Kulikuwa na umuhimu gani kwa viwanja vya Uhuru na Mkapa kujengwa sehemu moja?

Afcon na world cup zinatofautiana sana. Afcon haina fame yoyote ni sawa sawa na kombe la mbuzi
Sasa mbona unabadilisha stori? Mara Tz ina wachezaji gani na sasa hivi mara afcon sio kombe la maana.
 
Mimi niliwashauri wajenge kibo au kimara lakini wakanipotezea! [emoji23]
 
Ilitakiwa ule wa uhuru urekebishwe kuwa standard ya kimataifa kwenye pitch na majukaa halafu wa mkapa ungejengwa sehemu nyingine.

Nchi ingekuwa na viwanja vingi ili angalau tuwaze kuandaa afcon.
ili tuharibu kumbukumbu yetu ya uwanja wa Uhuru [emoji38]
 
ili tuharibu kumbukumbu yetu ya uwanja wa Uhuru [emoji38]
Jengo la kumbukumbu la "Beit-al-Ajaib" liliharibika Zanzibar na wanapanga kulijenga upya. Kwanini ishindikane kwa uwanja wa Uhuru kutanuliwa?
 
Huko bunju mbali hapo Mimi naona pazuri sana
Huyo anayekaa Bunju naye anasema Temeke ni mbali. Uwanja wa Uhuru ungerekebishwa kisasa na huu wa Mkapa ungejengwa Arusha jiji la kitalii kwa maana Mwanza tayari ule wa Kirumba upo.
 
Jengo la kumbukumbu la "Beit-al-Ajaib" liliharibika Zanzibar na wanapanga kulijenga upya. Kwanini ishindikane kwa uwanja wa Uhuru kutanuliwa?
Sababu umeshasema kuharibika uwanja wa Uhuru haukuharibika na Wala sio jengo pia nafasi ilikuwepo swala la bunju liwe la kiuwekezaji binafsi

naamini uwanja wataifa uko eneo sahihi kila pembe ya mji inafikia kwa urahisi kunamambo hayazuiliki
 
Kiufupi Dar es Salaam kwenye suala la mipango miji ilishachelewe. Kwa sasa wadili na miji mipya wasije wakaharibu pia. Tena wapange kwa zaidi ya miaka 200 mbele.
 
Ulichoandika hapa ni PUMBA!
 
Sababu umeshasema kuharibika uwanja wa Uhuru haukuharibika na Wala sio jengo pia nafasi ilikuwepo swala la bunju liwe la kiuwekezaji binafsi

naamini uwanja wataifa uko eneo sahihi kila pembe ya mji inafikia kwa urahisi kunamambo hayazuiliki
Sasa mkuu, mpaka wameweka nyasi bandia hauoni kama wameharibu kumbukumbu tayari? Still kumbukumbu ingeweza kuwepo na wakati huo huo pesa inaingia kupitia michezo. Simple like that.
 
Ndiyo. Na ndiyo maana nikasema ni kukubali kushindwa. Tungekuwa na viongozi wenye akili tukawa na mipango miji na ring roads, matatizo yasingekuwepo.

Hivi viongozi Wetu wakiwa humu jamii forum wanasomaga kweli hizi comment,za kusema Tungekuwa na viongozi wenye akili,wakati huo wao wapo hapo Kwenye uongozi!
 
Pia kulikuwa na umuhimu gani serikali yote kuhamia Dodoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…