Kulikuwa na jaribio la Mapinduzi Chadema, Sasa wavamia Uchaguzi!

Kuna atakae kuelewa kweli kwa Sasa!
Maana nawe ni Chawa Kama Chawa wengine wa hiyo Saccos ya wachaga.
Eti maria mwana CCM hai!!
Mbowe nae tumsemeje?
Makabila mengine Nchi hii hawajiamini kabisa,kila kitu lawama kwa wachaga.

Yani mnagombana wenyewe kwenye chama chenu lawama kwa wachaga πŸ˜€

Hakuna jambo ambalo litatajwa mchaga asisingiziwe.
 
Ngoja wengine tusome tu
 
Fukuza Lisu aambae na wafuasi wake.Tuone atafanya nini
 
WAtanzania wanafatilia kwa karibu, angalizo langu msiitishe maandamano ndani ya ama miaka 3 hivi
 
Endapo TAL atapita na kuwa chairman
na uhakika utakuwa mwisho wa CDM kuwa chama kikuu cha upinzani
 
Propaganda hizi hazina nafasi kwa sasa, mlizifanya enzi za Chacha Wangwe na Zitto mkafanikiwa.
Chama awamu hii kinarudi kwa wanachama na tunakata mirija ya kikundi kidogo cha kitapeli.
Mwanzo tuliwaamini tukidhani nyie ni wenzetu mnapigania mabadiliko ya kweli kumbe mnapigania matumbo yenu tu.
 
Makabila mengine Nchi hii hawajiamini kabisa,kila kitu lawama kwa wachaga.

Yani mnagombana wenyewe kwenye chama chenu lawama kwa wachaga πŸ˜€

Hakuna jambo ambalo litatajwa mchaga asisingiziwe.
Chama chetu kipi?
Tunagombana wenyewe kina nani?
Anyway Zamani tulijua ni Chama kumbe ni kikuundi chenye mhimili kuwa usipokuwa mchaga huruhusiwi kuwa mwenyekiti.na ndicho tunachokipinga.
Au huelewi?
 
Ukipewa taarifa, una options za kuifanyia kazi au kuipuuza. Hakuna haja ya matusi na personal attacks
 
Chama chetu kipi?
Tunagombana wenyewe kina nani?
Anyway Zamani tulijua ni Chama kumbe ni kikuundi chenye mhimili kuwa usipokuwa mchaga huruhusiwi kuwa mwenyekiti.na ndicho tunachokipinga.
Au huelewi?
Wamekulazimisha?
Hama chama,vyama vipo 19,na vingine havina watu πŸ˜€

Yakikushinda njoo ulime huku simiyu,mashamba kibao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…