Kulishinda Kanisa Katoliki kwenye nchi Maskini ni ndoto za mchana

Kwanza kwanini wapambane na Wakatoliki au Wakristu? Kwa kosa lipi haswa ambalo hao wakristu/wakatoliki wamefanya? Maaskofu Kukemea maovu, Mauaji, Utekaji, Uvunjifu wa haki nk. Wanahesabiwa kwamba wamefanya kosa? Ndiyo sababu ya kupigwa vita?

Kama hiyo ndiyo sababu, Basi siku zote HAKI hushinda.
 
Wanaoijua Catholic ni wasabato , kwanza picha linaanza wanawaita babeli mkuu , beberu lenye mapembe saba,ambalo mataifa wamekunywa ule mvinyo kwenye kikombe chake, muulize mr bob atakueleza vizuri
Hahahahaa yaani wasabato bora wakae meza moja na shetani wapige stori kuliko papa.
 
Katoiki ndio nguvu ya mnyama. Nishetani halisi. Ndani ya vazi la kidini.
Shetani anatawala dunia kiakili kupitia katoliki na watoto wake aliowazaa
Kamwe mungu hayumo humoo
 
Hamjambo wote!

1. Mimi ni Mtibeli. Dhehebu(shule) ya mafunzo ya dini ni Kanisa la wasabato.

2. Ukweli ni kuwa kwenye nchi Maskini hasa za Afrika huwezi ukaleta ugomvi wa nginjanginja na Kanisa Katoliki ukashinda. Hizo ni ndoto za Mchana kabisa.

3. Sijajua nini kinachoenddelea mpaka naona kuna vita inaendelea dhidi ya Kanisa katoliki. Hisia zangu zinanituma huenda kuna mambo Kanisa limekanyaga waya sehemu au limekanyagiwa waya sehemu.

4. Hata hivyo kama kigezo kitakuwa matamko. Basi Kanisa Katoliki litakuwa upande wa HAKI na kusema UKWELI. Kwani matamko yake yote ya mwisho yamelenga Kutetea HAKI na kupinga uonevu, dhulma na kusema ukweli.

5. Kwa mifumo ambayo Kanisa Katoliki limejiwekea hasa mifumo ya Elimu, mifumo ya kidini. Sioni namna yoyote wanaopambana na Kanisa Hilo wakishinda

6. Kanisa Katoliki ni moja ya KANISA lililobuni mifumo mingi mikuu inayoongoza Dunia achilia mbali nchi yetu.

7. Huwezi ukapambana na Kanisa ambalo karibu nusu ya Watumishi katika idara nyeti wamesoma katika shule Zao au ni wakatoliki. Labda kama haufikiri sawasawa.

8. Huwezi ukapambana na Kanisa ambalo linamafungamano na mizizi ya wakuu wa dunia.

9. Huwezi ukapambana na Kanisa ambalo asilimia Mia moja ya viongozi wake wote wamesoma na Wana zaidi ya shahada moja.

10. Kuita press na kuwapa maiki watu ambao hata elimu hawana, hata ndege hawajawahi kupanda, kwamba nje ya nchi hawapajui, hawajui kingereza zaidi ya local languages kumaanisha lazima watakuwa limited kimaarifa na lack of exposure ati wakabiliane na Kanisa Katoliki ni njia isiyo sahihi kabisa.

11. Ni muhimu kujua. Unapopambana na Kanisa Katoliki unapambana na Elite. Sasa kupambana na Elite sio kama kupambana na kina Dotto Magari ambao ni local au wachezaji wa chandimu huko.

12. Unapambana na watu wenye Elimu, ushawishi, exposure, rasilimali za kila Aina, Rasilimali Watu wenye uwezo, elimu, na connection ndefu.

13. Watu wasio na pupa. Watu wanaojua nini wanafanya. Wafanyeje kwa wakati UPI.

14. Watu ambao parokia moja inaweza kuchangia bilioni Moja kwa wiki. Kwamba wanahela. Na wanawatu.

15. Kanisa ambalo ndio Linatambulisha Ukristo. Limebeba Ukristo. Yaani ndiye Mama wa Wakristo.

16. Embu niambie unashindaje?
17. Kupambana na Kanisa Katoliki ni kupambana na Wakristo Hilo wala halina mjadala. Na wakristo hawawezi kukubali.

18. Ukristo ni mfumo kama unavyoona serikali. Huna namna yoyote Ile ya kufanya hata usaidiwe na miungu ukaushinda.

19. Tofauti na dini zingine. Ukristo ndio dini pekee yenye mifumo kama serikali. Dini ambayo ipo organized. Ukristo hautegemei serikali yoyote duniani ili kujiendesha.
Ukristo hautegemei hisani wala huruma ya MTU yeyote.

