Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yule wa Kibaha sikumpenda alikuwa na kiburi kisa alisoma Ulaya. Naona safari hii wamenitumia mchagga wa Rombo.Sawa mkuu ,hapo kibaha hawajambo au tayari dodoma
Bila shaka hii ni nje ya mada yanguPia kulikuwa na umuhimu gani serikali yote kuhamia Dodoma
[emoji38][emoji28][emoji23][emoji109][emoji109][emoji109]Yule wa Kibaha sikumpenda alikuwa na kiburi kisa alisoma Ulaya. Naona safari hii wamenitumia mchagga wa Rombo.
Pamoja sana mkuu[emoji38][emoji28][emoji23][emoji109][emoji109][emoji109]
It's too late brotherBasi kama hivyo Itabidi mmoja tuupige chini halafu tukajenge bunju
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Viwanja vyote ni mali ya Tanzania. JWTZ still walikuwa na uwezo wa kuupanua huo uwanja wa Uhuru na kuwa moja ya vitega uchumi vyake.Uwanja wa uhuru ni mali ya jeshi uwanja wa mkapa upo chini ya wizara ya michezo
Sent from my SM-G9650 using JamiiForums mobile app
Au wangejenga pale Magomeni Kota pangefaa sana.Hahahahaaaa mkuu hii justification yako aisee. Sasa kama lengo ni kuwapata wale wa low income basi wangeujenga huko Mwanza au Arusha kwa maana wamejaa sana watu wa hali ya chini.
Safi sana mkuuIlitakiwa ule wa uhuru urekebishwe kuwa standard ya kimataifa kwenye pitch na majukaa halafu wa mkapa ungejengwa sehemu nyingine.
Well said mkuu. Tena JWTZ wangepiga sana pesa kwa mechi za ligi kuu. Mmoja ungetumiwa na Simba na mwingine Yanga sio kila mechi ya home inachezwa kwa Mkapa na kuichosha tu pitchIlitakiwa ule wa uhuru urekebishwe kuwa standard ya kimataifa kwenye pitch na majukaa halafu wa mkapa ungejengwa sehemu nyingine.
Nchi ingekuwa na viwanja vingi ili angalau tuwaze kuandaa afcon.
Mkuu unaikumbuka picha ya uwanja wa Uhuru ulivyokuwa?
Je mmiliki wa uwanja wa Mkapa na Uhuru ni mmoja?
Je muda gani ulipita tangia wa Mkapa kujengwa na wa Uhuru kufanyiwa marekebisho?
Mi nadhan wa Mkapa namna ulivyojengwa kisasa ulilenga michezo na wa Uhuru ukaonekana kama wa magwaride na kumbu kumbu za kihistoria kabla maamuzi mengine ya kuuboresha hayajafanyika.
Mimi niliwashauri wajenge kibo au kimara lakini wakanipotezea! [emoji23]
Sawa mkuu. Sasa mkipewa eneo huwa hamtoi na ushauri?Mzeee usituseme... Sisi tunapewa tenda na serikali, kuwa tujenge eneo gani.....
Mpka unapewa tenda wewe... Ujue ushauri ushafuatwa.. kuna ma consultancy hao ndio wanatoa ushauri.. so unaweza kuta hao ndio wametoa ushauri na wapo serikalinSawa mkuu. Sasa mkipewa eneo huwa hamtoi na ushauri?
Ila na wewe mkuu unazengua, yaani Mwanza na Arusha kuwe na low income wengi kuliko Dar? Una uhakikaHahahahaaaa mkuu hii justification yako aisee. Sasa kama lengo ni kuwapata wale wa low income basi wangeujenga huko Mwanza au Arusha kwa maana wamejaa sana watu wa hali ya chini huko kuliko Dar.
Hizo slams za Temeke Keko na baadhi ya maeneo sojawahi ziona Arusha Wala ArushaIla na wewe mkuu unazengua, yaani Mwanza na Arusha kuwe na low income wengi kuliko Dar? Una uhakika
Nina uhakika sana kakaIla na wewe mkuu unazengua, yaani Mwanza na Arusha kuwe na low income wengi kuliko Dar? Una uhakika
Hizo slams za Temeke Keko na baadhi ya maeneo sojawahi ziona Arusha Wala ArushaIla na wewe mkuu unazengua, yaani Mwanza na Arusha kuwe na low income wengi kuliko Dar? Una uhakika