Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 40,153
- 93,069
Hamjambo wote!
1. Mimi ni Mtibeli. Dhehebu(shule) ya mafunzo ya dini ni Kanisa la wasabato.
2. Ukweli ni kuwa kwenye nchi Maskini hasa za Afrika huwezi ukaleta ugomvi wa nginjanginja na Kanisa Katoliki ukashinda. Hizo ni ndoto za Mchana kabisa.
3. Sijajua nini kinachoenddelea mpaka naona kuna vita inaendelea dhidi ya Kanisa katoliki. Hisia zangu zinanituma huenda kuna mambo Kanisa limekanyaga waya sehemu au limekanyagiwa waya sehemu.
4. Hata hivyo kama kigezo kitakuwa matamko. Basi Kanisa Katoliki litakuwa upande wa HAKI na kusema UKWELI. Kwani matamko yake yote ya mwisho yamelenga Kutetea HAKI na kupinga uonevu, dhulma na kusema ukweli.
5. Kwa mifumo ambayo Kanisa Katoliki limejiwekea hasa mifumo ya Elimu, mifumo ya kidini. Sioni namna yoyote wanaopambana na Kanisa Hilo wakishinda
6. Kanisa Katoliki ni moja ya KANISA lililobuni mifumo mingi mikuu inayoongoza Dunia achilia mbali nchi yetu.
7. Huwezi ukapambana na Kanisa ambalo karibu nusu ya Watumishi katika idara nyeti wamesoma katika shule Zao au ni wakatoliki. Labda kama haufikiri sawasawa.
8. Huwezi ukapambana na Kanisa ambalo linamafungamano na mizizi ya wakuu wa dunia.
9. Huwezi ukapambana na Kanisa ambalo asilimia Mia moja ya viongozi wake wote wamesoma na Wana zaidi ya shahada moja.
10. Kuita press na kuwapa maiki watu ambao hata elimu hawana, hata ndege hawajawahi kupanda, kwamba nje ya nchi hawapajui, hawajui kingereza zaidi ya local languages kumaanisha lazima watakuwa limited kimaarifa na lack of exposure ati wakabiliane na Kanisa Katoliki ni njia isiyo sahihi kabisa.
11. Ni muhimu kujua. Unapopambana na Kanisa Katoliki unapambana na Elite. Sasa kupambana na Elite sio kama kupambana na kina Dotto Magari ambao ni local au wachezaji wa chandimu huko.
12. Unapambana na watu wenye Elimu, ushawishi, exposure, rasilimali za kila Aina, Rasilimali Watu wenye uwezo, elimu, na connection ndefu.
13. Watu wasio na pupa. Watu wanaojua nini wanafanya. Wafanyeje kwa wakati UPI.
14. Watu ambao parokia moja inaweza kuchangia bilioni Moja kwa wiki. Kwamba wanahela. Na wanawatu.
15. Kanisa ambalo ndio Linatambulisha Ukristo. Limebeba Ukristo. Yaani ndiye Mama wa Wakristo.
16. Embu niambie unashindaje?
17. Kupambana na Kanisa Katoliki ni kupambana na Wakristo Hilo wala halina mjadala. Na wakristo hawawezi kukubali.
18. Ukristo ni mfumo kama unavyoona serikali. Huna namna yoyote Ile ya kufanya hata usaidiwe na miungu ukaushinda.
19. Tofauti na dini zingine. Ukristo ndio dini pekee yenye mifumo kama serikali. Dini ambayo ipo organized. Ukristo hautegemei serikali yoyote duniani ili kujiendesha.
Ukristo hautegemei hisani wala huruma ya MTU yeyote.
20. So lengo la kuandika haya. Nataka kusema wanaoendeleza hizo press za matamko, na vuguvugu la kupambana na kulichokoa kanisa Katoliki waachane na mpango na harakati hizo. Hazina tija.
21. Zinachochea migogoro ya kidini ndani ya nchi. Inahatarisha usalama wa taifa.
22. Nasisitiza, na nasema ukweli wote. Sisi WAKRISTO sio kama WAISLAM. Madhehebu ya kiislam yanaweza kupiganishwa au kuuana wenyewe kwa wenyewe. Lakini kamwe Wakristo hawagawanywi. Hawagawanyiki. Wakristo hata wawe na biblia elfu elfu tofauti mkristo ni mkristo popote alipo.
23. KKKT, Anglicana, MOROVIAN, PENTECOSTE, WASABATO, na madhehebu mengine yote ya Kikrsto kamwe hawataweza kukaa upande mwingine usiomtaja Kristo.
24. Kwa hiyo wale wanaosema pooh! Sisi hatuna ugomvi na madhehebu mengine. Tuna ugomvi na Katoliki mjue mnajidanganya.
25. Ukiwa na ugomvi na Kanisa katoliki jua unaugomvi na Wasabato, Anglican na wengineo. Wakristo sio wajinga. Hawagawanyiki. Wakristo ni namba tasa.
26. Fundisho mojawapo linaloongoza kanisa ni lile Yesu anasema, Baba wawe na umoja kama sisi tulivyo na umoja.
28. Umoja ni amri na kanuni ya Wakristo Bila kujali tofauti zao.
Kanisa moja kufanya hivi na jingine kufanya vile haiondoi umoja wa Wakristo. Duniani.
29. So hayo ni muhimu yaeleweke. Na wanaotaka kujaribu michezo hatari waachane nayo. Kwa sababu inahatarisha usalama wa nchi.
Kufikia hapo sina la ziada.
TaikonMaster
Kwa sasa Mikese, Morogoro