20. So lengo la kuandika haya. Nataka kusema wanaoendeleza hizo press za matamko, na vuguvugu la kupambana na kulichokoa kanisa Katoliki waachane na mpango na harakati hizo. Hazina tija.

21. Zinachochea migogoro ya kidini ndani ya nchi. Inahatarisha usalama wa taifa.

22. Nasisitiza, na nasema ukweli wote. Sisi WAKRISTO sio kama WAISLAM. Madhehebu ya kiislam yanaweza kupiganishwa au kuuana wenyewe kwa wenyewe. Lakini kamwe Wakristo hawagawanywi. Hawagawanyiki. Wakristo hata wawe na biblia elfu elfu tofauti mkristo ni mkristo popote alipo.

23. KKKT, Anglicana, MOROVIAN, PENTECOSTE, WASABATO, na madhehebu mengine yote ya Kikrsto kamwe hawataweza kukaa upande mwingine usiomtaja Kristo.

24. Kwa hiyo wale wanaosema pooh! Sisi hatuna ugomvi na madhehebu mengine. Tuna ugomvi na Katoliki mjue mnajidanganya.

25. Ukiwa na ugomvi na Kanisa katoliki jua unaugomvi na Wasabato, Anglican na wengineo. Wakristo sio wajinga. Hawagawanyiki. Wakristo ni namba tasa.

26. Fundisho mojawapo linaloongoza kanisa ni lile Yesu anasema, Baba wawe na umoja kama sisi tulivyo na umoja.

28. Umoja ni amri na kanuni ya Wakristo Bila kujali tofauti zao.
Kanisa moja kufanya hivi na jingine kufanya vile haiondoi umoja wa Wakristo. Duniani.

29. So hayo ni muhimu yaeleweke. Na wanaotaka kujaribu michezo hatari waachane nayo. Kwa sababu inahatarisha usalama wa nchi.

Kufikia hapo sina la ziada.

TaikonMaster
Kwa sasa Mikese, Morogoro

Umenena ukweli mtupu. Wakristo hawataweza kugawanyisgwa kwa jina la dhehebu. Wakristo wote wanaunganishwa na mafundisho ya Kristo, UPENDO, UMOJA, na kutambua kuwa Yesu Kristo ndiyo njia pekee ya kwenda mbinguni, kwani yeye ni njia na uzima. Na kwamba yeyote asitezaliwa kwa maji na Roho Mtakatifu, kamwe hataurithi ufalme wa mbingu. Ubatizo wa maji mengi au kidogo, haiwezi kuwa ni tofauti ya kuwatenganisha wakristo, cha muhimu ni kuwa Wakristo wote, popote Duniani, utambulisho wao wa kwanza ni Ubatizo.
Gwajima, Kanisa lake lilipofungiwa, waumini wake ibada walikuwa wakifanyia ukumbi wa Kanisa Katoliki.
Halafu kuna wajinga hawaelewi! Waanglikana ni wakatoliki, waOrthodox ni wakatoliki, KKKT ni wakatoliki, ila ni wakatoliki ambao hawapo chini ya Roma. Ukimgisa Mkatoliki wa Roma, Muinglikana, MuKKKT, msabato, MUSDA, MuTAG, umemgusa MKRISTO, wakristo wote tutajua kuwa imani yetu imeguswa.

Kama mfalme Nero hakuweza kuufuta Ukristo Duniani, hakuna shetani atakayeweza.

.
 
Waanglican usituingize kwenye huo upuuzi wenu wa kisiasatec..
sisi waanglikana tunaamini katika upatanisho ndiyo maana hata jumapili somo kubwa liligusia upatanisho.

kaa mbali kabisa na anglican sisi siyo chadomotec
 
15. Kanisa ambalo ndio Linatambulisha Ukristo. Limebeba Ukristo. Yaani ndiye Mama wa Wakristo
Ukiwa muoga kiasi hicho. ni vigumu kukutambua kama mwanaume.
Kama masikini walipambana na kuushinda UTUMWA mpaka ukatokomea.
Kama watanzania na nchi nyingi zilizotawaliwa pamoja na umasikini wa fedha na elimu waliokuwa nao wakapambana na kumtoa mkoloni.
Leo mtibeli unaniaibisha kusema ukiwa masikini huwezi kupambana na katoliki. Kwanza niseme neno moja- Hakuna anayepambana na ukatoliki au kanisa katoliki. Watanzania wanapambana na HATI MILIKI AMBAYO KANISA KATOLIKI linadhani wanayo kuimiliki Tanzania. Eti wao wakisema ndio wote wafuate. Kuna makundi mengi Tanzani.
Waliyafanya hayo Kigali- leo heshima yao huko imepotea kabisa, na itachukua miaka 100 au pengine zaidi kuirudisha heshima waliyokuwa nayo huko. Acheni kututisha- mapambano ya kudai haki yataendelea tu, na utawala wowote ule utaokuwepo TZ. Katafuteni hao mabwana zenu watawasaidia na kutoa uongozi baada ya uongozi lakini mapambano hayataisha.
 
