Kulikuwa na jaribio la Mapinduzi Chadema, Sasa wavamia Uchaguzi!

We jamaa unazidi kujiharibia hata hiyo heshima yako ndogo iliyobakia.

Mwanzo ulisema Lissu ni msaliti kwasababu amekuwa akiongea siri za Chama (kamati kuu) hadharani jambo ambalo halipo katika maadili ya chama.

Lakini leo unakuja tena na madai mengine ambayo kwa madai yako yalifanyika ndani ya Chama na tukirejea kauli yako maana yake yalipaswa yawe siri.

Kivipi tena kwako iwe halali kuja hadharani kuyatoa yaliyokuwa sirini na wakati hayo hayo yakitolewa na mwingine aonekane adui wa Chama?
Uasi hauna siri.
 
Baadhi ya Wanachadema hawafahamu kuwa, Kulikuwa na jaribio la Mapinduzi ndani ya @ChademaTz chini ya Kikundi kinachojiita Sauti ya Watanzania ambacho ndani yake kuna Wanaharakati wa ndani wakiongozwa na Dr Slaa mwanaccm ambae ndie alikuwa akiongoza mikutano ya hadhara, Mwabukusi ambae ni Mwanachama wa NCCR Mageuzi, mitandaoni yuko Maria Sarungi mwanachama hai wa CCM na baadhi ya Watz waishio nje (Diaspora) jaribio hilo lililotokea kipindi cha kupinga DP World, Bahati nzuri tulilizima jaribio hilo kwa nguvu kubwa na kuwazuia wasitumie jukwaa la Chadema kufanya mikutano yao.

Sasa wamekuja kwa mlango wa nyuma wamevamia Uchaguzi wa Chadema, wakijiegemeza kwa Tundu Lissu na kufanikiwa kumjaza maneno na fitina kubwa nae akajaa kwenye 18 zao, nyuma yao kuna CCM chini ya Msigwa, na Systeam inayosukuma kete kwa mbali sana na kwa uangalifu mkubwa sana hadi uwe na jicho la tatu ndio utabaini hilo, pia na baadhi ya Wanachadema walioshindwa katika chaguzi za ndani ya chama kuanzia kanda, mikoa na Wilaya ambao kimsingi sio Wapiga Kura bali wapiga kelele. Lengo wakipore chama kwa wanadema na kukidhibiti mikononi mwa ccm na mfumo. Wanachadema msiruhusu chama chenu kiporwe kwa Twita/X na Wasap kisha kukiua chama hiki kwa faida ya ccm.

Tutawashinda, zimefanyika juhudi kadhaa za kumweleza ukweli Lissu kwamba kundi ulilonalo ni kundi linalokwenda kukuua kisiasa na kukupoteza kabisa, lakini ameshupaza shingo tukaamua ikiwa busara imefeli sasa ngoja demokrasia ikaamue, Lissu ataanguka vibaya katika uchaguzi huu yaani akipata kura 100 anatakiwa akafanye sherehe kubwa sana kwao Ikungi. Don't test your master!

Na tutavuka chama kikiwa salama mikononi mwa wanachadema wenyewe! Lakini naomba niweke wazi jambo muhimu ambalo kila mwanachadema anatakiwa kufahamu ni kuwa baada ya uchaguzi huu, Chadema itabadilika na Siasa za nchi hii zitabadilika kwa 100%. Tuwe tayari kwa mabadiliko hayo. Hata ccm wanaoinjinia uchaguzi huu wafahamu kwamba wanaitengeneza Chadema mpya ambayo watakabiliana nayo ikiwa na nguvu ambayo hawatakuja kuiamini maishani mwao! Mfano tu (si rasmi) nani ataamini 2025 akija kuona Jaji Joseph Warioba ndie Mgombea wa Chadema, nasema ni mfano tu usikomaze fuvu. Zingatieni mnacheza na mabingwa wa karata za siasa Afrika, huu ndio utofauti wa harakati na siasa duniani.

Na Yericko Nyerere

Sauti ya Watanzania si ni miongoni mwa jumuia zilizopiga kelele sana kumtetea Mbowe alipokuwa jela kwa kesi ya ugaidi?.

Watu wa Mbowe leteni sera zenu acheni propaganda.
 
Hivi unadhani humu wote humu ndani ni watoto

Humu tupo madaktari, wakurugenzi wa taasisi , ma rais wastaafu
Engineers wabobevu

Hivyo kabla hujaleta takataka yako yoyote humu kaa chini ufikirie kwamba unaenda kuandika kitu ambacho top elites watasoma

Stupid thing to come on my eyes today

Wish your dad could wore a condom what is this?
Habari ndio hiyo msaliti hatumtaki
 
Baadhi ya Wanachadema hawafahamu kuwa, Kulikuwa na jaribio la Mapinduzi ndani ya @ChademaTz chini ya Kikundi kinachojiita Sauti ya Watanzania ambacho ndani yake kuna Wanaharakati wa ndani wakiongozwa na Dr Slaa mwanaccm ambae ndie alikuwa akiongoza mikutano ya hadhara, Mwabukusi ambae ni Mwanachama wa NCCR Mageuzi, mitandaoni yuko Maria Sarungi mwanachama hai wa CCM na baadhi ya Watz waishio nje (Diaspora) jaribio hilo lililotokea kipindi cha kupinga DP World, Bahati nzuri tulilizima jaribio hilo kwa nguvu kubwa na kuwazuia wasitumie jukwaa la Chadema kufanya mikutano yao.

