Kulikuwa na umuhimu gani kwa viwanja vya Uhuru na Mkapa kujengwa sehemu moja?

Pale Jangwani kulikuwa na eneo zuri sana la wazi, walikuwa na uwezo wa lujenga hata viwanja vitatu matata sana vyenye hadhi na viwango vya kimataifa ,

Au basi....
 
Nina uhakika sana kaka
Hakuna uhakika mkuu Mwanza Ina watu wengi wanamiliki Mali kuliko Dar ambayo uchumi umehodhiwa na watu wachache, Mwanza Kuna wakulima, wafugaji, wafanyabiashara na wafanyakazi wa umma na binafsi na wote hao wanamiliki Ardhi na Nyumba tofauti ya Dar imejaa wadangaji na wazururaji na wengi wao hawana Makazi ya maana na ya kueleweka na hawamilikia ardhi Wala Makazi ya maana.
 
Mkuu, alafu unanitoa nje ya mada. Uwanja ni wa taifa au wa watu wa Temeke?
 
Mali ya manispaa ya Temeke hiyo. Halimashauri za wilaya, miji na majiji ndiyo wamiliki wa vitega uchumi vyote vya umma kwenye maeneo Yao. Temeke wanamiliki Bandari ya Dar es salaam, Uwanjwa wa Benjamin Mkapa. Kinondoni wanamiliki soko la kimataifa la Kariakoo. Unaona tofauti Sasa hapo mkuu. Yaani uwanja wa taifa wa Benjamin Mkapa ni Mali ya manispaa ya Temeke na mkurugenzi wa Temeke anawajibika kukusanya mapato ya uwanja huo.
 
Sema CCM waneharibu utaratibu serikali kuu inamiliki Dola tu lakini vitega uchumi vyote ni Mali ya local governments.
 
Mkuu, kwa hiyo mali ya wilaya ya Temeke sio mali ya Tanzania?
 
Sema CCM waneharibu utaratibu serikali kuu inamiliki Dola tu lakini vitega uchumi vyote ni Mali ya local governments.
Serikali kuu inakasimisha mamlaka serikali za mitaa ila hao ni kitu kimoja
 
Mambo ya kitu kimoja yameletwa na CCM lakini kiuhalisia local governments Zina mamlaka kamili ya kujiendesha ndiyo maana wanakusanya Kodi na kutunga sera zao, Wana bosi wao ambaye ni either mayor ama m/kitu wa halimashauri.
 
Temeke sio Tanzania? Eti mkuu...?
Mali ya watu wa Temeke mkuu, serikali inabidi isomewe mapato na matumizi tu ndiyo maana kiuhalisia hata watumishi wa local governments Kama walimu, manesi, wataalamu mablimbali inabidi waajiriwe Moja Kwa Moja na Halimashauri sema Kuna watu washazengua ndiyo maana unaona Kuna baadhi ya halimashauri hazina watumishi huku nyingine wakiwa wamejazana.
 
Sasa kwanini Simba na Yanga wote wa Ilala wanaenda kucheza uwanja wa Temeke?
 
Pale Jangwani kulikuwa na eneo zuri sana la wazi, walikuwa na uwezo wa lujenga hata viwanja vitatu matata sana vyenye hadhi na viwango vya kimataifa ,

Au basi....
Mkuu, pale jangwani si ndio kunapojaa maji ya mafuriko mara kwa mara mpaka kupelekea kuharibu gereji ya mabasi ya mwendokasi
 
Back
Top Bottom