Kulikuwa na umuhimu gani kwa viwanja vya Uhuru na Mkapa kujengwa sehemu moja?

Labda waliohofia hilo eneo la wazi lingeuzwa au kuvamiwa[emoji16]
 
Hahahahaaaa mkuu hii justification yako aisee. Sasa kama lengo ni kuwapata wale wa low income basi wangeujenga huko Mwanza au Arusha kwa maana wamejaa sana watu wa hali ya chini.
Au wangejenga pale Magomeni Kota pangefaa sana.
 
Ilitakiwa ule wa uhuru urekebishwe kuwa standard ya kimataifa kwenye pitch na majukaa halafu wa mkapa ungejengwa sehemu nyingine.

Nchi ingekuwa na viwanja vingi ili angalau tuwaze kuandaa afcon.
Well said mkuu. Tena JWTZ wangepiga sana pesa kwa mechi za ligi kuu. Mmoja ungetumiwa na Simba na mwingine Yanga sio kila mechi ya home inachezwa kwa Mkapa na kuichosha tu pitch
 
Uwanja mwingine bora ungejengwa jangwan
 
Sawa mkuu. Sasa mkipewa eneo huwa hamtoi na ushauri?
Mpka unapewa tenda wewe... Ujue ushauri ushafuatwa.. kuna ma consultancy hao ndio wanatoa ushauri.. so unaweza kuta hao ndio wametoa ushauri na wapo serikalin
 
Hahahahaaaa mkuu hii justification yako aisee. Sasa kama lengo ni kuwapata wale wa low income basi wangeujenga huko Mwanza au Arusha kwa maana wamejaa sana watu wa hali ya chini huko kuliko Dar.
Ila na wewe mkuu unazengua, yaani Mwanza na Arusha kuwe na low income wengi kuliko Dar? Una uhakika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…