The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
Fala ni wewe na hao walio like upuuzi wako kwa kutojua majukumu ya Waziri wa mambo ya Nje..Pole Falla
Huyu hapa yuko zake Malabo anapiga Kazi ya diplomasia ya Tanzania 👇
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fala ni wewe na hao walio like upuuzi wako kwa kutojua majukumu ya Waziri wa mambo ya Nje..Pole Falla
Samahani nilifupisha jina lako FALLACY wala sijatukana 😅 😅 😅 😅 😅Fala ni wewe na hao walio like upuuzi wako kwa kuyojua majukumu ya Waziri wa mambo ya Nje..
Huyu hapa yuko zake Malabo anapiga Kazi ya diplomasia ya Tanzania 👇
Kabudi yupo vyema sana.Kwa nini Rais alimteua? Najua wengi hawamkubali Kabudi, lakini nadhani aliimudu sana kazi ile japokuwa hakuwa na backaground hiyo. Malengo la Wizara ya mambo ya nje ni matatu tu: (1) Interests za Tanzania, (2) Interests a Tanzania, (3) Interests za Tanzania. Kabudi kama kiongozi alizijua sana interests hizo kuliko huyu mama ambaye kimsingi ni mkaa kati kati.
Tatizo lako ni ushoga unakusumbuandalichako anavaa shuka kichwani? mbona yupo, na waziri muhagama nae anavaa shuka? mbona bado yupo serikalini. masista kanisani mbona wana vaa shuka husemi, mama yako havai chupi sisi hatusemi
Huyu Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Maendeleo Afrika nchini Tanzania ndio yule mama aliyempokea Rais Samia kule Accra Ghana!!!
Usichokonoe! Lakini kwa kawaida jinsi ile huwa haiivi pamoja!! Huwa ni suala la muda tu. Kisa ni ufuatiliaji wa vitu vidogo vidogo ambavyo kwa me hakuna tatizo kabisa! Hawa wenzetu hata jicho tu linaweza kutafisiriwa ndivyo sivyo mpaka likawa tatizo kubwa!Ni kitambo sasa tangu tumuone akiwa bega kwa bega na Rais Samia kwenye ziara za kimataifa, kama inavyopaswa kuwa.
Na Pia katika shughuli zingine za kidiplomasia, ndani ya nchi kama tulivyokwishazowea. kumuona.
Mara ya mwisho hadharani, kama sikosei ilikuwa ni kwenye ziara ya Rais Samia kwenda kuhutubia Baraza la umoja wa Mataifa nchini Marekani.
Huyu ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa nchini Tanzania.
Kidiplomasia anawajibika kuwepo kwenye shughuli zote za Kiserikali, zinazohusiana na Diplomasia na mahusiano ya kimataifa. Pale anapokuwepo Rais kwenye ziara za nje ya nchi.
Hata huyo JK...kilichompatia uzoefu na hadi kuwaaminisha watanzania kwamba angeweza kuongoza nchi hii.
Alianzia huko huko kwenye ziara za Mzee Mkapa (R.I.P).
Liberata Mulamula alianza kwa kasi na kuwa na vyombo vya habari mara nyingi,akiitolea taarifa mbalimbali Serikali kupitia Wizara yake na matukio husika.
Lakini kuanzia kwenye Royal Tour, hatukumuona tena na badala yake tulimuona Bwana Hassan Abbas na wengineo akiwemo Zuhura Yunus.
Hali imeendelea hivyo na hata ziara zilizofuatia hivi karibuni.
ikiwemo ya Uganda na sasa huko Ghana.
Tunaomba mwenye kujua nini kilichomsibu waziri wetu.
Atuwekee hadharani, kwa sababu huyu ni kiongozi wa umma na anapaswa kuwepo kwenye eneo lake la kazi kwa mujibu wa sheria na katiba.
Marais wote wanampenda kiongozi wetu, Ila kuna changamoto ya jinsi ya kumpokea kiongozi mwanamke muislamu, mfano sasa hivi wengi wanapeana mikono, wakati flani kukumbatiana kidogo, sasa huyu unampokeaje, unamsalimiaje, unamlaki vipi?Hata mwanzoni nilidhani mama kadharauliwa mpaka kupokelewa na MADIWANI Ghana ila baadae nikagundua hakua only head of State alieenda kwenye mkutano ule. Rais mwenyeji hawezi kwenda kupokea wageni wote.
ha ha haSamahani nilifupisha jina lako FALLACY wala sijatukana 😅 😅 😅 😅 😅
Viongozi mbalimbali hata wadhifa na majina havitajwi angalau kufunika kidogo! Kiongozi ambaye anajua anaenda kumpokea Rais halafu anatinga na yebo yebo sijui atakuwa ni mjumbe wa nyumba kumi yule!!Unamaanisha hawa!View attachment 2237889
Kwani wakati anachaguliwa alikuwa na umri mdogo?Liberata Mulamula! Umri umekwenda sana.
