vibesen xxx
JF-Expert Member
- Jul 23, 2022
- 3,187
- 6,620
Hilo eneo lilikuwa chaguo bora mpaka keshi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa mbona unabadilisha stori? Mara Tz ina wachezaji gani na sasa hivi mara afcon sio kombe la maana.Afcon na world cup zinatofautiana sana. Afcon haina fame yoyote ni sawa sawa na kombe la mbuzi
Naona umejibu bila kuangalia nilikuwa namjibu nini huyo jamaa.Nchi yoyote inayoandaa world cup huwa inaingia automatically kulingana na sheria za FIFA
NgumbaruIlitakiwa ule wa uhuru urekebishwe kuwa standard ya kimataifa kwenye pitch na majukaa halafu wa mkapa ungejengwa sehemu nyingine.
Nchi ingekuwa na viwanja vingi ili angalau tuwaze kuandaa afcon.
KitimotoNgumbaru
Jamaa anakukejeli badala ya kukusahihishaKitimoto
ili tuharibu kumbukumbu yetu ya uwanja wa Uhuru [emoji38]Ilitakiwa ule wa uhuru urekebishwe kuwa standard ya kimataifa kwenye pitch na majukaa halafu wa mkapa ungejengwa sehemu nyingine.
Nchi ingekuwa na viwanja vingi ili angalau tuwaze kuandaa afcon.
Kwanini jamaa ni ngumbaru?Ngumbaru
Jengo la kumbukumbu la "Beit-al-Ajaib" liliharibika Zanzibar na wanapanga kulijenga upya. Kwanini ishindikane kwa uwanja wa Uhuru kutanuliwa?ili tuharibu kumbukumbu yetu ya uwanja wa Uhuru [emoji38]
Huyo anayekaa Bunju naye anasema Temeke ni mbali. Uwanja wa Uhuru ungerekebishwa kisasa na huu wa Mkapa ungejengwa Arusha jiji la kitalii kwa maana Mwanza tayari ule wa Kirumba upo.Huko bunju mbali hapo Mimi naona pazuri sana
Sababu umeshasema kuharibika uwanja wa Uhuru haukuharibika na Wala sio jengo pia nafasi ilikuwepo swala la bunju liwe la kiuwekezaji binafsiJengo la kumbukumbu la "Beit-al-Ajaib" liliharibika Zanzibar na wanapanga kulijenga upya. Kwanini ishindikane kwa uwanja wa Uhuru kutanuliwa?
Habari za muda huu ndugu zangu wa jamiiforums.
Eti wataalam wa mipango miji, kulikuwa na umuhimu gani kwa viwanja vya soccer vya Uhuru pamoja na ule wa Benjamin William Mkapa kujengwa sehemu moja?
View attachment 2419759
Eneo ulipojengwa uwanja wa Mkapa lilikuwa eneo la wazi na ndio sehemu ambayo chuo cha ufundi stadi cha VETA kilikuwa kinatumia katika kufunza madereva wachanga.
Nilisoma shule ya msingi Kibasila mwaka 1999 hivyo ninapajua sana eneo lile. Kabla ya ule uwanja wa Mkapa kujengwa kulikuwa na geti dogo la kuingilia shule ya secondary ya JKT Jitegemee (Jiteute) miaka hiyo pamoja na mnara wa ndege vita ya jeshi iliyoanguka wakati wa kuwapokea rasmi mashujaa wa vita ya Kagera. Hivyo lile eneo ninalijua vema tu.
Kwanini uwanja wa Mkapa haukupelekwa Boko au Bunju kama walivyofanya hospitali ya Muhimbili kujenga branch Mloganzila na ukizingatia kipindi kile maeneo ya njia ya Bagamoyo hayakuwa expensive kama ilivyo sasa?
MSAADA: Kwa wataalama wa mipango miji kulikuwa na umuhimu wowote wa kuwa na viwanja viwili vya soka eneo moja?
USISAHAU: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
Sasa mkuu, mpaka wameweka nyasi bandia hauoni kama wameharibu kumbukumbu tayari? Still kumbukumbu ingeweza kuwepo na wakati huo huo pesa inaingia kupitia michezo. Simple like that.Sababu umeshasema kuharibika uwanja wa Uhuru haukuharibika na Wala sio jengo pia nafasi ilikuwepo swala la bunju liwe la kiuwekezaji binafsi
naamini uwanja wataifa uko eneo sahihi kila pembe ya mji inafikia kwa urahisi kunamambo hayazuiliki
Chini ya Tasisi tofauti, ila serikali mojaWizara ya ulinzi na ile ya michezo zipo chini ya serikali tofauti?
Nimeuliza kuhusu taasisi ama serikali?Chini ya Tasisi tofauti, ila serikali moja
Ndiyo. Na ndiyo maana nikasema ni kukubali kushindwa. Tungekuwa na viongozi wenye akili tukawa na mipango miji na ring roads, matatizo yasingekuwepo.
Sawa mkuu ,hapo kibaha hawajambo au tayari dodomaSasa mkuu, mpaka wameweka nyasi bandia hauoni kama wameharibu kumbukumbu tayari? Still kumbukumbu ingeweza kuwepo na wakati huo huo pesa inaingia kupitia michezo. Simple like that.
Pia kulikuwa na umuhimu gani serikali yote kuhamia DodomaHabari za muda huu ndugu zangu wa jamiiforums.