Walokole hamna kitu , hawajui hata kinachoendelea wao Wana tatizo lao la akili ( illusion) wanaoana kama wapo so called mbinguni duniani Sio kwako🚮
Hata Jasusi la mbinguni na wafuasi wake?
 
Wanaoijua Catholic ni wasabato , kwanza picha linaanza wanawaita babeli mkuu , beberu lenye mapembe saba,ambalo mataifa wamekunywa ule mvinyo kwenye kikombe chake, muulize mr bob atakueleza vizuri
😁😁😁
 
Dude kubwa(Tanzania) linaongozwa elimu ya kuunga unga
 
Taasisi ina miaka zaidi ya 2000. Imesurvive Maottoman empire, Imesurvive zengwe la Benitto Mussolin, Adolf Hitle, Idd Amin, Maempire yote unayoyajua.

Bibi yako mzaa Bibi kazaliwa kaikuta leo unawaletea wavaa vijora wapambane nao?
 
Hawajui wanachopgana nacho kikoje.
1. Ukristo ni kama selikali kimuundo.

2. Na ukiristo una matawi dunia nzima, kama ingekua ukiristo ni nchi lingekua taifa kubwa sana afu ndo ije ishindane na selikali ya kigenge cha wahuni wachache.
Hawa wahuni Watakufa kifo cha mende
Siku Kitima anaongea, anasema waliitwa Umoja wa Ulaya kuhusu misaada.

Wakashauri, misaada ya elimu na afya isitolewe.

Shida ya watawala kwasababu wana vifaru, wanadhani watamaliza matatizo kwa kuua watu.
 
Ni kweli kabisa,
Kwanza unapambana na kanisa kwa sababu zipi, una changamoto ngapi ambazo zimekushinda, leo hii ukimbilie kupambana na kanisa.

Tunaongozwa na watu wa hovyo sana, wapo tu hawajui what to do!!
 
Hamjambo wote!

1. Mimi ni Mtibeli. Dhehebu(shule) ya mafunzo ya dini ni Kanisa la wasabato.

2. Ukweli ni kuwa kwenye nchi Maskini hasa za Afrika huwezi ukaleta ugomvi wa nginjanginja na Kanisa Katoliki ukashinda. Hizo ni ndoto za Mchana kabisa.

3. Sijajua nini kinachoenddelea mpaka naona kuna vita inaendelea dhidi ya Kanisa katoliki. Hisia zangu zinanituma huenda kuna mambo Kanisa limekanyaga waya sehemu au limekanyagiwa waya sehemu.

4. Hata hivyo kama kigezo kitakuwa matamko. Basi Kanisa Katoliki litakuwa upande wa HAKI na kusema UKWELI. Kwani matamko yake yote ya mwisho yamelenga Kutetea HAKI na kupinga uonevu, dhulma na kusema ukweli.

5. Kwa mifumo ambayo Kanisa Katoliki limejiwekea hasa mifumo ya Elimu, mifumo ya kidini. Sioni namna yoyote wanaopambana na Kanisa Hilo wakishinda

6. Kanisa Katoliki ni moja ya KANISA lililobuni mifumo mingi mikuu inayoongoza Dunia achilia mbali nchi yetu.

7. Huwezi ukapambana na Kanisa ambalo karibu nusu ya Watumishi katika idara nyeti wamesoma katika shule Zao au ni wakatoliki. Labda kama haufikiri sawasawa.

8. Huwezi ukapambana na Kanisa ambalo linamafungamano na mizizi ya wakuu wa dunia.

9. Huwezi ukapambana na Kanisa ambalo asilimia Mia moja ya viongozi wake wote wamesoma na Wana zaidi ya shahada moja.

10. Kuita press na kuwapa maiki watu ambao hata elimu hawana, hata ndege hawajawahi kupanda, kwamba nje ya nchi hawapajui, hawajui kingereza zaidi ya local languages kumaanisha lazima watakuwa limited kimaarifa na lack of exposure ati wakabiliane na Kanisa Katoliki ni njia isiyo sahihi kabisa.

