Chagu wa Malunde
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,734
- 5,750
Wewe ungekuwa sawa ungejua umuhimu wa kuingiza pato kupitia Atcl na watalii kwa pamoja.Ningeshangaa kama hii hoja ya watalii isingeibuka kwenye uzi huu, kabla ya hizo ndege hapakuwepo na mashirika mengine ya ndege yaliyoleta wageni hapa nchini? ama ndege hizi za ATCL zina kivutio cha ziada kitakachopelekea wageni wazipande kwa wingi kumiminika Tanzania?
Ushamba na ulimbukeni ni mzigo kwa taifa letuBinafsi nimewahi kupanda ndege mara moja tu ukubwani na utotoni sidhani kama nimewahi kupanda. Nililipa 120k tu kwenda Mbeya na kurudi kwa Fast Jet 2015 kabla midege yetu haijapata sifa hizi.
Sasa hizi ndege zimeleta faida kwa kundi lipi kama tangu awali kabla ya ujio wa haya ma bombardier na Airbus za Magufuli huduma bora na rahisi zilikuwepo?
- Je, nauli zimeshuka kwa Watanzania?
-Je,pato linaloingia kupitia hizi ndege ni kubwa kuweza kuboresha sekta ya kilimo au afya?
*Tunaomba hesabu ya mapato na matumizi yatokanayo na hizi ndege.
Magufuli ungenunua trekta kila kijiji, na wananchi wangekuwa wanachangia fedha kidogo tu kwaajili ya Mafuta, repair na ujira wa operator wa tractor ungetukuzwa zaidi na wananchi. Umaskini ungepotea kabisa by reality hapa nchini na vijana wangerudi kijijini kulima.
Kuna mtu mmoja alisema ukijenga nyumba bila baraka ya watoto nyumba hiyo haitakuwa na baraka. Sasa naanza kumwelewa yule mtu .
Ndege alinunua ili apande yeye na wanaccm wenzake.Anapandisha bei za kupanda ndege bila kupandisha mishahara, hapohapo ananyanyasa wafanyabiashara kwa kodi lukuki, sijui alitegemea nani azipande hizo ndege mpaka zilete faida. Hakukuwa na ulazima wa kununua ndege nyingi kwa cash. Meko anatumia vibaya kodi zetu hapaswi kupewa tena kazi.
Kiuchumi, unapokuwa na hela ambayo haitoshi mfano Nchi zote za ulimwengu wa tatu; kuna kitu kinaitwa Opportunity cost
Namaanisha ,ukinunua kitu kimoja lazima kingine kikose/kisubiri
Lakini pia, lazima tukubaliane kuwa Kila mtu anaweza kuwa na mawazo yake anayo amini yatachochea uchumi ila mwingine akafikiri tofauti na ndio sababu watu/viongozi kila mmoja ana wakati wake wa kuleta mabadiliko.
Nikupe mf: Kwa mtu akiajiriwa mara ya kwanza wakati hana kitu chochote na mshahara hautoshi; kuna ataona muhimu sana kwake ni Kitanda na Godoro, mwingine muhimu sana ni TV na mwingine muhimu sana Music system nk
Kimsingi hao wote wapo sahihi japo kila mtu anaweza kujadili kivyake......kilichotokea hapo ni opportunity cost
Namaanisha; hata hivyo vingine vitafanyika tena labda kwa uzuri zaidi kwani atakuwa amemaliza upande mmoja
SAMAHANI HAPO NIMEJADILI KIUCHUMI
Nakupongeza kwa mada hii.Binafsi nimewahi kupanda ndege mara moja tu ukubwani na utotoni sidhani kama nimewahi kupanda. Nililipa 120k tu kwenda Mbeya na kurudi kwa Fast Jet 2015 kabla midege yetu haijapata sifa hizi.
Sasa hizi ndege zimeleta faida kwa kundi lipi kama tangu awali kabla ya ujio wa haya ma bombardier na Airbus za Magufuli huduma bora na rahisi zilikuwepo?
- Je, nauli zimeshuka kwa Watanzania?
-Je,pato linaloingia kupitia hizi ndege ni kubwa kuweza kuboresha sekta ya kilimo au afya?
*Tunaomba hesabu ya mapato na matumizi yatokanayo na hizi ndege.
Magufuli ungenunua trekta kila kijiji, na wananchi wangekuwa wanachangia fedha kidogo tu kwaajili ya Mafuta, repair na ujira wa operator wa tractor ungetukuzwa zaidi na wananchi. Umaskini ungepotea kabisa by reality hapa nchini na vijana wangerudi kijijini kulima.
Kuna mtu mmoja alisema ukijenga nyumba bila baraka ya watoto nyumba hiyo haitakuwa na baraka. Sasa naanza kumwelewa yule mtu .
Hakuna kiji kisicho na wakulima, vinginevyo utuambie wanaishi kwa nyama au samski tu na kwamba hawaishi kwa nafaka na mboga.Eti kila Kijiji kipewe trekta akili Huna Kuna vijiji Ni wafugaji sio wakulima na Kuna vijiji hawalimi hulima mazao ya kudumu Kama mikorosho ,Chai ,kahawa nk
Kuna vijiji viko maeneo ya milima yenye
Kuna vijiji Ni vya wavuvi hayo matrekta watalima kwenye maji? Chadema hamna akili
Eti kila Kijiji!!!!
Serikali kwa awamu zote wamejitahidi upande wa barabara, ni wakati muafaka kabisa kuwekeza kwenye kilimo kwa dhati kabisa. Takribani robo tatu ya wananchi wanategemea kilimo na ukiwekeza hapo utabadilisha uchumi wa wengi.Wakishalima watasafilishaje mazao yao?
