BLAZE is an entertainment channel which celebrates people who achieve the extraordinary through determination and courage. We celebrate real people and their stories. People who defy convention and follow their inner fire to live life their own way. We are driven to tell their immersive...
watch.blaze.tv
Story ya Lilith ipo hapo na msingi wake wa utukutu.
Zingine ni mke wa Joshua ambayo bsckground yake haipo kwenye bible na kwanini aijaelezewa.
Daniel tofauti na anavyoelezewa kwenye bible wakati uhalisia alikuwa mtukutu kwenye vitabu vingine. (You might need U.K. IP address to watch).
Hizo hadithi za vitabu vya dini, zilikuwa ni legends za waisrseli ambazo zina variation. Kwenye kuandika vitabu vya dini watu wakachagua version za story wanazozani zinafaa.
Kabla ya Constantine mtaa mmoja unaweza kuta mtaa mmoja una makanisa matatu kila mtu ana version yake ya ukristo na jewish na kila nyumba inafanya ibada kwa mtindo wake.
Ukifuatilia historia ya dini utakuja kugundua wakristo, Jews na waislamu vitabu vyao vinafanana ni kwa sababu ni wendawazimu ambao msingi wao wa kupishana upo kwenye story walizoamua tu kuchagua kutengeneza vitabu vyao vya dini,
Kabla ya kutengeneza vitabu vya hizo story zillikuwepo na kulikuwa na makundi luluki kila mtu anafanya ibada kwa mtindo wake. Hizo dini tatu ndio zilitumia nguvu kufanya consolidation ya kufuata mtindo fulani wa kuabudu na kuchagua versions za story zinazowafaa wao.