11. Ni muhimu kujua. Unapopambana na Kanisa Katoliki unapambana na Elite. Sasa kupambana na Elite sio kama kupambana na kina Dotto Magari ambao ni local au wachezaji wa chandimu huko.

12. Unapambana na watu wenye Elimu, ushawishi, exposure, rasilimali za kila Aina, Rasilimali Watu wenye uwezo, elimu, na connection ndefu.

13. Watu wasio na pupa. Watu wanaojua nini wanafanya. Wafanyeje kwa wakati UPI.

14. Watu ambao parokia moja inaweza kuchangia bilioni Moja kwa wiki. Kwamba wanahela. Na wanawatu.

15. Kanisa ambalo ndio Linatambulisha Ukristo. Limebeba Ukristo. Yaani ndiye Mama wa Wakristo.

16. Embu niambie unashindaje?
17. Kupambana na Kanisa Katoliki ni kupambana na Wakristo Hilo wala halina mjadala. Na wakristo hawawezi kukubali.

18. Ukristo ni mfumo kama unavyoona serikali. Huna namna yoyote Ile ya kufanya hata usaidiwe na miungu ukaushinda.

19. Tofauti na dini zingine. Ukristo ndio dini pekee yenye mifumo kama serikali. Dini ambayo ipo organized. Ukristo hautegemei serikali yoyote duniani ili kujiendesha.
Ukristo hautegemei hisani wala huruma ya MTU yeyote.

20. So lengo la kuandika haya. Nataka kusema wanaoendeleza hizo press za matamko, na vuguvugu la kupambana na kulichokoa kanisa Katoliki waachane na mpango na harakati hizo. Hazina tija.

21. Zinachochea migogoro ya kidini ndani ya nchi. Inahatarisha usalama wa taifa.

22. Nasisitiza, na nasema ukweli wote. Sisi WAKRISTO sio kama WAISLAM. Madhehebu ya kiislam yanaweza kupiganishwa au kuuana wenyewe kwa wenyewe. Lakini kamwe Wakristo hawagawanywi. Hawagawanyiki. Wakristo hata wawe na biblia elfu elfu tofauti mkristo ni mkristo popote alipo.

23. KKKT, Anglicana, MOROVIAN, PENTECOSTE, WASABATO, na madhehebu mengine yote ya Kikrsto kamwe hawataweza kukaa upande mwingine usiomtaja Kristo.

24. Kwa hiyo wale wanaosema pooh! Sisi hatuna ugomvi na madhehebu mengine. Tuna ugomvi na Katoliki mjue mnajidanganya.

25. Ukiwa na ugomvi na Kanisa katoliki jua unaugomvi na Wasabato, Anglican na wengineo. Wakristo sio wajinga. Hawagawanyiki. Wakristo ni namba tasa.

26. Fundisho mojawapo linaloongoza kanisa ni lile Yesu anasema, Baba wawe na umoja kama sisi tulivyo na umoja.

28. Umoja ni amri na kanuni ya Wakristo Bila kujali tofauti zao.
Kanisa moja kufanya hivi na jingine kufanya vile haiondoi umoja wa Wakristo. Duniani.

29. So hayo ni muhimu yaeleweke. Na wanaotaka kujaribu michezo hatari waachane nayo. Kwa sababu inahatarisha usalama wa nchi.

Kufikia hapo sina la ziada.

TaikonMaster
Kwa sasa Mikese, Morogoro
Kumbe akili yako kuna siku na siku ikitulia inaandika vitu vya msingi na vya maana hivi!?
 
Hao wanasiasa ni washenzi, wanadhani tofauti ya madhehebu na mafundisho yao wanafikiri ni rahisi kuwagawa wakristo.
HAPANA!
Kwenye ukristo hakuna tofauti ya mafundisho. Hakuna dhehebu la Kikristo lenye mafundisho yasiyojengwa ktk msingi wa KRISTO YESU

Utofauti wetu Wakristo ni kwenye mkazo wa maagano. Kuna Ukristo uliolalia kwenye mafundisho ya AGANO LA KALE (Sheria/Torati) na ule ulioegamia kwenye maagano yote mawili LA KALE na JIPYA in connection lakini wote ni Wakristo na Mungu anawatambua kuwa ni watoto wake
Wakristo ni walewale katika ukristo wao. Walutheri, wapentekoste, wakatoliki, waanglikana na wengine wengi wale ni kitu kimoja huwezi kuwagawanya na hawafanyiani ubaya kwa hali yoyote ile
Hapa ni sawasawa na ni kweli kabisa
 
Back
Top Bottom