Au mnataka walime kisha viozee ndani na wapate hasara kisha mseme hapakuwa na mikakati?
Mkinipa kura tuu.. Naongeza nyingine tanoBinafsi nimewahi kupanda ndege mara moja tu ukubwani na utotoni sidhani kama nimewahi kupanda. Nililipa 120k tu kwenda Mbeya na kurudi kwa Fast Jet 2015 kabla midege yetu haijapata sifa hizi.
Sasa hizi ndege zimeleta faida kwa kundi lipi kama tangu awali kabla ya ujio wa haya ma bombardier na Airbus za Magufuli huduma bora na rahisi zilikuwepo?
- Je, nauli zimeshuka kwa Watanzania?
-Je,pato linaloingia kupitia hizi ndege ni kubwa kuweza kuboresha sekta ya kilimo au afya?
*Tunaomba hesabu ya mapato na matumizi yatokanayo na hizi ndege.
Magufuli ungenunua trekta kila kijiji, na wananchi wangekuwa wanachangia fedha kidogo tu kwaajili ya Mafuta, repair na ujira wa operator wa tractor ungetukuzwa zaidi na wananchi. Umaskini ungepotea kabisa by reality hapa nchini na vijana wangerudi kijijini kulima.
Kuna mtu mmoja alisema ukijenga nyumba bila baraka ya watoto nyumba hiyo haitakuwa na baraka. Sasa naanza kumwelewa yule mtu .
This what we call cheap madnessMkinipa kura tuu.. Naongeza nyingine tano
Sasa ndege hazina shida?Tractor zingekufa mwaka mmoja tu.
Eti kila Kijiji kipewe trekta akili Huna Kuna vijiji Ni wafugaji sio wakulima na Kuna vijiji hawalimi hulima mazao ya kudumu Kama mikorosho ,Chai ,kahawa nk
Kuna vijiji viko maeneo ya milima yenye
Kuna vijiji Ni vya wavuvi hayo matrekta watalima kwenye maji? Chadema hamna akili
Eti kila Kijiji!!!!
Wewe unaongelea tractor la kijiji??? Ardhi ni ya wana vijiji, yaani kwa kiswahili chepesi ni ya individuals na ardhi zao zipo scattered, hapa una eka 2, pale eka 4 na kuendelea,Kijiji gani kina heka zisizozidi 10?
Tuanzie hapa kwanza
Mbona huyu mgombea hazungumzii matrekta?View attachment 1556011
Tatizo nyie mko mjini mnaona mabarabara mnadhani yamefika vijijini, kuna shemu ya km 50 bado watu wanasafili kwa tsh 8000 kitu ambacho wangelipa kwenye rami 3000, hivo huyo mtu anaumia na gharamaSerikali kwa awamu zote wamejitahidi upande wa barabara, ni wakati muafaka kabisa kuwekeza kwenye kilimo kwa dhati kabisa. Takribani robo tatu ya wananchi wanategemea kilimo na ukiwekeza hapo utabadilisha uchumi wa wengi.
Mkuu huko sahihi kabisa, lakini uwekezaji kwenye miundombinu ya kilimo haukwepeki na hakuna kisingizio chochote kitakachokubalika kuhalalisha jambo hilo. Awamu hii kuna mambo tumeyafanya ambayo hayakuwa na umuhimu wowote huku tukitelekeza sekta ya kilimo. Hili jambo halihitaji kusubiri hizo barabara, hayo mambo yanaweza fanywa kwa pamoja kidogo kidogoTatizo nyie mko mjini mnaona mabarabara mnadhani yamefika vijijini, kuna shemu ya km 50 bado watu wanasafili kwa tsh 8000 kitu ambacho wangelipa kwenye rami 3000, hivo huyo mtu anaumia na gharama
Sasa kusafirisha mazao bei itakuwa kiasi gani?.
Nmekuelewa vzuri sana tatizo sio matrekta Wala nn, tatzo ni masoko tu yanahitajika. Watu wanalima sana na mazao yao wanayauza bei rahisi mno na mengine kuoza kbs kabla ya kuyauza. Matrekta mengi tu huko vijijini hekari moja anakulimia kwa elfu arobain tu. Watafuteni masoko uone watu watakavyoipasua hii ardhi ya TanzaniaWakishalima watasafilishaje mazao yao?
Au mnataka walime kisha viozee ndani na wapate hasara kisha mseme hapakuwa na mikakati?
Wewe unawaza kua Trekta la Kijiji basi kila mtu ana amri nalo, sivyo hivyo, ondoka kwenye mawazo hayo.Wewe unaongelea tractor la kijiji??? Ardhi ni ya wana vijiji, yaani kwa kiswahili chepesi ni ya individuals na ardhi zao zipo scattered, hapa una eka 2, pale eka 4 na kuendelea,
Sasa economically sio efficient kuwa na patches of land ya kupima here and there , ndio maana nakwambia ni juu yangu Mimi na wewe tujiunge kwa njia moja au nyingine tulime kwa pamoja tractor likija linapiga eka 10 na zaidi.
Sasa vikundi vidogo vidogo ni rahisi ku manage.
Tatizo la tractor la kijiji watu wasio kuwa na uchungu nalo ni shida kuli manage ktk matumizi ya kila siku na ktk repair.
Kama hulijui hilo utakuwa unaishi sayari nyingine.
Hata china wameisha toka huko unakofikiria wewe.