Kumbe Adamu alikuwa na mke zaidi ya Hawa?

Kumbe Adamu alikuwa na mke zaidi ya Hawa?

Hii stor niliwai isom bna lilieth alikuwa na nguvu sawa na adam ko wakipigana moto unawaka mwishow adam akaomba mungu jins anayopitia lilie akaja kumcheet bna wakazaa vitoto vimelwaniwa ndo nyie
 
Hii stor niliwai isom bna lilieth alikuwa na nguvu sawa na adam ko wakipigana moto unawaka mwishow adam akaomba mungu jins anayopitia lilie akaja kumcheet bna wakazaa vitoto vimelwaniwa ndo nyie
 
huyo lilith wanasema alikuwa hakamatiki akiambiwa na adam osha vyombo,adam akawa anakula kichapo anaosha yeye! adam alipochoka akaenda kulialia kwa Mungu ndo akaletewa eva!.. sasa eva nae akaona adam kazubaa sana ndo akala tunda kumchangamsha! yani kiufupi adam alikuwa zwazwa!
🤣🤣🤣🤣🤣🙌
 
Wakuu hii ni kwa mujibu wa nguli wa mambo ya imani mzee wa upako.

Anasema huyo mama yetu aliumbwa sambamba na Adamu

Jina lake aliitwa Lilith

Baadaye alizinguana na Adamu akasepa zake kwenda kuanzisha life yake solo nje ya bustani ya Eden.

Ndio ikabidi aumbwe Hawa kutoka ubavu wa Adamu

Sasa najiuliza mbona huku kitaa hatuambiwi habari hizi kwa uwazi na ukubwa wake kwanini habari hizi zinafichwafichwa kama bangi? shida nini hasa?

Na kwa wajuvi mtujuze huyu mama yetu wa mwanzo Lilith aliishia/alienda wapi?

Kumbe haya mambo ya watu kuzinguana yalianza toka dunia inaanza?

View attachment 3050156
Hawa =nafsi ya pili umoja inamaana wako wengi ndio wakawa hawa
 
huyo lilith wanasema alikuwa hakamatiki akiambiwa na adam osha vyombo,adam akawa anakula kichapo anaosha yeye! adam alipochoka akaenda kulialia kwa Mungu ndo akaletewa eva!.. sasa eva nae akaona adam kazubaa sana ndo akala tunda kumchangamsha! yani kiufupi adam alikuwa zwazwa!
Hadithi za Waislamu? Mtakula sana matango pori
 
Back
Top Bottom