Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 3,840
- 6,844
- Thread starter
- #101
ni komwe hilihili la miaka hii au?alikuwa mgomvi mno kuna siku alimng'ata adam kwenye komwe! yani yule demu alikuwa kama anawazimu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ni komwe hilihili la miaka hii au?alikuwa mgomvi mno kuna siku alimng'ata adam kwenye komwe! yani yule demu alikuwa kama anawazimu!
Sijasema pombe ina shida ila mnywaji.kwan pombe ina shida gani?
daah mambo ya dini banaLily alikuwa Mtovu wa Nidhamu haswaa,,Mamii yake
duuHawa =nafsi ya pili umoja inamaana wako wengi ndio wakawa hawa
Lengo ni nini hasa kuandika hii mkuu?Soma vizuri Biblia uumbaji umeandikwa mara mbili
1.
Mwanzo 1:27
[27]Mungu akaumba mtu kwa mfano wake, kwa mfano wa Mungu alimwumba, mwanamume na mwanamke aliwaumba.
So God created man in his own image, in the image of God created he him; male and female created he them.
2.
Mwanzo 2:7
[7]BWANA Mungu akamfanya mtu kwa mavumbi ya ardhi, akampulizia puani pumzi ya uhai; mtu akawa nafsi hai.
And the LORD God formed man of the dust of the ground, and breathed into his nostrils the breath of life; and man became a living soul.
Hapo Mungu aliumba watu wawili yaani mwanaume na mwanamke waliumbwa kama ambavyo viumbe vingine vilipoumbwa viwili viwili tunapata kuona bila shaka Adam na Lilith waliumbwa siku hiyo na inasemekana walikuwa na maumbo ya kufanana mwanamke alikuwa na misuli kama mwanaume walitofautiana kwa jinsia tu.
Lilith inasemekana alikuwa mjeuri na kiburi na hakutaka kuwa chini ya Adam akaamua kusepa bustanini na kwenda kuishi na malaika Samaeli kama kimada wake.
Ndipo Adam akawa mnyonge na hata Mungu alipojaribu kumfariji kwa kumletea wanyama mbalimbali lakini hakuwa na furaha ndipo Mungu alipoamua kumpa usingizi na kuumbia mwanamke.
Mwanzo 2:21-23
[21]BWANA Mungu akamletea Adamu usingizi mzito, naye akalala; kisha akatwaa ubavu wake mmoja, akafunika nyama mahali pake,
And the LORD God caused a deep sleep to fall upon Adam, and he slept: and he took one of his ribs, and closed up the flesh instead thereof;
[22]na ule ubavu alioutwaa katika Adamu BWANA Mungu akaufanya mwanamke, akamleta kwa Adamu.
And the rib, which the LORD God had taken from man, made he a woman, and brought her unto the man.
[23]Adamu akasema, Sasa huyu ni mfupa katika mifupa yangu, na nyama katika nyama yangu, basi ataitwa mwanamke, kwa maana ametwaliwa katika mwanamume.
And Adam said, This is now bone of my bones, and flesh of my flesh: she shall be called Woman, because she was taken out of Man.
Uwepo wa neno 'sasa huyu' (mwanzo 2:23) inathibitisha kuwa kulikuwapo na mwingine kabla ya huyo.
Kwani lengo la huu uzi ni nini?Lengo ni nini hasa kuandika hii mkuu?