Kumbe Ali Kiba aliomba msaada kwa Wema kumkabili Diamond! Wema atoboa

Hebu subirini kwanza:

Wema ameenda 'kujisafisha' kwa wale waliotafsiri support yake kwa Kiba kama kisasi au Wivu kwa Diamond.

Sidhani kama Wema alijua kuwa atatafsiriwa na TeamD kuwa bila yeye Kiba hawezi ku-shine.

Inaonekana Kiba aliomba support kwa watu wengi na sio kwa Wema tu. Kiba alifanya hivyo ili kuchukua mashabiki wa Wema na waliokuwa mashabiki wa Diamond enzi zake na Wema. Hamna tatizo, ni 'strategy' tu.

Kiba alikosea kupumzika kwa miaka mitatu akifikiri huu mziki unamsubiri yeye, hakufikiria kama kuna mtu (Diamond) atainuka na kumpita yeye. Sijui anavyojiskia kuhusu hilo.

Kiba anatakiwa kuchukulia kung'ara kwa Diamond kama changamoto kwake kimziki, ili na yeye afanye mambo makubwa.

Sina uhakika kama Kiba atachukua tuzo nyingi za Kili kumpita Diamond, sioni kama hilo linatokea kwa tuzo za mwaka huu.
 
na ifike mahali watu wajue kutofautisha kati ya milango na madirisha! unaweza kumcompare kiba na DAIMOND kweli??? hilo kahaba nalo ni halina kazi, lina hamu leo kesho lilirudiwe na DAIMOND, MWENZIE NDIYE YULEEEEEEEEE!
 
Ni kweli inachekesha wanakazania tuzo bila kazi kuonekana hii kweli inaonyesha kuwa hawana hata hizo mbinu za kujiinua na washabiki wanasifia huku wanajua hakuna kitu.

Ni kama kumwambia mwanafunzi anayepata marks 5 darasani wewe upo juu tunakushangilia hao wanao pata 95 hawana kitu kaa tu utapewa tuzo ya kuwa mfanya vizuri duh
 
Hahahaha sasa sipati picha baada ya collabo la KingKiba na Christian Bella likitoka june, walah kuna watu watapotea humu JF

We unaongea nini kiba na bella? Wakati tunasubiria Platnumz na Usher hahahaha
 

mkuu unafahamu kinachoendelea lakini?
 
Wema roho inamsuta yaan haachi kumtaja diamond ,Daimond uko juu Baba ILA ukumbuke kulipia watoto Ada nasikia umewatelekezaaa
 
We unaongea nini kiba na bella? Wakati tunasubiria Platnumz na Usher hahahaha

Nakwambia wamerudi walikotoka!Kutoka kufanya collabo na R-kelly mpaka kuomba kura kwa Wema!sasa hivi wanafurahia kiba kufanya kazi na Bella,huku wakipinga anguko lake!

FROM HERO TO ZIRO!
 
Hawa watatuelewa tu.

Wala hatutakaa tuwaelewe unless mfanye mziki sio kwa kupitia migongo ya wengine. ! Btw ushamaliza chuo rafiki angu? Huwa nakukumbuka sana kwenye ile thread yako ulosema wote tusome sayansi, huwa nacheka sana nikikumbuka.
 
Kiba wakimbizeeeee....mwaka huu mtaipenda.. kwi kwi kwiiiiiiiiiii.
Team ndomo hampumui bila kumtaja king kiba duuuuuhhhhhhhh...
Mnampigia promo kinomaa...nashukuru maana mmeshaanza kuelewa
 
Nakwambia wamerudi walikotoka!Kutoka kufanya collabo na R-kelly mpaka kuomba kura kwa Wema!sasa hivi wanafurahia kiba kufanya kazi na Bella,huku wakipinga anguko lake!

FROM HERO TO ZIRO!

ha ha ha na kweli ni from HERO TO ZIRO!!!

Mkuu watu wanaishi kwa kudra za mondi wanatakiwa wamuheshimu sana jamaa.
 

Sawa nimekupata!!!
 
Last edited by a moderator:
Diamond anabahatisha kila kitu coz hajui akae upande upi!! Alianzia kuchana,akaja bongoflava zile,mara kwaito,mnanda,taarabu,mwisho wa siku itakuwa daimondo vs bony mwaitege!!! Hahaha

huo ndio ujasilia mali wa muziki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…