Kulikuwa na jaribio la Mapinduzi Chadema, Sasa wavamia Uchaguzi!

.
 

Attachments

  • JamiiForums1381953234.jpeg
    49.5 KB · Views: 1
Wanyooshe, wanaharakati bado hawajasema,mpk waseme πŸ˜€
 
Mbona waongowaongo kama wewe mpo wengi ila kama ni kweli tutajuwa na haya ni malosa kuamini uvundo tulio ufuga wenyewe.
 
Tueleze kwanini unatumia ubini wa Nyerere ? Una undugu na Steve Nyerere ?
 
Zingatieni mnacheza na mabingwa wa karata za siasa Afrika, huu ndio utofauti wa harakati na siasa duniani.

Na Yericko Nyerere
 
Umeongea ukweli mtupu,hkifungua mitandao utakuta kina Mwambukusi wako busy kusema tuleteeni Lisu huku wanaharakati Wakiwa mstari wa mbele.

Ila kusingizia system ni akili haba.

Mwisho Jamaa yenu Mbowe ameshikwa pabaya msipokuwa makini mnaondoka nae πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Inasemekana wewe na mgombea wako wa uenyekiti Freeman Mbowe na wenzenu kadhaa uko kwenye orodha (list) ya mliokula mapesa ya hongo ya Mama Abdul kupitia kwa mwanae Abdul...

Hoja na kashfa hii inawatesa sana....

Na mnamlaumu Makamu Mwenyekiti kwa "kutokuwa msiri wa kutunza siri mnazoziita siri za chama....". Yericko Nyerere kama hizi ndo "siri za chama" mnazomlaumu nazo Tundu Lissu kuwa ameshindwa kuzitunza, basi hakika nyie ndiye hasa maadui wa CHADEMA mnaostahili kulaaniwa na kila mtu...!

Chuki yenu kwa Tundu Lissu msingi wake uko ktk tuhuma za kashfa hii mbaya kabisa kuwahi kutokea CHADEMA...

Na kama kulikuwa na huu ujinga ulioutoa hapa na kuuandika, Je, mapinduzi haya si yanaweza kuwa sawa na yale yalijaribiwa na kina Zitto Kabwe, Kitila Mkumbo, Samson Mwigamba na wenzao..?

Kama ndiyo hivyo, andaeni mashitaka mkutane kwenye mabaraza ya maamuzi. Mtoe tuhuma zenu ili Tundu Lissu awajibu kwa kadiri mnavyopaswa kujibiwa...

All in all ni kuwa TUNDU LISSU NI MASHINE NYINGINE, HAFUKUZIKI KIZEMBE NA KIJINGA HIVYO NDANI YA CHAMA...

Nyie pambaneni na madhambi yenu huko. Mmejichafua wenyewe, tafuteni njia nyingine ya kujisafisha. Tundu Lissu ni mtu wa haki, hamna sehemu ya kumkamatia...!!
 
Missile of the Nation Pascal Mayalla DR Mambo Jambo Tindo

JokaKuu Kalamu
 
Siasa za chadema ni za kuchafuana wameshamaliza kuwachafua wananchi Sasa wanaanza kuchafuana wao Kwa wao
 
Yericko Nyerere mbona umeukimbia huu uzi wako?
Halafu kwanini tuhuma za Lissu kumuhusu Mbowe kwanini msizijibu muda huu? Mnautumia muda wenu kuandika cheap propaganda badala ya kupooza mashambulizi ya Lissu kwa Mbowe?
 
Yericko Nyerere mbona umeukimbia huu uzi wako?
Halafu kwanini tuhuma za Lissu kumuhusu Mbowe kwanini msizijibu muda huu? Mnautumia muda wenu kuandika cheap propaganda badala ya kupooza mashambulizi ya Lissu kwa Mbowe?
Habari ndio hiyo hutaki unaacha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…