SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Wewe mbwiga si ndiyo ulikuwa umejipa kazi ya kumtukana Samia hadi ukapigwa ban humu.Mama ameleta furaha kwa WATANZANIA na pia ni Rais bora kabisa na ni mzuri tena haswa haswa na tumekubalianna mitano tena kwakwe na tunampenda na kwa sababu Moyo haupendi zaidi ya mara moja sasa wanaojipitisha pitisha na Surgery zao za kisaanii wanatuvuruga mama anatosha