MBULAMATALI
JF-Expert Member
- Nov 26, 2012
- 297
- 1,201
Wewe acha kumuwekea Ali k maneno wewe unaongozwa mno na hisia badala ya Ku reason.
Na leta hizo evidence za kiba kushindana na huyo domo wake maana Kiba kaanza mziki kabla ya domo kwahyo asifanye mziki kisa aoge kuambiwa anashindana na domo? That's really nonsense and poor argument kabisa. Think out of box hata kama unampenda huyo domo wengine wasifanye mziki kisa domo.
Biashara ni biashara tu kwani ni wapi palipoandikwa alipopitia domo wengine hawaruhusiwi kupita hahaaaaa acheni kuchekesha nyie. Loh its a free country mwacheni kiba afanye yake mbona akina Wema na Jokate wana watu marafiki wengne , kwahyo wasiwe marafiki kwa kua domo kapita. Hyo sababu ni very low and it doesn't make sense.
Sasa kama si level ya diamond mnahangaika naye nini yeye anafanya yake nyie ndo mnajisumbua kuhangaika naye.
siku zote huwa nakuona ni mstaarabu na ni mmoja kati ya GT's humu
but with this post duuu ....????
si busara kumwita mwenzio domo sehemu kama hiii...kwani ukimwita Diamond au Dia unapungukiwa nn?
tatizo kubwa ninaloliona kwa watu wengi ni kutokuwa tayari kukubali ukweli ... Diamond ndio mwanamuziki aliekuwa juu kuliko wote bongo kwa sasa...na sababu kubwa ninayoiona directly iliyomuweka hapo alipo ni bidii na kuwa na uchu wa mafanikio(nukta)
Alli Kiba ni mwanamuziki mwenye uwezo wa kuimba viZuri zaidi kuliko Diamond hili halina ubishi,
Ila tatizo kubwa la Alli Kiba ni Umwinyi kuridhika na mafanikio bila ya kuweka juhudi zaidi... Yaani ukimwangalia Alli huwez amini eti alishawahi kukaa studio na kutoa wimbo na mtu Kama Rkelly...kwangu mm pale ndio ilikuwa platform ya yy kusimama kimataifa
kwa sasa Kiba ni wa kawaida lililobaki ni jina tu....huwezi kama promota uandae shoo kubwa mkoani lets say (Mbeya/Mwanza) ya one man na utegemee kupata faida hiyo ni True
Japokuwa Alli anaweza kurudi na kuwa mkali sana tu kama ataweka bidii
Kosa kubwa linalofanywa na watu wanaomsapoti Kiba ni kumponda Daimond wazwaz tena bila sababu za msingi ... Hili ni kosa kubwa sana kwenye ushindani hauwez kumshusha mtu kwa style hiyo
Kwani kufanya hivyo ni kumjenga zaidi tena huku ww unajishusha
Hata vitani hauwezi hata siku moja ukashinda vita kwa kufanya propaganda za hivyo mtakula kichapo kitakatifu.
(ni mtizamo tu katika kujenga)