Mbona mama ana 62?Kama kagonga 60 si apumzike ale pensheni
Sasa si wamuache apumzike kama umri umeenda hamuoni kuwa hawi msaadaLiberata Mulamula! Umri umekwenda sana.
![]() |
| Waziri wa Mambo ya Nje wa Senegal, Mhe. Aïssata Tall Sall akihutubia washiriki wa Mkutano wa Baraza la Mawaziri wa Mambo ya Nje la Umoja wa Afrika (AU) uliofanyika Jijini Malabo, Equatorial Guinea |
| Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Liberata Mulamula akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya ujumbe wa Tanzania baada ya kumalizika kwa mkutano |
| Mawaziri wa Mambo ya Nje Mambo ya Nje wa Umoja wa Afrika (AU) wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kumaliza mkutano wao |

wanajikumbusha maazimio ya Beijing!!Wednesday, May 25, 2022
Malabo, Equatorial Guinea
WAZIRI MULAMULA ASHIRIKI MKUTANO WA BARAZA LA MAWAZIRI AU
Na Mwandishi wetu, Malabo
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Liberata Mulamula (Mb) ameshiriki Mkutano wa Baraza la Mawaziri wa Mambo ya Nje la Umoja wa Afrika (AU) ulioanza leo Jijini Malabo, Equatorial Guinea.
Kufanyika kwa mkutano huo ni utekelezaji wa maamuzi ya Mkutano wa 35 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika uliofanyika tarehe 6 - 7 Februari 2022 Jijini Addis Ababa, Ethiopia.
Mkutano wa Baraza la Mawaziri ulitanguliwa na Mkutano wa Kisekta wa Mawaziri wanaoshughulika na Wakimbizi, Wahamaji na Majanga ya Kibinadamu uliofanyika kuanzia tarehe 23 - 24 Mei, 2022 Jijini Malabo.
Mkutano huo pamoja na mambo mengine, jukumu lake kubwa ni kuandaa Mkutano Maalum wa 16 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika kuhusu majanga ya kibinadamu pamoja na masuala ya mapambano dhidi ya ugaidi na mabadiliko ya serikali yasiyozingatia Katiba unaotarajiwa kufanyika tarehe 27 – 28 Mei, 2022 Jijini Malabo.
Akiongea wakati wa Ufunguzi wa Mkutano huo, Mwenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika, Bw. Moussa Faki Mahamat alisema kuwa mkutano huo ni mahsusi katika kujadili changamoto mbalimbali za majanga ya kibinadamu pamoja na mapambano dhidi ya ugaidi na mabadiliko ya Serikali yasiyozingatia katiba
“Mkutano huu unafanyika wakati Afrika linapita katika changamoto nyingi ikiwa ni pamoja na za majanga ya kibinadamu,” alisema Bw. Mahamat
Aidha, Bw. Mahamat aliongeza kuwa ugaidi bado ni changamoto na mabadiliko ya Serikali yasioyofuata misingi ya katiba ambayo yametokea miaka ya hivi karibuni yamerudisha nyuma taratibu za kidemokrasia katika chaguzi katika Bara la Afrika.
Mzee yuleNi kitambo sasa tangu tumuone akiwa bega kwa bega na Rais Samia kwenye ziara za kimataifa, kama inavyopaswa kuwa.
Na Pia katika shughuli zingine za kidiplomasia, ndani ya nchi kama tulivyokwishazowea. kumuona.
Mara ya mwisho hadharani, kama sikosei ilikuwa ni kwenye ziara ya Rais Samia kwenda kuhutubia Baraza la umoja wa Mataifa nchini Marekani.
Huyu ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa nchini Tanzania.
Kidiplomasia anawajibika kuwepo kwenye shughuli zote za Kiserikali, zinazohusiana na Diplomasia na mahusiano ya kimataifa. Pale anapokuwepo Rais kwenye ziara za nje ya nchi.
Hata huyo JK...kilichompatia uzoefu na hadi kuwaaminisha watanzania kwamba angeweza kuongoza nchi hii.
Alianzia huko huko kwenye ziara za Mzee Mkapa (R.I.P).
Liberata Mulamula alianza kwa kasi na kuwa na vyombo vya habari mara nyingi,akiitolea taarifa mbalimbali Serikali kupitia Wizara yake na matukio husika.
Lakini kuanzia kwenye Royal Tour, hatukumuona tena na badala yake tulimuona Bwana Hassan Abbas na wengineo akiwemo Zuhura Yunus.
Hali imeendelea hivyo na hata ziara zilizofuatia hivi karibuni.
ikiwemo ya Uganda na sasa huko Ghana.
Tunaomba mwenye kujua nini kilichomsibu waziri wetu.
Atuwekee hadharani, kwa sababu huyu ni kiongozi wa umma na anapaswa kuwepo kwenye eneo lake la kazi kwa mujibu wa sheria na katiba.
nchi imejaza Mazee serikalini hadi aibu! ndo maana hatuendelei maana yote yamechoka Kimwili na kiakili!Mzee yule