Kulipa mamilioni kusomesha 'Generation Z' ni kama kucheza kamari!

Kulipa mamilioni kusomesha 'Generation Z' ni kama kucheza kamari!

Ni hivi
Sisi wafrika tuandike vitabu sisi wenyewe ambavyo vina uhalisia kulingana na mazingira na tamaduni zetu. Vitatusaidia kujikwamua kiuchumi, kisiasa na kiutamaduni.
Tusome vitabu vilivyoandikwa na watanzania na waandishi wengine wa afrika kwenye nchi zao
Unasoma fishing industry in norway. Tool zinazotumika ni advanced technology zenye thamani ya milion 100. Unategemea mwananchi ambaye hata kulipa laki 6 kwa mwaka km kodi ya chumba na sebule hawezi ataweza?
Mbona vitabu vinavyoandikwa na waafrica kwa mazingira ya ki-Africa vipo vingi sana? Sema tu unachukia vitabu.
 
Wewe ni Gen z.? , naona unajadili hayo mambo ya ma "celebrity"...!
ni watoto wetu na wadogo zetu hawa lazima tujue kuhusu changamoto zao. Hapo msisitizo upo kwenye hiyo age ya Paula wakati anamtongoza Konde. I can just imagine coz i have a 16 years old girl.
 
ni watoto wetu na wadogo zetu hawa lazima tujue kuhusu changamoto zao. Hapo msisitizo upo kwenye hiyo age ya Paula wakati anamtongoza Konde. I can just imagine coz i have a 16 years old girl.
Umezipata wapi hizo taarifa mkuu..?
Mtandaoni.?
 
Hii ndo maana halisi ya jamii forum as de homie of great thinkerz.umeshusha madini Safi Sana
 
Back
Top Bottom