baba-mwajuma
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 4,178
- 7,591
Unaweza kuprove hili kwa Academic source kwamba hichi kilifanyika? Sitaki Story za Mtaani bali Msomi yoyote wa Historia mwenye kitabu kinachokubalika na Wasomi?Hujui unachokiongea, Utumwa
ulikuwa ni unyama, binadamu alifanywa kama punda
Mtu anatolewa ujiji kigoma mpaka Pwani kwa miguu wakiwa wamefungwa mikono na shingoni kwa miti wengi walifia njiani
Vijiji vilikuwa vinavamiwa na nyumba kuchomwa moto wakati wa kukamata watumwa
Watumwa wengi walifia baharini kwa kuuawa na Waarabu au magonjwa
Wengi pia walifia shambani kutokana na kazi za shurba
Kumuuza binadamu mwenzako kama mtumwa hata kama sio wa kabila lako ni unyama wa hali ya juu, sijui ni akili gani unatumia kuhalalisha huo ujinga
Hivi unafkiri Machief wakubali hivi hivi kuteswa na waarabu halafu Ghafla aje Mzungu wapigane nae?
Sikatai Utumwa ilikua ni Biashara mbaya ila mambo mengine yameongezwa tu Chumvi na hayana Evidence yoyote.
Mambo sijui mtumwa alitobolewa akawekwa mnyororo sijaona ushahidi wa Ki Academic na hata Common sense haingii akilini sababu utamshusha thamani.