Kapumpuli
JF-Expert Member
- Aug 11, 2018
- 2,040
- 2,674
Kwa kweli... Alianza vizuri sana mara moja baada ya uteuzi... Kwa sasa amekuwa kimya.Umeona eeh!
Sio kawaida hii.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa kweli... Alianza vizuri sana mara moja baada ya uteuzi... Kwa sasa amekuwa kimya.Umeona eeh!
Sio kawaida hii.
Mkuu! Hahahahaaa...Thanks
She could have been prescribed to go on leave and rest! 75yrs. Sio mchezo si ulimsikia George Bush alisahau Ukraine akasema IRAQ!!
Liberata ni mteuliwa wa Rais,kama wameshindwana, Rais ana mamlaka ya kumuondoa muda wowote. Uwaziri mtu anapewa kwa mapenzi ya Rais. Waziri yuko kwenye boundary ya Rais. Kama Rais aliweza kumsakama Spika wa mhimili mwingine mpaka akajiuzulu itakuwa waziri!!Ni kitambo sasa tangu tumuone akiwa bega kwa bega na Rais Samia kwenye ziara za kimataifa, kama inavyopaswa kuwa.
Na Pia katika shughuli zingine za kidiplomasia, ndani ya nchi kama tulivyokwishazowea. kumuona.
Mara ya mwisho hadharani, kama sikosei ilikuwa ni kwenye ziara ya Rais Samia kwenda kuhutubia Baraza la umoja wa Mataifa nchini Marekani.
Huyu ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa nchini Tanzania.
Kidiplomasia anawajibika kuwepo kwenye shughuli zote za Kiserikali, zinazohusiana na Diplomasia na mahusiano ya kimataifa. Pale anapokuwepo Rais kwenye ziara za nje ya nchi.
Hata huyo JK...kilichompatia uzoefu na hadi kuwaaminisha watanzania kwamba angeweza kuongoza nchi hii.
Alianzia huko huko kwenye ziara za Mzee Mkapa (R.I.P).
Liberata Mulamula alianza kwa kasi na kuwa na vyombo vya habari mara nyingi,akiitolea taarifa mbalimbali Serikali kupitia Wizara yake na matukio husika.
Lakini kuanzia kwenye Royal Tour, hatukumuona tena na badala yake tulimuona Bwana Hassan Abbas na wengineo akiwemo Zuhura Yunus.
Hali imeendelea hivyo na hata ziara zilizofuatia hivi karibuni.
ikiwemo ya Uganda na sasa huko Ghana.
Tunaomba mwenye kujua nini kilichomsibu waziri wetu.
Atuwekee hadharani, kwa sababu huyu ni kiongozi wa umma na anapaswa kuwepo kwenye eneo lake la kazi kwa mujibu wa sheria na katiba.
Thanks
She could have been prescribed to go on leave and rest! 75yrs. Sio mchezo si ulimsikia George Bush alisahau Ukraine akasema IRAQ!!
Kwani miaka 66 huchoki na kutakiwa kupumzika meaning REST and not retirement!Mulamula kazaliwa 1956 hivyo ana miaka 66 tu. Ni mtu mzima ila sio mzee hivyo.
Kwani miaka 66 huchoki na kutakiwa kupumzika meaning REST and not retirement!
Naaaam...muda ni mwalimu mzuri sanaUongeaji wake yule mama haueleweki anacheka cheka tu hovyo.
...Uongeaji wake yule mama haueleweki anacheka cheka tu hovyo.
ImetimiaLiberata ni mteuliwa wa Rais,kama wameshindwana, Rais ana mamlaka ya kumuondoa muda wowote. Uwaziri mtu anapewa kwa mapenzi ya Rais. Waziri yuko kwenye boundary ya Rais. Kama Rais aliweza kumsakama Spika wa mhimili mwingine mpaka akajiuzulu itakuwa waziri!!
😂😂 nyundo...Kitu kizito tayariMmetumwa na waliowatuma wana Lao jambo! Mulamula is the best you can have in that position.
[emoji847][emoji847][emoji847]Mmetumwa na waliowatuma wana Lao jambo! Mulamula is the best you can have in that position.
Kwani kucheka ni tatizo?Uongeaji wake yule mama haueleweki anacheka cheka tu hovyo.
Hahaha, kwani anatofautuanaje na mama kiumri?Umri umeenda sana atakuwa kaanza kupoteza kumbukumbu