Kulikuwa na jaribio la Mapinduzi Chadema, Sasa wavamia Uchaguzi!

Kuna atakae kuelewa kweli kwa Sasa!
Maana nawe ni Chawa Kama Chawa wengine wa hiyo Saccos ya wachaga.
Eti maria mwana CCM hai!!
Mbowe nae tumsemeje?
Makabila mengine Nchi hii hawajiamini kabisa,kila kitu lawama kwa wachaga.

Yani mnagombana wenyewe kwenye chama chenu lawama kwa wachaga 😀

Hakuna jambo ambalo litatajwa mchaga asisingiziwe.
 
Baadhi ya Wanachadema hawafahamu kuwa, Kulikuwa na jaribio la Mapinduzi ndani ya @ChademaTz chini ya Kikundi kinachojiita Sauti ya Watanzania ambacho ndani yake kuna Wanaharakati wa ndani wakiongozwa na Dr Slaa mwanaccm ambae ndie alikuwa akiongoza mikutano ya hadhara, Mwabukusi ambae ni Mwanachama wa NCCR Mageuzi, mitandaoni yuko Maria Sarungi mwanachama hai wa CCM na baadhi ya Watz waishio nje (Diaspora) jaribio hilo lililotokea kipindi cha kupinga DP World, Bahati nzuri tulilizima jaribio hilo kwa nguvu kubwa na kuwazuia wasitumie jukwaa la Chadema kufanya mikutano yao.

Sasa wamekuja kwa mlango wa nyuma wamevamia Uchaguzi wa Chadema, wakijiegemeza kwa Tundu Lissu na kufanikiwa kumjaza maneno na fitina kubwa nae akajaa kwenye 18 zao, nyuma yao kuna CCM chini ya Msigwa, na Systeam inayosukuma kete kwa mbali sana na kwa uangalifu mkubwa sana hadi uwe na jicho la tatu ndio utabaini hilo, pia na baadhi ya Wanachadema walioshindwa katika chaguzi za ndani ya chama kuanzia kanda, mikoa na Wilaya ambao kimsingi sio Wapiga Kura bali wapiga kelele. Lengo wakipore chama kwa wanadema na kukidhibiti mikononi mwa ccm na mfumo. Wanachadema msiruhusu chama chenu kiporwe kwa Twita/X na Wasap kisha kukiua chama hiki kwa faida ya ccm.

Tutawashinda, zimefanyika juhudi kadhaa za kumweleza ukweli Lissu kwamba kundi ulilonalo ni kundi linalokwenda kukuua kisiasa na kukupoteza kabisa, lakini ameshupaza shingo tukaamua ikiwa busara imefeli sasa ngoja demokrasia ikaamue, Lissu ataanguka vibaya katika uchaguzi huu yaani akipata kura 100 anatakiwa akafanye sherehe kubwa sana kwao Ikungi. Don't test your master!

Na tutavuka chama kikiwa salama mikononi mwa wanachadema wenyewe! Lakini naomba niweke wazi jambo muhimu ambalo kila mwanachadema anatakiwa kufahamu ni kuwa baada ya uchaguzi huu, Chadema itabadilika na Siasa za nchi hii zitabadilika kwa 100%. Tuwe tayari kwa mabadiliko hayo. Hata ccm wanaoinjinia uchaguzi huu wafahamu kwamba wanaitengeneza Chadema mpya ambayo watakabiliana nayo ikiwa na nguvu ambayo hawatakuja kuiamini maishani mwao! Mfano tu (si rasmi) nani ataamini 2025 akija kuona Jaji Joseph Warioba ndie Mgombea wa Chadema, nasema ni mfano tu usikomaze fuvu. Zingatieni mnacheza na mabingwa wa karata za siasa Afrika, huu ndio utofauti wa harakati na siasa duniani.

Na Yericko Nyerere
Ngoja wengine tusome tu
 
Fukuza Lisu aambae na wafuasi wake.Tuone atafanya nini
 
WAtanzania wanafatilia kwa karibu, angalizo langu msiitishe maandamano ndani ya ama miaka 3 hivi
 
Endapo TAL atapita na kuwa chairman
na uhakika utakuwa mwisho wa CDM kuwa chama kikuu cha upinzani
 
Propaganda hizi hazina nafasi kwa sasa, mlizifanya enzi za Chacha Wangwe na Zitto mkafanikiwa.
Chama awamu hii kinarudi kwa wanachama na tunakata mirija ya kikundi kidogo cha kitapeli.
Mwanzo tuliwaamini tukidhani nyie ni wenzetu mnapigania mabadiliko ya kweli kumbe mnapigania matumbo yenu tu.
 
Makabila mengine Nchi hii hawajiamini kabisa,kila kitu lawama kwa wachaga.

Yani mnagombana wenyewe kwenye chama chenu lawama kwa wachaga 😀

Hakuna jambo ambalo litatajwa mchaga asisingiziwe.
Chama chetu kipi?
Tunagombana wenyewe kina nani?
Anyway Zamani tulijua ni Chama kumbe ni kikuundi chenye mhimili kuwa usipokuwa mchaga huruhusiwi kuwa mwenyekiti.na ndicho tunachokipinga.
Au huelewi?
 
Wewe hutaki wanasiasa wa Twita ama X, ila unakuja kupuyanga kwa wanaJF usiowajua hata kwa jina (isipokuwa baadhi)

Uchawa unaondekeza, utakuja kupelekewa moto na master wako. Since you can't ever resist him.

Bullshit at its best.

Eti mapinduzi?
So, what was the motive behind unachikiita mapinduzi ya CHADEMA? Na wanaharakati unaodai walitaka kufanya mapinduzi, mbona hoja zenu na zao juu ya DP zilikuwa zinalandana?

Anyway, kwa nini hilo hamkulisema wakati huo ije kuwa ajenda yenu kwa sasa?
Ukipewa taarifa, una options za kuifanyia kazi au kuipuuza. Hakuna haja ya matusi na personal attacks
 
Chama chetu kipi?
Tunagombana wenyewe kina nani?
Anyway Zamani tulijua ni Chama kumbe ni kikuundi chenye mhimili kuwa usipokuwa mchaga huruhusiwi kuwa mwenyekiti.na ndicho tunachokipinga.
Au huelewi?
Wamekulazimisha?
Hama chama,vyama vipo 19,na vingine havina watu 😀

Yakikushinda njoo ulime huku simiyu,mashamba kibao
 
Back
Top Bottom