Kulikuwa na haja gani Putin kuwaua wale marubani na muhudumu wa Ndege badala ya Prigozhin pekee yake?

Prighozin hafufuki hata miaka 1000.
 
Aisee
 
We mzee huwa una stress sana na Warusi.

Bado unaamini huyo mrusi wenu hajauwawa? Asee hii nchi ndiomana bado iko ulimwengu wa tatu.
 
Putin analaumiwa bure! Putin ni mzalendo wa kweli wa Russia! Anaipigania Russia kinyume na maadui wa ndani na nje ya mipaka ya Russia!
Kumbuka US na nchi za West hazilali, target yao ya muda mrefu ni kuisambaratisha Russia.
Sasa ukiona hata raia wa nchi yako anatishia usalama wako na nchi yako unafanyaje?
Kiongozi wa Wagner alikuwa Myahudi! Rais wa Ukraine ambayo iko vitani na Russia ni Myahudi! Rais wa Ukraine ni kibaraka wa US na nchi za Magharibi! Sasa unajuaje kama hakukuwa na njama za kiongozi wa Wagner kwa kushirikiana na Rais wa Ukraine kumpindua Putin kwa maslahi ya US?
Putin alikuwa agenti wa KGB na mpaka leo ni Shushu mzuri tu! Hakuna asichojua! Sasa huwezi kujua kwa nini kiongozi wa Wagner ameuawa! Wewe na Mimi hatujui.
 
Sio KGB now ni FSB
 
Inanikumbusha

Yule bibi wakimarekani,aliyetumiwa na CIA ,amuue fedel Castro .(Yuko hai huyo bibi mpaka Leo)

Akihadisia baada ya kifo Cha Castro ,kwamba castro alikuwa mwanaume wa shoka ,Kila akienda na mbinu zake ,alikuwa anaishia kuchezea tango la Castro TU ,na ikafikia pahala wakawa wapenzi ,kutoka anatakiwa kumuua

Kwahiyo ,huyo dada mzuri huyu ,asilaumiwe ,Tunatakiwa kujua majukumu yake ilikuwa khusu kuhudumu kwenye ndege ya gaidi kama mkuu wa Wegner group au pia alikuwa mwajiliwa na Moscow

Japokua sio KAZI imetumia weredi Sana kuwamaliza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…