Badala ya watu kupunguza matatizo wanaongeza.
Wametoka kugombana na vyama vya siasa vya upinzani mpaka sasa hapakaliki. Wanatakiwa wafanye maridhiano.
Wanaongeza kundi jingine la udini.
Nimewatahadharisha kuwa Ukatoliki ndio ukristo wenyewe.
Ni Rahisi tu.
Waruhusu Uhuru wa vyama vya kisiasa, Kama tutakua na strong political parties which are free, Katoliki wataendelea kufanya ibaada maana watakua irrelevant.
Kwa sasa ni kama wanaziba pengo la vyama vya upinzani, ambavo vimenyamazishwa