Kulikuwa na sababu gani Singida Black Stars kuanzisha wachezaji wengi wa kikosi cha pili wakati wachezaji kikosi cha kwanza wapo fit?

Kulikuwa na sababu gani Singida Black Stars kuanzisha wachezaji wengi wa kikosi cha pili wakati wachezaji kikosi cha kwanza wapo fit?

Oohh kwahiyo na ninyi tuseme mkicheza na simba mnakamia ila mkicheza na timu zinazowafunga kama azam na tabora mnalegeza siyo, maana ninyi mko radhi mfungwe au kutoa draw na timu yoyote ile ila siyo simba, ilihali simba msimu huu wamefungwa na yanga tu kwahiyo tuseme na ninyi ni tawi la azam na tabora siyo
Nyie nadhani vilio vitaendelea mpaka mtasema,,Tabora wameifunga yanga mechi ngapi? Si Moja? Uwezi kusema tabora ni tawi la yanga wakati kaifunga yanga mechi Moja na Simba kumfunga tabora mechi zote! Kwenye timu 16 yanga kazifunga karibia robo tatu ya hizo timu ikiwemo Simba unayoisema,,kwanini ushangae singida kufungwa na yanga?
 
Wachazaji wote waliocheza ni waajiliwa halali wa Singida BS, tusiwapangie nani acheze na yupi asicheze, wakatiwanafanya recruitment walijua ni wakati Gani mchezaji atawafaa.
 
Wakati najiuliza swali hilo hata mtangazaji wa Azam Sports Patrick Nyembera aliuliza wachambuzi wa Azam Sports swali hilo hilo.

Lakini si mimi wala hao wachambuzi walikuwa na majibu ya kueleweka.

Mbali na hilo licha ya kufungwa lakini Singida Black Stars ni kama walikuwa wanapoteza muda wenyewe kwenye mechi hiyo tofauti kabisa na mechi ya Simba kule Liti Stadium - Singida ambapo waliuma meno mwanzo mwisho.

Ni nini kinaendelea kwenye hizi mechi za Yanga??
Unataka kumpangia mwajiri matumizi sahihi ya raslimali watu aliowaajiri? Wachezaji wote wanalipwa mshahari Kwa kuvuja jasho na SI kukaa benchi.
 
Kwanini Umuache Makambo na Yacouba Sogne kwenye mchezo muhimu wa Ligi? 😀 Ubaya Ubwege
 
Nyie nadhani vilio vitaendelea mpaka mtasema,,Tabora wameifunga yanga mechi ngapi? Si Moja? Uwezi kusema tabora ni tawi la yanga wakati kaifunga yanga mechi Moja na Simba kumfunga tabora mechi zote! Kwenye timu 16 yanga kazifunga karibia robo tatu ya hizo timu ikiwemo Simba unayoisema,,kwanini ushangae singida kufungwa na yanga?
Hebu acha porojo wewe hiyo tabora imeanza lini kukamia mechi za yanga ninyi wenyewe si mlisema ile mechi mlikosa baadhi ya key players, jkt hiyo hapo imewakamia hadi mmetoa draw lakini sijasikia mkisema kwamba ni tawi la simba, ninyi hamkamiwi na timu yoyote ndio uwezo wenu ulipoishia hebu acheni kusema vitu eti kisa tu mashabiki wa simba nao wanasema angalieni uhalisia
 
U

Uhalisia upi? Uhalisia unaujua wewe? Sasa hivi mngekuwa na point ngapi mechi zingechezeshwa kihalali?
 
U

Uhalisia upi? Uhalisia unaujua wewe? Sasa hivi mngekuwa na point ngapi mechi zingechezeshwa kihalali?
Sisi tungekuwa na point 50 huku ninyi mngekuwa na point 49
 
Sisi tungekuwa na point 50 huku ninyi mngekuwa na point 49
Mechi na pamba Jiji refa aliwapa zawadi ya ushindi,,ilikuwa sare,Mechi na Dodoma Kila mtu aliona ilikuwa sare, mechi na Azam refa akaibuka Tena kuwa Man of the match,,mechi na Jkt hivyo hivyo sasa hizo point 50 ungezipatia wapi? Ungeziiba?
 
Wakati najiuliza swali hilo hata mtangazaji wa Azam Sports Patrick Nyembera aliuliza wachambuzi wa Azam Sports swali hilo hilo.

Lakini si mimi wala hao wachambuzi walikuwa na majibu ya kueleweka.

Mbali na hilo licha ya kufungwa lakini Singida Black Stars ni kama walikuwa wanapoteza muda wenyewe kwenye mechi hiyo tofauti kabisa na mechi ya Simba kule Liti Stadium - Singida ambapo waliuma meno mwanzo mwisho.

Ni nini kinaendelea kwenye hizi mechi za Yanga??
Kwani sio wachezaji wao?
ushauri
Mechi ya 8/3 wachezaji hawa waanze....
*Manula
*Kazi
*Kijili
*Nouma
Si kupangiana vikosi !...sasa na nyie waanzisheni hao kwanini hawachezi ?
 
Hakuna timu Tanzania yenye uthubutu wa kuchezesha kikosi B kwa mechi kama ile ya jana. Hata Simba wana kikosi B lakini huwa hawachezi.

Mfano mechi ya Manchester Utd Vs Spurs juzi hapa. Walikuwa na wachezaji wa kikosi cha kwanza wasio majeruhi 12 na zaidi ya wachezaji wa kikosi cha kwanza zaidi ya 10 ni majeruhi. Wachezaji 6 waliokuwa Sub sio wachezaji wa kikosi cha kwanza cha Manchester utd walitoka Academy. Ni Linderlof pekee ndio alikuwa mchezaji wa kikosi cha kwanza kwenye benchi.

Wachezaji wote walioanza mechi walikuwa wa kikosi cha kwanza ingawa si wote ni regular starter.

Singida walichezesha wachezaji wa kikosi cha kwanza ambao baadhi yao wakiwa si wanaoanza siku zote[first 11].
20250218_183826.jpg

Utopolo hiyo ndio lugha wanamichezo tunaelewa hizo hekaya zako peleka utopoloni.
 
Unataka kumpangia mwajiri matumizi sahihi ya raslimali watu aliowaajiri? Wachezaji wote wanalipwa mshahari Kwa kuvuja jasho na SI kukaa benchi.
Tunalipa viingilio atupe standard sisi walaji vinginevyo wasituite kwenye mechi zao ili wafanye maigizo wao wenyewe
 
Ligi yetu inakuwa Externally Intenally Inakufa siku hadi siku.

Ila naona Mpira wetu Unakwenda kufa kwasababu ya Mambo Mengi na Siasa Ikiwemo.

Tanzania Yangu.
 
Kocha wao alieleza sababu kabla ya mchezo. Wewe kama uliangalia uchambuzi kwa nini hizo sababu umeziweka kando. Kwa ufupi kocha ndiye mwenye maamuzi ya nani acheze na na nani acheze. Wewe kwenye kazi yako nani kakuingilia? Kama unahisi Yanga ni mbovu peleka timu yako basi tuone.
Mbona timu yangu MC Alger nilisha ileta.
 
Back
Top Bottom