SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Falsafa za dhalim? Never.Chadema Kama wanataka kurudi kwenye mioyo ya watu lazima watumie falsafa za Magufuli au wampate mtu mwenye hulka Kama za Magufuli
Kwa kuwa hawana akili hawajui kwamba kadiri wanavyotoa kauli mbaya dhidi ya Magufuli ndiyo wanajiharibia taswira
Natamani ningekuwa mshauri wao