Wewe mburula sana kila msanii lazima ajikampenie, ni sawa na.kina lina walivyotumia clouds na yeye kaona wema ni channel nzuri, why not!! Mbona dai alikuwa akikampeniwa na jestina blog hahahhahah mwisho wa siku nani kala tuzo??
Avemaria, nifah, Diva Beyonce njooni mcheke jamani.alafu utawakuta wakijishauwa sasa tumepiga kuraa sisi ni familia,die hards funs, nawaangaliagaaaaaaa, naona kama nipo pale mirembe kwenye ward ya new admission ambao bado hawajaaza dozi,kuchamba kwiiiingi mwishowe ni unatoka na ma..vi, kila kukicha kujiongeleshaa, pumba tupuuuu hakuna support yoyote wanayotoa kwa matonya wao mpaka, king kabwela wa watu akajionea hapa mtoto wa kiume naumbuka, mbona toka nimekuja na zile mbwembwe za kufuta vumbi sioni dalili ya kutoboa, ikabidi ajiongeze akaona hawa wanaojesebedua kwa kujiita die hard funs hawana lolote sasa nifanyeje, jibu likawa moja tuuuu, ngoja nikopy na kupaste mbinu za RAIS, nyambafuuuuuu unaleta jeuri mbele ya le presidaaaa????? hahahahahahahahaaa NI LAZIMA UFUATE NYAYO ZAKEEEEEEEE AND YEEEEEESSSSS U DID IT, nyonyonyoooo eti kiba anakipaji, embu mwelezeni apeleke kipaji chake BSS huku dunia ni kaziii tuu ndio inayowaweka wanaume mjini.
Kazi za kiba unazijua sana usijichetue binti hahhahah jaman campaign lazima why not??! Mwaka jana domo alitumia watu wengi kumkampenia ndo mana mashabiki mwaka huu wakamuuliza, domo mbona hatuoni matangazo baba??!! Hahhaha kiba rusha matangazo kwa chanzo chochote kile watu tujue code zako na tupige kura, tuzo moja inawapeleka mirembe hahahha! Laana ya davido inawatafuna, si mlifurahia tuzo za davido channel o nyinyi, sasa zamu yenu
Tuzo moja watu wamepagawaaaaa hareeeeee
Ofcourse mondi hawezi mrudia wema kwa sababu yuko na kahaba international now,, zarina
"The boy can really sing"....this is her ex we are talking about...
Hmmm... Interesting.
Ivi Wema kuwa X wa dai ndio inamzuia kusema ukweli panapopaswa?
Interesting....
Exactly! Thats their point!
Na kwa sasa ukisema Zari ndio mafanikio ya Dai utakosea?
Etu wanasema Ali kiba anakomaa na wanawake wa WENZIE!
Absurd! Childish!
So Diamond alipopigiwa promo na team Wema kipindi kile it wasnt a big issue kabisa, ila now kwa vile ni Kiba imekuwa aibu?
Jamani unafiki ni gonjwa baya sana.
Inaonekana raisi anatetereka kwa kukosa mass support ya Wema Sepetu....na bado, mpaka anywe damu ya paka mwaka huu.
Nasema iviii, go kiiing! Hata ukijipa marketing kwa matangazo ya show zako insta watasema umegeza....
Avemaria, nifah, Diva Beyonce njooni mcheke jamani.
Kweli tunajishau na kujishebedua na kuchamba na kutokwa ma.vi na kila kitu ila dai sio mwasisi wa matketing skills zote na strategies.Zilianza kitambo sana yeyote ana haki ya kufanya chochote kujiongezea wigo wa mashabiki zake
Kama mashabiki sie tunakukera kwa kupiga kura jiandae sasa kwa kuzirai
There is more to come
Pole kwa jazba.
Take a chill....
wengine si walikataa jamani au??? hongera Kiba kwa tuzo za kuombaHakuna jipya sana cha ajabu hapo kila mtu ana Uhuru wa kufanya atakacho. After all nothing new under the sun.
Na wengine wangeomba nao wangepewa tu kwani yeye ni wa kwanza kuomba msaada. Tena nampongeza kwa kuomba apostiwe mana sio dhambi.
Kazi za kiba unazijua sana usijichetue binti hahhahah jaman campaign lazima why not??! Mwaka jana domo alitumia watu wengi kumkampenia ndo mana mashabiki mwaka huu wakamuuliza, domo mbona hatuoni matangazo baba??!! Hahhaha kiba rusha matangazo kwa chanzo chochote kile watu tujue code zako na tupige kura, tuzo moja inawapeleka mirembe hahahha! Laana ya davido inawatafuna, si mlifurahia tuzo za davido channel o nyinyi, sasa zamu yenu