Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 3,840
- 6,844
Lily alikuwa Mtovu wa Nidhamu haswaa,,Mamii yakehuyo lilith wanasema alikuwa hakamatiki akiambiwa na adam osha vyombo,adam akawa anakula kichapo anaosha yeye! adam alipochoka akaenda kulialia kwa Mungu ndo akaletewa eva!.. sasa eva nae akaona adam kazubaa sana ndo akala tunda kumchangamsha! yani kiufupi adam alikuwa zwazwa!
alikuwa mgomvi mno kuna siku alimng'ata adam kwenye komwe! yani yule demu alikuwa kama anawazimu!Lily alikuwa Mtovu wa Nidhamu haswaa,,Mamii yake
Hapo Mzee wa Upako alikuwa ameshapiga mizinga mingapi ya Konyagi?Wakuu hii ni kwa mujibu wa nguli wa mambo ya imani mzee wa upako.
Anasema huyo mama yetu aliumbwa sambamba na Adamu
Jina lake aliitwa Lilith
Baadaye alizinguana na Adamu akasepa zake kwenda kuanzisha life yake solo nje ya bustani ya Eden.
Ndio ikabidi aumbwe Hawa kutoka ubavu wa Adamu
Sasa najiuliza mbona huku kitaa hatuambiwi habari hizi kwa uwazi na ukubwa wake kwanini habari hizi zinafichwafichwa kama bangi? shida nini hasa?
Na kwa wajuvi mtujuze huyu mama yetu wa mwanzo Lilith aliishia/alienda wapi?
Kumbe haya mambo ya watu kuzinguana yalianza toka dunia inaanza?
Labda tutajuaje kama kipindi hicho Mzee wa upako alikuwepo?Wakuu hii ni kwa mujibu wa nguli wa mambo ya imani mzee wa upako.
Anasema huyo mama yetu aliumbwa sambamba na Adamu
Jina lake aliitwa Lilith
Baadaye alizinguana na Adamu akasepa zake kwenda kuanzisha life yake solo nje ya bustani ya Eden.
Ndio ikabidi aumbwe Hawa kutoka ubavu wa Adamu
Sasa najiuliza mbona huku kitaa hatuambiwi habari hizi kwa uwazi na ukubwa wake kwanini habari hizi zinafichwafichwa kama bangi? shida nini hasa?
Na kwa wajuvi mtujuze huyu mama yetu wa mwanzo Lilith aliishia/alienda wapi?
Kumbe haya mambo ya watu kuzinguana yalianza toka dunia inaanza?
Hata mimi nimefikiria hivi, maana hadi Mungu aseme si vema huyu kukaa peke yake itakuwa alimkuta anafanya nini?Adam alikuwa chaputa maana katika neno wamesema mungu aliona adam asiwe peke yake akaona sio vizuri akae peke yake akamuumba hawa
Kuna vitabu vingi vinaelezea mambo ya kale tofauti na biblia tunayotumia sasa. Hata biblia yenyewe ni mkusanyiko wa vitabu vingi vilivyo andikwa na watu mbalimbali kwa nyakati tofauti.Labda tutajuaje kama kipindi hicho Mzee wa upako alikuwepo?
duu we umeuwa kabisa zwazwa tena[emoji1787]huyo lilith wanasema alikuwa hakamatiki akiambiwa na adam osha vyombo,adam akawa anakula kichapo anaosha yeye! adam alipochoka akaenda kulialia kwa Mungu ndo akaletewa eva!.. sasa eva nae akaona adam kazubaa sana ndo akala tunda kumchangamsha! yani kiufupi adam alikuwa zwazwa!
Haahaa kwann mkuu?Hapo Mzee wa Upako alikuwa ameshapiga mizinga mingapi ya Konyagi?