Kulikoni ziara za Freeman Mbowe?

Kulikoni ziara za Freeman Mbowe?

Kule walikokabidhi akili zao hayupo tena, alikwishaenda zake bila kuaga.
Ndio hivyo tena ndugu yetu, pamoja 'WAZARENDO' wenzie atabakia hivyohivyo na upuuzi wake uleule.
Wako wapi wanachama wa kuiandamania chadema?
 
Elitwege Crimea Wakudadavuwa Countrywide YEHODAYA digba sowey

Hawa na wenzao vichwa vyao viko hizi.
20210610_105612.png
 
Mimi hapa sioni mtu hata mmoja anayehangaika na registration za chadema.
Sasa mbona wewe unahangaika na Chadema usiku kucha mchana kutwa,ujue safari hii hakuna teuzi za kimalaya malaya,tulia tu kwa mumeo wacha kuparamia waume za watu shauri yako
 
Yaani mje na chadema digital au iwe analogia ikifika 2025 CCM itafanya yale yale, kionjo kitaanza 2024🤣
 
Sasa mbona wewe unahangaika na Chadema usiku kucha mchana kutwa,ujue safari hii hakuna teuzi za kimalaya malaya,tulia tu kwa mumeo wacha kuparamia waume za watu shauri yako
Nimeuliza swali tu
 
Umalaya wako ulikuponza wanaume wakakutia mimba matokeo yake unajenga chuki kwa chama badala ya kuacha au kupunguza umaraya
 
Umalaya wako ulikuponza wanaume wakakutia mimba matokeo yake unajenga chuki kwa chama badala ya kuacha au kupunguza umaraya
Kwa akili ya nyumbu hapa sasa wananchi watafurika kwenye mikutano ya mbowe kuchukua kadi
 
Back
Top Bottom