Je hakuna maeneo mengine Dar es Salaam ambako tungeweza kujenga kwa gharama ndogo zaidi ? Maana gharama kubwa kwa haraka ni sababu ya location . View attachment 2675261
Kweli pesa za wajinga huliwa kijinga . Watanzania tunaonewa sana .
Hiyo nyumba haikujengwa na Chadema kama ofisi yao. Ni ama wameamua kupanga sehemu nyingine yenye hadhi au wameiunununua (na huenda kwa mkopo) katika kujiandaa na uchaguzi ujao. Neno acquire halimaanishi built.