo 100% kulingana na sera za kiongozi wa wakati ule.wewe ni mmoja wa wasiomkubali. Nimesema kuwa kuna wasiomkubali, lakini elewa kuwa lengo lake kama waziri wa mambo ya nje siyo kujadiliana, kazi ambayo inafanywa na diplomats. Kazi ya waziri ni kuproject interests za Tanzania, na alifanya vizuri sana.
Marekani alipoivamia Iraq kwa kuzusha uongo wa silaha za maangamizi hatukusikia diplomat yeyote akijiuzulu.
Diplomats wa marekani hawana integrity?!
ThanksLiberata Mulamula! Umri umekwenda sana.
She could have been prescribed to go on leave and rest! 75yrs. Sio mchezo si ulimsikia George Bush alisahau Ukraine akasema IRAQ!!For sure... Liberata amepotea sana.... Kutakuwa na tatizo...
Kuna mada na yatokanayo na mada.Jikite kwenye mada
She is not even 65.Thanks
She could have been prescribed to go on leave and rest! 75yrs. Sio mchezo si ulimsikia George Bush alisahau Ukraine akasema IRAQ!!
Kivipi wakati wote elimu yao ni kiwango cha shahada ya uzamili!Elimu zao ni tofauti kubwa kabisaa!
Interest gani mkuu za kwenda Madagascar kutuletea dawa feki ya COVID-19 na wakaipiga wenyewe hapo jengo jeupewewe ni mmoja wa wasiomkubali. Nimesema kuwa kuna wasiomkubali, lakini elewa kuwa lengo lake kama waziri wa mambo ya nje siyo kujadiliana, kazi ambayo inafanywa na diplomats. Kazi ya waziri ni kuproject interests za Tanzania, na alifanya vizuri sana.
Ajabu, wakati Kabudi anatolewa kwenye uwaziri kisingizio kilikuwa umri mkubwa. Aliyeteuliwa kazaliwa 1956, mwaka ambao ndio Kabudi naye alizaliwa.Uko sahihi kabisa.Na Kabudi alilitekeleza hilo 100% kulingana na sera za kiongozi wa wakati ule.
Hakufanya vizuri kama mnavyotaka tuamini! He was just subservient to Magufuli because he had salvaged him from the doldrums.Uko sahihi kabisa.Na Kabudi alilitekeleza hilo 100% kulingana na sera za kiongozi wa wakati ule.
Mbona maza ashagonga 60 lkn 2025 anaiwazia sana kuchukua hatamu tena.Kama kagonga 60 si apumzike ale pensheni