Kulishinda Kanisa Katoliki kwenye nchi Maskini ni ndoto za mchana

Kulishinda Kanisa Katoliki kwenye nchi Maskini ni ndoto za mchana

Ni kweli kabisa,
Kwanza unapambana na kanisa kwa sababu zipi, una changamoto ngapi ambazo zimekushinda, leo hii ukimbilie kupambana na kanisa.

Tunaongozwa na watu wa hovyo sana, wapo tu hawajui what to do!!

Bado nafuatilia msingi wa hii ligi.

Badala ya watu kupunguza matatizo wanaongeza.
Wametoka kugombana na vyama vya siasa vya upinzani mpaka sasa hapakaliki. Wanatakiwa wafanye maridhiano.
Wanaongeza kundi jingine la udini.

Nimewatahadharisha kuwa Ukatoliki ndio ukristo wenyewe.
 
Ni Rahisi tu.
Waruhusu Uhuru wa vyama vya kisiasa, Kama tutakua na strong political parties which are free, Katoliki wataendelea kufanya ibaada maana watakua irrelevant.

Kwa sasa ni kama wanaziba pengo la vyama vya upinzani, ambavo vimenyamazishwa
Yeap wanajaribu ku balance mizani kwa kusimama upande ule wa haki ambao wananchi wapo wengi
 
Catholic imejiwekea nguzo au misingi ambayo ni ngumu ku Temper nayo.... Trying to do so means you precipitate your own Demise....
 
Back
Top Bottom