Kulikoni ziara za Freeman Mbowe?

Kulikoni ziara za Freeman Mbowe?

Mama ameleta furaha kwa WATANZANIA na pia ni Rais bora kabisa na ni mzuri tena haswa haswa na tumekubalianna mitano tena kwakwe na tunampenda na kwa sababu Moyo haupendi zaidi ya mara moja sasa wanaojipitisha pitisha na Surgery zao za kisaanii wanatuvuruga mama anatosha
Wewe mbwiga si ndiyo ulikuwa umejipa kazi ya kumtukana Samia hadi ukapigwa ban humu.
 
Mama ameleta furaha kwa WATANZANIA na pia ni Rais bora kabisa na ni mzuri tena haswa haswa na tumekubalianna mitano tena kwakwe na tunampenda na kwa sababu Moyo haupendi zaidi ya mara moja sasa wanaojipitisha pitisha na Surgery zao za kisaanii wanatuvuruga mama anatosha
Kweli kabisa
 
Yaani utaambulia matusi hadi ukome. Ukimtaja kipala vijana wa town wanakuona miyayusho!
 
Chadema Kama wanataka kurudi kwenye mioyo ya watu lazima watumie falsafa za Magufuli au wampate mtu mwenye hulka Kama za Magufuli

Kwa kuwa hawana akili hawajui kwamba kadiri wanavyotoa kauli mbaya dhidi ya Magufuli ndiyo wanajiharibia taswira

Natamani ningekuwa mshauri wao
 
Mkuu Magufuli ndo kawanyima kula yao saivi wanatapatapa mtaani bila dira yoyote ndo maana wanalia nae Kila uchao ,, noma Sana kupokonywa tonge mdomoni ..
 
TUACHE KUENDELEZA UHASAMA....WE NEED RECONCILATION.....
WATU WAMEUMIA SAANA
 
Back
Top Bottom