Bams
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 19,362
- 48,879
Huy ni ww kumpuuza. Nadhani ni low below average IQ.Umeambiwa wanafanya online, unaelewa maana ya online registration lakini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huy ni ww kumpuuza. Nadhani ni low below average IQ.Umeambiwa wanafanya online, unaelewa maana ya online registration lakini?
Naona unarohoja tu hapo kwenu koromitjeBibi yako huko kishumundu anajua maana ya online registration?
Laana itawatafuna mpaka mkome
Anajidanganya na hata hiyo kishumundu hajui ipo sehemu ganiunataka kuifananisha kishumundu na kolomije?
Amezoea pale lumumba wanaandikisha majina kwenye kaunta bookUmeambiwa wanafanya online, unaelewa maana ya online registration lakini?
Hii nguvu ungeitumia kujibu hoja ya mleta maadaHili swali limfikie na WAKUDADAVUA pia.
Yaani haya ni ma-CEO ya MAPOPOMA, nyuzi zao zote ni MBOWE NA CHADEMA hadi yanakera.
Yanadhani hizi bado ni enzi za kujipendekeza na kupata teuzi kwa kupambana na Mbowe/Chadema kumbe yapo nyuma wakati!
Wewe kichwa maji watu wapo dijitali unafikiria kianalogia, wanachama wanajisajili na kunhnua kadi mtandaoni, Lumumba ndiyo wamebaki kupokea wanachama mambo ya kizamani hayo yamepitwa na wakati karne hiiHabari wadau,
Mwishoni mwa mwezi 5 mwaka huu Chadema kupitia mwenyekiti wao Freeman Mbowe walitangaza kuanza ziara nchi nzima za kufufua chama na kusaka wanachama wapya...
Bibi yako huko kijijini inamsaidiaje hiyo digitali?Wewe kichwa maji watu wapo dijitali unafikiria kianalogia, wanachama wanajisajili na kunhnua kadi mtandaoni, Lumumba ndiyo wamebaki kupokea wanachama mambo ya kizamani hayo yamepitwa na wakati karne hii
Wewe kama bibi yako haelewi si wote, pia fahamu unaendesha chama unalenga kundi gani, wataleta impact gani?, chama lazima kilenge zaidi kundi la vijana waliowengi na ndiyo wapiga kura wengi lazima uwekeze hapo zaidiBibi yako huko kijijini inamsaidiaje hiyo digitali?
Umeambiwa wanafanya online, unaelewa maana ya online registration lakini?
Mabishoo wa mtaani watawapeleka ikulu?Wewe kama bibi yako haelewi si wote, pia fahamu unaendesha chama unalenga kundi gani, wataleta impact gani?, chama lazima kilenge zaidi kundi la vijana waliowengi na ndiyo wapiga kura wengi lazima uwekeze hapo zaidi
Hao mabibi wako wangapi huko vijijini? Watu wanadeal na kizazi cha sasa ndio kundi kubwa sio hao wastaafu.Bibi yako huko kijijini inamsaidiaje hiyo digitali?
Mimi hapa sioni mtu hata mmoja anayehangaika na registration za chadema.Wewe kichwa maji watu wapo dijitali unafikiria kianalogia, wanachama wanajisajili na kunhnua kadi mtandaoni, Lumumba ndiyo wamebaki kupokea wanachama mambo ya kizamani hayo yamepitwa na wakati karne hii
Chama hakina mvuto kwa wananchi wana sema online ili watu tusijue kama wametoswaHabari wadau,
Mwishoni mwa mwezi 5 mwaka huu Chadema kupitia mwenyekiti wao Freeman Mbowe walitangaza kuanza ziara nchi nzima za kufufua chama na kusaka wanachama wapya....
Mzee haruhusiwi kuwa mwanachadema?
SureKule walikokabidhi akili zao hayupo tena, alikwishaenda zake bila kuaga.
Ndio hivyo tena ndugu yetu, pamoja 'WAZARENDO' wenzie atabakia hivyohivyo na upuuzi wake uleule.
+ UshirikinaHuyo jamaa ni mzee, sasa mambo ya online huoni unamchanganya? Hilo ni li analogia fulani, haya mambo digital unamvuruga tu. Huyo yeye anaamini kwenye hirizi, fitina na Majungu.
Kama vile anataka kuingia guest?Amezoea pale lumumba wanaandikisha majina kwenye kaunta book
Jamani mbona nyinyi hamuachi kutaja viongozi wa Ccm? Najua utasema wao ni viongozi wa serikali. Kwahiyo mnaposhambulia viongozi wa serikali ambao ni wanaccm mnashauri wanaccm wajibu vipi mapigo?Hivi mkuu inaweza kupita siku nzima bila wewe kuandika maneno mawili haya: "Chadema au Mbowe?"
Walisema wahenga aisifuye mvua.
Kwa hakika si bure.