Sasa wamekuja kwa mlango wa nyuma wamevamia Uchaguzi wa Chadema, wakijiegemeza kwa Tundu Lissu na kufanikiwa kumjaza maneno na fitina kubwa nae akajaa kwenye 18 zao, nyuma yao kuna CCM chini ya Msigwa, na Systeam inayosukuma kete kwa mbali sana na kwa uangalifu mkubwa sana hadi uwe na jicho la tatu ndio utabaini hilo, pia na baadhi ya Wanachadema walioshindwa katika chaguzi za ndani ya chama kuanzia kanda, mikoa na Wilaya ambao kimsingi sio Wapiga Kura bali wapiga kelele. Lengo wakipore chama kwa wanadema na kukidhibiti mikononi mwa ccm na mfumo. Wanachadema msiruhusu chama chenu kiporwe kwa Twita/X na Wasap kisha kukiua chama hiki kwa faida ya ccm.

Tutawashinda, zimefanyika juhudi kadhaa za kumweleza ukweli Lissu kwamba kundi ulilonalo ni kundi linalokwenda kukuua kisiasa na kukupoteza kabisa, lakini ameshupaza shingo tukaamua ikiwa busara imefeli sasa ngoja demokrasia ikaamue, Lissu ataanguka vibaya katika uchaguzi huu yaani akipata kura 100 anatakiwa akafanye sherehe kubwa sana kwao Ikungi. Don't test your master!

Na tutavuka chama kikiwa salama mikononi mwa wanachadema wenyewe! Lakini naomba niweke wazi jambo muhimu ambalo kila mwanachadema anatakiwa kufahamu ni kuwa baada ya uchaguzi huu, Chadema itabadilika na Siasa za nchi hii zitabadilika kwa 100%. Tuwe tayari kwa mabadiliko hayo. Hata ccm wanaoinjinia uchaguzi huu wafahamu kwamba wanaitengeneza Chadema mpya ambayo watakabiliana nayo ikiwa na nguvu ambayo hawatakuja kuiamini maishani mwao! Mfano tu (si rasmi) nani ataamini 2025 akija kuona Jaji Joseph Warioba ndie Mgombea wa Chadema, nasema ni mfano tu usikomaze fuvu. Zingatieni mnacheza na mabingwa wa karata za siasa Afrika, huu ndio utofauti wa harakati na siasa duniani.

Na Yericko Nyerere
Takataka
 
Nyie wajinga wa Mbowe tulikuwa tunawaamini na hizi ngonjera zenu miaka ya nyuma. Kwa mwaka huu ulioandika hapa ni ujinga na utoto wala hatuusomi.

Ila hata hivyo kama mapinduzi yenyewe ni kumpindua Mbowe na nyie machawa wake basi nayaunga mkono. Yafanyike kutuondolea uchafu uliotanda pale Chadema.

Wewe unawadanyanya wapuuzi na vijiujasusi vyako uchwara huna akili hata kidogo mpuuzi mmoja wewe!
 
Usiku kucha unajadili debe tupu lazima wewe utakuwa kifuniko.
Tunajadili Ili mzidi kufunguka 😂

Kwa mfano Kitendawili cha Meddy Wenyewe mmefunguka

Wizi wa Kura za Komredi Nyalandu mmefunguka

Sisi tunachukua Notes tu Kwa ajili ya Mtihani wa October 2025 🐼
 
Mbowe for life..ujinga mtupu hata Zitto kabwe mlituaminisha kwa mashair ya kichovu kama haya...
Unakumbuka sakata la akina kitila mkubo ,Habibu MChange na Juliana Shonza ,ulivyokuwa unaadika uharo kama huu?
Mwisho wenu umefika now ni zam ya Lissu
 
Nyie wajinga wa Mbowe tulikuwa tunawaamini na hizi ngonjera zenu miaka ya nyuma. Kwa mwaka huu ulioandika hapa ni ujinga na utoto wala hatuusomi.

Ila hata hivyo kama mapinduzi yenyewe ni kumpindua Mbowe na nyie machawa wake basi nayaunga mkono. Yafanyike kutuondolea uchafu uliotanda pale Chadema.

Wewe unawadanyanya wapuuzi na vijiujasusi vyako uchwara huna akili hata kidogo mpuuzi mmoja wewe!
Unaunga mkono mapinduzi?
 
Tumemchoka nkurunzinza tunataka changamoto mpya lissu atatusogeza mbele
 
Back
Top Bottom