Nyie nadhani vilio vitaendelea mpaka mtasema,,Tabora wameifunga yanga mechi ngapi? Si Moja? Uwezi kusema tabora ni tawi la yanga wakati kaifunga yanga mechi Moja na Simba kumfunga tabora mechi zote! Kwenye timu 16 yanga kazifunga karibia robo tatu ya hizo timu ikiwemo Simba unayoisema,,kwanini ushangae singida kufungwa na yanga?Oohh kwahiyo na ninyi tuseme mkicheza na simba mnakamia ila mkicheza na timu zinazowafunga kama azam na tabora mnalegeza siyo, maana ninyi mko radhi mfungwe au kutoa draw na timu yoyote ile ila siyo simba, ilihali simba msimu huu wamefungwa na yanga tu kwahiyo tuseme na ninyi ni tawi la azam na tabora siyo