Siri ya sifuri
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 2,335
- 1,967
Mkuu, tunza picha hiyo umuenzi na ikufariji pia.
Ila naamini hata ukijiua leo hii kwasababu yake huwezi kukutanishwanae mbinguni,hiyo PC sio type yako!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu, tunza picha hiyo umuenzi na ikufariji pia.
Vietnam cluster bomb zinawatesa hadi leoRejea pia Chechnya ilivyogeuzwa magofu,
Haya mambo yamekuzidi uwezo waachie wenye kuelewa. Iraq , Libya , Afghanistan, Syria kote huko majeshi ya marekani yameingia kupigana. Sasa kama marekani haihusiki majeshi yake yanafanya nini huko?Wanalibya walibeba silaha wakaingia vitani halafu wanaisingizia Marekani.
Majasusi wa France waliotumwa na bwana macronGaddafi aliuwawa na Walibya wenyewe waliomkuta amejificha kwenye mtaro wakati wa mapigano.
Ohoo, na walioweka 'no fly zone' ni walibya wenzake?Gaddafi aliuwawa na Walibya wenyewe waliomkuta amejificha kwenye mtaro wakati wa mapigano.
Prighozin hafufuki hata miaka 1000.Unazumguza nini hata ueleweki - nyie mlijuaje yaliyo zumgumzwa kati ya Prighozin muhudu wa ndege yake - alikuwa anazo mbili we unajua alipanda hipi - halafu anavyo tafutwa kwa udi na uvumba ili auwawe, unafikiri nimjinga kujiingiza kwenye mdomo wa mamba hivi hivi, naye ana mashushu wake wa kuaminika - si ajabu ndegr iliyo pata ajali haikuwa na rubani wala wahudumu wa ndege au Prighozin mwenyewe - jamaa huyu kichwa sana si rahisi kupoteza maisha yake kizembe namna hii - subirini atakuja kuhibukia msiko tegemea - hasa barani Afrika.
Wale walijitolea kwa upumbavu wao!Unakumbuka kifo Cha Magufuli kiliondoka na watu wangapi?
Mkubwa hafi pekee yake
AiseeMzuka wanajamvi!
Mwanadada mrembo Kristina Raspopova alikuwa muhudumu kwenye ndege iliyopata ajali na kumuua boss wa Wagner Yevgeny Prigozhin aliwasiliana na familia yake kabla ya safari kwa kushangaa kwanini safari iliahirishwa eti ndege inafanyiwa matengenezo. Kumbe wanachomeka mabomu.
Sasa kama Putin alitaka kuwaua Boss wa Wagner Prigozhin na wenzake kwanini sasa akawatoa kafara marubani wawili na huyu flight attendant mrembo ambao hawana hatia?
Ni roho mbaya tu hili liputin limemwaga damu Ukraine. Angewaua tu wahuni wenzake kina Prigozhin huko.
Lenyewe limebaki kujificha kwenye mahandaki likila na kulala. Lioga kama nini limeogopa hata kwenda kwenye mkutano wa Brics.
Putin na genge lake wanadhani wataishi milele?
We mzee huwa una stress sana na Warusi.Unazumguza nini hata ueleweki - nyie mlijuaje yaliyo zumgumzwa kati ya Prighozin muhudu wa ndege yake - alikuwa anazo mbili we unajua alipanda hipi - halafu anavyo tafutwa kwa udi na uvumba ili auwawe, unafikiri nimjinga kujiingiza kwenye mdomo wa mamba hivi hivi, naye ana mashushu wake wa kuaminika - si ajabu ndegr iliyo pata ajali haikuwa na rubani wala wahudumu wa ndege au Prighozin mwenyewe - jamaa huyu kichwa sana si rahisi kupoteza maisha yake kizembe namna hii - subirini atakuja kuhibukia msiko tegemea - hasa barani Afrika.
Nataka kujua hapa. Walikufaje?Wale walijitolea kwa upumbavu wao!
Gaddafi kauwawa nawalibya wenyewe pale kwenye mtaro kwenye jiji la silte hakuna mzungu nlomuona paleHasa pale walipomuua the true son of Africa Le Gadaff
Vyanzo vya matatizo vinajulikana, au wewe huvielewi?Sawa. Hata pale Libya 99% ni waislamu lkn waliuana kama kuku.
Sudan asilimia kubwa ni waislam lkn wanachinjana km kuku mpk sasa hivi ila cha ajabu wanamsingizia Marekani.
Sio KGB now ni FSBPutin analaumiwa bure! Putin ni mzalendo wa kweli wa Russia! Anaipigania Russia kinyume na maadui wa ndani na nje ya mipaka ya Russia!
Kumbuka US na nchi za West hazilali, target yao ya muda mrefu ni kuisambaratisha Russia.
Sasa ukiona hata raia wa nchi yako anatishia usalama wako na nchi yako unafanyaje?
Kiongozi wa Wagner alikuwa Myahudi! Rais wa Ukraine ambayo iko vitani na Russia ni Myahudi! Rais wa Ukraine ni kibaraka wa US na nchi za Magharibi! Sasa unajuaje kama hakukuwa na njama za kiongozi wa Wagner kwa kushirikiana na Rais wa Ukraine kumpindua Putin kwa maslahi ya US?
Putin alikuwa agenti wa KGB na mpaka leo ni Shushu mzuri tu! Hakuna asichojua! Sasa huwezi kujua kwa nini kiongozi wa Wagner ameuawa! Wewe na Mimi hatujui.
Mkuu check mchango #49 👌🏿🙌🏿👆🏿😆Duh!