Kulikuwa na umuhimu gani kwa Chama changu CHADEMA kutengeneza ofisi Mikocheni kwa Bilioni 2 ?

Kulikuwa na umuhimu gani kwa Chama changu CHADEMA kutengeneza ofisi Mikocheni kwa Bilioni 2 ?

Je hakuna maeneo mengine Dar es Salaam ambako tungeweza kujenga kwa gharama ndogo zaidi ? Maana gharama kubwa kwa haraka ni sababu ya location . View attachment 2675261



Kweli pesa za wajinga huliwa kijinga . Watanzania tunaonewa sana .

Unazungumzia ofisi za chama, wakati mnakabidhi mwekezaji bandari za nchi kwa pesa za madafu ,pumbavu
 
Hiyo nyumba haikujengwa na Chadema kama ofisi yao. Ni ama wameamua kupanga sehemu nyingine yenye hadhi au wameiunununua (na huenda kwa mkopo) katika kujiandaa na uchaguzi ujao. Neno acquire halimaanishi built.
vyovyote vile wanaimiliki. Mie nawapongeza.
Mleta mada endapo wangejenga Manzese bado ungeleta kidomo
 
Back
Top Bottom