Kulikoni ziara za Freeman Mbowe?

Kulikoni ziara za Freeman Mbowe?

Hili swali limfikie na WAKUDADAVUA pia.
Yaani haya ni ma-CEO ya MAPOPOMA, nyuzi zao zote ni MBOWE NA CHADEMA hadi yanakera.
Yanadhani hizi bado ni enzi za kujipendekeza na kupata teuzi kwa kupambana na Mbowe/Chadema kumbe yapo nyuma wakati!
Hii nguvu ungeitumia kujibu hoja ya mleta maada
 
Habari wadau,

Mwishoni mwa mwezi 5 mwaka huu Chadema kupitia mwenyekiti wao Freeman Mbowe walitangaza kuanza ziara nchi nzima za kufufua chama na kusaka wanachama wapya...
Wewe kichwa maji watu wapo dijitali unafikiria kianalogia, wanachama wanajisajili na kunhnua kadi mtandaoni, Lumumba ndiyo wamebaki kupokea wanachama mambo ya kizamani hayo yamepitwa na wakati karne hii
 
Bibi yako huko kijijini inamsaidiaje hiyo digitali?
 
Wewe kama bibi yako haelewi si wote, pia fahamu unaendesha chama unalenga kundi gani, wataleta impact gani?, chama lazima kilenge zaidi kundi la vijana waliowengi na ndiyo wapiga kura wengi lazima uwekeze hapo zaidi
Mabishoo wa mtaani watawapeleka ikulu?
 
Huyo jamaa ni mzee, sasa mambo ya online huoni unamchanganya? Hilo ni li analogia fulani, haya mambo digital unamvuruga tu. Huyo yeye anaamini kwenye hirizi, fitina na Majungu.
Mzee haruhusiwi kuwa mwanachadema?
 
Wewe kichwa maji watu wapo dijitali unafikiria kianalogia, wanachama wanajisajili na kunhnua kadi mtandaoni, Lumumba ndiyo wamebaki kupokea wanachama mambo ya kizamani hayo yamepitwa na wakati karne hii
Mimi hapa sioni mtu hata mmoja anayehangaika na registration za chadema.
 
Habari wadau,

Mwishoni mwa mwezi 5 mwaka huu Chadema kupitia mwenyekiti wao Freeman Mbowe walitangaza kuanza ziara nchi nzima za kufufua chama na kusaka wanachama wapya....
Chama hakina mvuto kwa wananchi wana sema online ili watu tusijue kama wametoswa
 
Hivi mkuu inaweza kupita siku nzima bila wewe kuandika maneno mawili haya: "Chadema au Mbowe?"

Walisema wahenga aisifuye mvua.

Kwa hakika si bure.
Jamani mbona nyinyi hamuachi kutaja viongozi wa Ccm? Najua utasema wao ni viongozi wa serikali. Kwahiyo mnaposhambulia viongozi wa serikali ambao ni wanaccm mnashauri wanaccm wajibu vipi mapigo?

Usiniambie wao wakae kimya kwa kuwa ni jambo haliwezekani
 
Back
Top Bottom