Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Ni wazanzibar ishi nao vema Wana mchango mkubwa sana kwa Zanzibar na sio Kongo kimsingi we na wao ni sawa sawaNdio hao walitujazia Wacongo hapa zenji na wanajiita Wazanzibari leo.
Watawala wa kiafrika walikuwa makatili kama tu wale wa kizungu.Kimsingi historia tunayosoma kwa 90%ni watawala au watu waliokuwa na umaarufu mkubwa sana na Wala sio watu wema
Miaka 200 ijayo historia itawataja Nyerere,Mwinyi ,Mkapa ,Kikwete ,Magufuli na Samia Hawa wengine tena hata mawaziri hawatatajwa je watu hao ni wema kwa watu wote!?historia itaangaliwa kwa namna yake wakati huo.
Watawala wa kiafrika hawakuwa wema sana ila hawakuwa na ukatili kama ule wa wageni maana wageni wao walikuwa wamejifunza hadi mbinu za ukatili kama kunyonga kupiga mijeledi na mateso mengine ambazo mbinu hizo waliambukiza kwa waafrika
Kwanza ukute Mangungo alikuwa na nia njema kabisa na nchi yake. Pengine aliona nafasi ya kuilinda dhidi ya wahehe, maana wahehe wakati huo walikuwa wanazingua sana.Achana na huyo mpigania Uhuru, soma historia ya Chief Mangungo aliyeonekana ameingia Mkataba wa Kitapeli na Carl Peters kutokana na Kukosa Elimu na Exposure.
Siku hizi Watawala wetu wamesoma hadi Elimu za Masters au PhD lakini Mikataba wanayosainishana ni zaidi ya ile ya Chifu Mangungo 🙌
Hakika Mkuu, naamini Chifu Mangungo angekuwa amepiga shule angekuwa Mtawala mzuri kuliko tulionao miaka ya hivi karibuniKwanza ukute Mangungo alikuwa na nia njema kabisa na nchi yake. Pengine aliona nafasi ya kuilinda dhidi ya wahehe, maana wahehe wakati huo walikuwa wanazingua sana.
Ni kweli. Japo kwa Mirambo ilikuwa tofauti kidogo, alikuwa anapigana na waarabu waliotawala Tabora. Alifunga njia ya Ujiji. Alikuwa tu anapigania nafasi ya kutawala na kupiga ushuru kwa waenda Ujiji. Lakini alikuwa na afadhali kidogo.Bushiri, Mkwawa, Mirambo wote walikuwa watemi na walikuwa wakifanya biashara na waarabu ya kuuza watumwa na pembe za ndovu, dhahabu n.k
Hata watawala maarufu wa Afrika Magharibi kama akina Mansa Musa walikuwa wakiuza watumwa kwa Waarabu na wazungu
Ila haya yanafichwa
Wakati huo wa Barter Trade au fedha ilikuwa imeshagundulika?Bushiri, Mkwawa, Mirambo wote walikuwa watemi na walikuwa wakifanya biashara na waarabu ya kuuza watumwa na pembe za ndovu, dhahabu n.k
Hata watawala maarufu wa Afrika Magharibi kama akina Mansa Musa walikuwa wakiuza watumwa kwa Waarabu na wazungu
Ila haya yanafichwa
Mikataba inasainiwa ikulu haraka haraka haipiti bungeni kufanyiwa analysis ,unategemea niniAchana na huyo mpigania Uhuru, soma historia ya Chief Mangungo aliyeonekana ameingia Mkataba wa Kitapeli na Carl Peters kutokana na Kukosa Elimu na Exposure.
Siku hizi Watawala wetu wamesoma hadi Elimu za Masters au PhD lakini Mikataba wanayosainishana ni zaidi ya ile ya Chifu Mangungo [emoji119]
Ndio hao walitujazia Wacongo hapa zenji na wanajiita Wazanzibari leo.
Ndiyo hiyo inafanya asilimia 90 ya Madini yetu yasitunufaishe kisa Unakuta Mtawala alihongwa na hao wageni bilioni 50 au zaidi kuuza hayo madini kwa Sheria za Kimangungo 🙌😢Mikataba inasainiwa ikulu haraka haraka haipiti bungeni kufanyiwa analysis ,unategemea nini
Wakati huo nguo ndiyo zilitumika hasa kama pesa. Vingine vilivyotumika sana kama pesa vilikuwa shanga, bunduki na unga wa risasi.Wakati huo wa Barter Trade au fedha ilikuwa imeshagundulika?
Okay, kumbe ilikuwa ni biashara ya kubadirishana vitu kwa vitu 🙌Wakati huo nguo ndiyo zilitumika hasa kama pesa. Vingine vilivyotumika sana kama pesa vilikuwa shanga, bunduki na unga wa risasi.
Ilikuwa ni Barter trade, waarabu au wazungu wanawaletea nguo, bunduki, shanga n.kWakati huo wa Barter Trade au fedha ilikuwa imeshagundulika?
Nimekumbuka somo la Histori miaka ile, japo nilisoma Sayansi A'level lakini nilipata B ya History 🤪Ilikuwa ni Barter trade, waarabu au wazungu wanawaletea nguo, bunduki, shanga n.k